Wadau,
Naomba kuuliza kwa wajasiriamali kufanya usajili wa duka lako ili ulipe kodi zitakiwazo TRA ni kiasi gani chafikia kwa ukamilishaji wa usajili?
Namaanisha Leseni, TRA, VAT etc. Ni kwa ajili...
lipo lugwadu njia ya kwenda kongowe ya kama unaenda mkuranga unashuka mwembe mtengu karibu na fun city hakipitiwi na mradi wa mji mpya kigamboni karibu sana kama upo sereous cal0712769766
Ni dhahiri mvua zina nyesha na kwakuwa mwenyezi mungu katujalia aridhi yenye rutuba ktk ukanda huu wa EAC bila shaka yatupasa kutumia fursa hii kwa umakini sana, Je ni kwa namna gani tunaitumia...
Wana JF!
Msaada tutani.
Nauliza sehemu ninapoweza kutengeneza stamp nzuri yenye ubora kwa ajili ya ofisi na pia kutengeneza vyeti vizuri vya dawa kutoka kwa daktari (prescription form) nikiwa Dar...
Hellow Tanzanian,
any who is serious in business.
I have business idea which is total win to win,please i need serious people/person.
The idea is new in East Africa.
Please those who are...
jina langu naomba nisilitaje, ila nimesomea uhandisi wa ICT, na uzoefu wa miaka mitatu kwenye mashirika binafsi, toka yanayo anza hata yale ya wastani. nimefanya pia kwa muda wa zaidi ya mwaka...
Hatari kubwa sana ya kiuchumi inatusogelea, jioni ya leo baadhi ya maduka ya kubadili fedha za kigeni yalikuwa yananunua dolari kwa Tshs 1,700.
Sijui benki kuu ya Tanzania inachukua hatua gani...
Ndugu mdau ngoja leo tujaribu kutumia maandiko kidogo ili tuzidi kujiimarisha kimwili na kiroho ili tuweze kupata mafanikio ya kweli.
Mapungufu humkwaza mwanadamu kufikia ndoto yake katika...
Dear Friends,
There is significant variations of wages for different category of workers.
Unskilled workers
Skilled workers
Semi Skilled workers.
Mt query is how these categories are...
Natoa malalamiko yangu kwa kampuni ya Airtel kwa kupandisha gharama za upigaji simu airtel kwenda airtel bila kutujulisha sisi wateja.<br>Nasema hivyo kwakuwa sasa wanalipisha shilingi 6 kwa...
Jamani eeeeh nilishawahi kupost hapa kuhusu kiwanda cha shellys cha pale mwenge,kuna watanzania wenzetu pale wameajiriwa kama vibarua kwa miaka kumi huku wahindi wakilipana pesa kubwa hata kama...
wakuu nafikiria jinsi ambavyo tunaweza kuunganisha makampuni ya wazawa na kuyaweka kwenye database moja
hii itasaidia pale ambapo serikali inatafuta kampuni za kufanya nayo biashara
tukumbuke hizi...
Habari za mchana wana JF, wadau kuna hisa za hili kampuni zinauzwa hisa moja ni Tsh 475 na wanaanza kuuza kuazia hisa 200. Nina mpango wa kununua hisa 200: naomba elimu hapa wanauchumi faida...
Ijumaa ya Tarehe Mosi mwezi huu wa Julai nilikwenda mpaka wa Tanzania na Uganda eneo la Mtukula. Nikiwa naelekea huko pale maeneo ya Kyaka, kama kilomita 35 hivi toka Mtukula niliyaona maroli...
Rais leo amepokea wageni,Kampuni ya Siemens na Wachina wanaotaka kuzalisha umeme mwingi na kuunganisha mikoa yote kwenye gridi ya taifa.Uwekezaj huu na mwingine wowote unaopangwa kufanyika unanipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.