Nani anafahamu bei ya Toyota hiace dungu katika showroom zetu za jijini Dar kwa sasa inafika Tsh ngapi? napendelea 3L engine, manual na je biashara ya daladala kwa hiace/vipanya bado inaweza lipa...
Wanajamvi , nilikukuwa nataka kupata kipato kidogo kwa kutumia Internet lakini bado sijapata wazo zuri la biashara. Nilikuwa naomba kama kuna mtu ana uzoefu au idea nzuri ambayo inaweza kuwa...
kuna wimbo wa jamaa mmoja Kala jere100 ""waambieni'' huku mnasema tusivute wakati mnapokea ushuru wa rizzla. na mimi naomba kuuliza hizi karatasi za rizzla zina matumizi gani mengine tofauti na...
Mboneko Munyaga 10 October 2011
The ruins atop the Nyang'oro escarpment on the Iringa to Dodoma road via Mtera stand in majestic testimony to the place's former glory and opulence only that even...
mwenye kujua profile ya kampuni tafadali atoe dataz
1wana ndege ngapi?
2 za aina gani?
3wamiliki ni akina nan?
na habari zingine kuhusu hii kampuni ya ndege ya 540...
Mambozzzz washkaji
Kwa anayejua hili suala naomba anielimishe. Nataka nianzishe biashara ya mchanga, nikimaanisha nataka kutafuta eneo mahali halafu niwe nauza mchanga kwa makampuni ya ujenzi...
Niaje wakubwa?
Natumaini mko pouwa wote,nina tatizo kidogo hapa,ni wapi naweza kuuza madini ya Tanzanite kwa hapa Dar es salaam,na labda kuna process naweza kupitia labda?
Naomba mwenye uzoevu...
Seriously,...
maisha yamepanda kiasi hiki?
Hadi tiGO mtandao ulio kuwa kimbilio la maskini saivi
kupiga simu kwa sekunde ni Tsh.3.25?
Kwanini hamtoi matangazo kwamba gharama zimepanda...
Tunawashukuru sana TIGO kwa kudhamini blog hii ya JAMII FORUM ila tunaomba wajirekebishe kwani tumewachoka na huduma zao mpaka tunafikiria kuhama mtandao huu kama huduma zitaendelea kuwa duni na...
Heshima mbele wana JF,
Naomba kufahamishwa kwa anayejua bei ya frem zilizo location nzuri kariakoo nataka kuanzisha biashara ya nguo kamtaji kangu maxmum ni Tshs 25,000,000.
Naomba mnijuze gharama za ku-translate document (legal) kutoka English kwenda Kiswahili. Je, nitachajiwa kwa page au kwa idadi ya maneno. Na ni kiasi gani. Naomba mnisaidie.
Hi,
I just wanted to say thank you for visiting my website!
What you just uncovered is a chance (and better yet, a SYSTEM) that is helping me realize my dreams of working for myself.
What if it...
Nafuatilia kwa karibu sana hali ya utalii nchini kenyakutokana na usalama wa nnji hii.Kwao kikiwa na shida hasa ya usalama utasikia mataifa ya magharibi wanadai eti East Africa is not safe. Ina...
wakuu nisaidieni tafadhari, nina kiasi cha shilingi milioni 6 benk. Bado sijajua/sijaamua nifanye biashara ili kuizungusha, sasa mwendo wa kuporomoka kwa shiling yetu kunaniogopesha mpaka natamani...
ajira hi ni bure haiitaji mtaji, ni utayari wako, ambition yako ya kutaka kupata kipato kisicho na kikomo, ajira ambayo haifi endapo wewe hutakuwepo duniani. why cant you join this networking...
Uganda expects to start refining crude oil from its fields in 2014 and the proceeds will help end the economys dependence on donor aid, its president said.
The east African nation discovered...
Tangu juzi naangalia pesa yetu inaporomoka kwa kiasi kikubwa sana, nilitaka kupata dolla lakini imetoka 1650 na jana usiku nakuta imeanzia 1685 hadi 1704 halafu ni ndani ya mda mfupi inafluctuate...
Je una matatizo ya kupata Batteries au Power Supply za aina yoyote katika laptop, camera, simu, comcorder, projector yako? Au una tatizo la battery au power supply kumaliza nguvu haraka kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.