Kama nilivyo wa habarisha hapo nyuma kwamba kuna tovuti ya minada niliiona katika harakati zangu za kubofya bofya hapa na pale kwenye mtandao lakini ilikua bado aija anza. Natumai wengi...
naomba msaada jinsi ya kutoa monthly report on efd mashine ninayotumia ni custom za retailers zinazosambazwa na bmtl,
Bahati mbaya supplier hajatoa user manual wala ushirikiano wa kutosha katika...
Ni kitabu kizuri sana . . .
Pata nakala ya bure hapa: Jinsi ya Kutajirika - Download Free Book - Tanzania Professionals Network
Enjoy
Preface from the Author
THIS book is pragmatical...
Naomba yeyote anayetumia huduma ya kifedha ya PayPal anipe ABCs kuhusu huduma hiyo ili na mimi nijiunge nayo. Je ni salama?!! Hawawezi kudraw - kuiba pesa zangu - zote?!! And much more what does...
PROPERTY SELLING PRICE
The minimal selling price for one apartment is TZS 175,314,366.48 VAT exclusive, the highest bidder who will be able to meet all necessary condition as listed below stands a...
Kutokana na ugumu wa kupata ajira niliamua kutochagua kazi, nikapata kibarua kama sales executive wa Electronic fiscal devices ( EFD machines) za kodi za TRA. Nimefanya kazi hii kwa muda wa wiki...
Kama tayari una mawazo ya kufanya biashara, je ni kipi kifatie baada ya mawazo hayo.
A. Kutafuta mtaji hivyo utafanya biashara yako kutegemea na mtaji ulionao.
B. Kufikiria aina ya biashara...
Maeneo ya kisarawe mpaka kimara nawezapa tofali za kuchoma kwa localmaker kwa bei rahisi? Ninataka kuanza kujenga japo 2 room,nimechoka kulipa kodi,nisaidieni
Kiongozi natafuta gari mark II used sijali cha kilomita but ninataka bodi iwe safi nje na ndani ninayocash 3 million please if so contact me 0714426160
Wana JF katika kijiwe cha Biashara na Ujasiriamali, kwa masikitiko makubwa napenda kuwafahamisha juu ya msiba wa mama Mdogo wa mpendwa wetu Mwana JF na wanaSACCOS Caroline Danzi kilichotokea leo...
Wadau naomba kujua uhakika wa soko la kuku wa kienyeji na nguruwe mkoani Morogoro,nina mpango wa kuanza ufugaji huo katika tarafa ya Dumila,ila sijawa na uhakika sana wa soko lake mkoani...
Ndugu zangu naomba ushauli nina kiwanja sasa bado sijapata jibu je nijenge nyumba ya kuishi au nijenge mradi wa gest.japo bado naishi kwenye nyumba ya familia.naomba kuwasilisha hoja
Hi wana JF wote,
Natafuta wanunuzi kuni za jumla.
Nina mashamba mapya nayasafisha, hivyo kuna miti mingi sana kwa ajili ya kuni.
Eneo yalipo mashamba hayo ni mkoa wa Pwani, umbali wa kilometa...
Wadau Nahitaji sana kupata contacts za taasisi au kampuni binafsi inayoshughulika na kufanya soil analysis. Nahitaji SOil Analysis kwenye kipisi changu cha arshi kabla ya kuanza shughuli za...
Heshima zenu wa kuu, kwa wale wote wanaotaabika na mambo ya msosi mchana wakiwa maofini ondoeni shaka, kwani kuna mtu anaweza kukulea chakula swaafi chenye ladha tamu kwa bei poa, halafu ni bufee...
Hi JF Members;
nimeoa na ni mtumishi wa umma; mke wangu ni mama wa nyumbani hana kazi yoyote.
naamini nikimwezesha anaweza.
sina kipato kikubwa sana lakini naweza kupata kama 1.5 milioni ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.