Jamani hawa wauza viatu hapa opposite na kituo cha mafuta cha mabibo ni wezi!? nini?! Mbona wamening'ang'ania sana ninunue kiatu, mpaka nilipowachimba mkwara ndipo wakaniruhu niende zangu. Eti...
Bila shaka wazima wote,nina milioni moja ambayo nataka kuanza kukopesha watu,mikopo hiyo na mpango wa kukopesha wanajamii wanaonizunguka,nataka kujua ni riba asilimia ngapi niweke,kiwango cha...
Ndugu zangu ni jumatatu nyingi tunakutana tena leo kwahiyo hatuna budi kumshukuru MUNGU kwa neema hii ya ajabu leo napendelea tuongeee kuhusu suala la kujiamini.
Jiamini wewe mwenyewe na kamwe...
Habari,
mm ni mtumiaji wa Air Tell Tz na kwa sasa ninatumia sim card yangu ya airtell Tanzania huku Uganda, Mwanzoni Huduma hii wakati wa Zain ilikuwa iko Imara sana na ilikua inasaidia sana...
Wandugu nimeshtushwa na kuhudhunishwa na uteuzi wa Jenerali Mboma kuwa Mwenyekiti wa board Tanesco,pamoja na hizo Meremeta,n.k baado mkuu anamteu hivi kweli hakuna watu wengine ambao kweli wana...
Tunakusanya pesa zetu kupitia NMB kwa sababu ndiyo inapatikana sehemu nyingi walipo wateja wetu; lakini mara utasikia network inasumbua na hivyo wateja wa biashara yangu wanashindwa kutuma pesa...
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa kuendelea kunipigania,namrudishia sifa na utukufu. Tukianza mada yetu ni hivi,kwa watu walioajiriwa wanatakiwa kujua nini waajiri wanataka kutoka kwako,jambo la...
Viongozi wake wengi wakuu walikuwa na elimu ndogo tu. Mfano..Biti Titi, Mzee Kawawa, Kingunge nk.
Isitoshe wale walioonekana wasomi jamaa aliwademolish...akina Tuntemeke Sanga, yule ticha wa...
Nataka kutembelea zanzibar weekend moja, Je,ni Guest zp nzuri zenye bei ya kati ya Tshs. 20,000 - 30,000 kwa usiku mmoja?
Iwe guest yenye usalama na safi. Asanteni sana.
Wale ambao card zao za NBC zilishachoka wana advantage zaidi, kwani NBC Visa + MasterCard sasa zinatolewa bure bila malipo. Changamkieni muwe na uwezo wa kuchukua pesa kwenye ATM za mabenki...
Habari zenu wadau:
Naomba msaada wenu maana niko njiapanda.
Nataka kufungua account katika dollars lakini nimeshindwa kuamua nitumie sarafu ipi kati ya 2 tajwa hapo juu in...
Ajira ni ngumu mno,elimu yetu ipo katika nadharia na si vitendo.Je ujasiriamali wataka vigezo gani kwani ni muda nasikia ila sijui kwa mapana yake.NATAMANI KUWA MMOJA WAPO!Nafsi imeridhia na...
Thu Oct 27, 2011 3:12pm GMT
* To pay $48 mln this year for its Geita mine
* Other mining companies expected to follow suit
DAR ES SALAAM Oct 27 (Reuters) - Africa's biggest gold miner AngloGold...
Je wewe ni mwajiriwa / mwajiri/mwanafunzi/mzazi/shule/chuo? UNATAKA AJIRA? Nununua DVD ikufundishe masomo yenye thamani sana tena kwa muda wako wakati ukiendelea na shughuli zako bila kwenda...
wadau nauliza ni hatua gani na taratibu zipi za kufuata katika kuanzisha kipindi, mfano wa kile cha dk 45 cha itv. Nahitaji nami kuanzisha kipindi japo mi sio mwanahabari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.