Mimi si mtaalam wa uchumi, naomba kueleweshwa.
Ni muda sasa tangu noti mpya zimeingizwa kwenye mzunguko lakini za zamani bado zipo pia. Kwa maana hiyo kuna noti nyingi kwenye circulation. Hii...
Jamani nimeona net cash flow ya hii company kuwa ni negative miaka yote. Inawezekana madeni ni makubwa. Je hisa zao zawezalipa kweli au ni kulipia madeni tu...naomba msaada kitaalama
Si kwamba wana JF wanaotumia mtandao wa Tigo ndio wateja wakubwa, hapana! Lakini tukijitaja hapa itakuwa sample mojawapo itakayowafanya Tigo wapate takwimu fulani zinazoonyesha impact ya uamuzi...
Hali zenu wanajamvi. Hivi kunamtu yeyote ameshawahi nunua / agiza vitu kwa website ya AMAZON.COM vikawa delivered hapa Tanzania. Naomba kama kuna mtu amesha wahi fanya hivyo anipe experience...
Nipo najiandaa kusafiri kutembelea sehemu mbalimbali za Tanzania hivi karibuni, na ninahitaji umbali wa kutoka Dar es Salaam hadi makao makuu ya kila mkoa Tanzania bara kwa usafiri wa barabara...
How do you find a new product or service, recognising that 80 percent or more will be new in five years? Here's a series of ideas.
Number one, begin with yourself. Begin with your own talents...
Hisa zimekuwa zinauzwa mara kwa mara, ila nimekuwa na hofu juu ya nini ninaweza kupata. Kidogo ninachofaham ni kwamba ninaweza kulinganisha bei niliyonunulia hisa moja na ya kuuzua katika muda...
Vodacom kupitia promoshen yao ya mega promo. Ukicheza tu hiyo bahati nasibu basi kila siku utakatwa bila ridhaa yako sh. 550.
Huu ni wizi dhahiri, kila mtu anasiku yake ya bahati, wao wanacho...
Nitauliza tena, kwani topics za Saccos haziruhusiwi kuongelewa hapa? au ni za JE tu? "Great thinkers forum provided you thinking on the lines of the mods!"
Naona kila thread ninayoanzisha...
Nipo hapa mlimani city samaki & kiasi f'lani leo akili yangu imefanya kazi kidogo yakulinganisha. Nimegundua kuwa biashara kweli ni creativity, na huyu jiran yetu wa chicken hut ana akili kiasi...
Vodafone booked £3.5billion in profits through a subsidiary in a tax haven but paid just £1,400 in tax on the earnings, Financial Mail can disclose.
The subsidiary of the mobile phone giant ...
hivi kama una pikipiki moja inayofanya kazi ya bodaboda,unaweza kuitumia kama dhamana ya kuchukulia mkopo bank wa kununulia pikipiki nyingine?
je,kama inawezekana utaratibu unakuaje.nawasilisha.
Wajameni
Nimetonywa kuwa biashara ya mchanga wa kwenye machimbo ya madini inalipa kiasi fulani na ni halali....nimeanza kujenga interest baada ya kupewa some hints lakini nahitaji kujuzwa zaidi...
Jamani habari zenu wakuu...
Ni muda mrefu nimekuwa nikiwaza biashara ambayo inaweza ku dominate soko la dunia na kuwa na kampuni kubwa ambayo inaweza kudominate dunia na kushindanana brands za...
Jamani wakuu habari zenu,
Mimi nilikuwa nina swali moja naomba kuuliza
mfano ukianzisha kampuni yako na ukaipa jina la
itanzania na mfano hiyo kampuni ikawa inashughulika na vitu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.