Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Natanguliza shukran zangu.Mim nikijana wa miaka 24 nimechoka na maisha ya kufanya kazi za kuunga unga na huku nyumban nimeacha ekari kibao za ardhi zikiota nyasi bila kutumiwa.Namambo mengi sana...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
New Facebook page about Projects, Construction and Real Estate in Tanzania. Advertise rental properties, share info. about upcoming projects, connect with real estate enthusiasts, interior...
1 Reactions
2 Replies
955 Views
kama wananchi hatuzalishi tunakaa vijiweni...hatuna uzalendo wa kweli tukipata nafasi tunaiba..hatujui haki zetu tunaishia kulalamika, je mnadhani ni serikali ya chama kipi itasolve hili tatizo la...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu habari zenu nafikiria kununua kijinyumba sasa kila nipitapo mjini naona kuna hawa wanaitwa MBAGA REAL ESTATE AGENCY je ni wazuri au matapeli tu wa mjini mmiliki wake ni nani??
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Imekuwa ikishuhudiwa misururu ya watu wa kada mbalimbali ikienda kumtembelea Zitto kabwe hospitalini na wengi wetu tukiumia na kumwombea ili apone haraka kutokana na maradhi yanayomsumbua. Na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wizara tajwa hapo juu. kuna haya makampuni ya utalii yanayo milikiwa na wazungu kutoka nje ambayo yanajihusisha na kupeleka wageni kwenye hifadhi zetu na vivutio vingine kama mlima...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mmmesikia matangazo luluki ya hii hoteli inaitwa JB hotel na ishauzwa kwa mtu mwingine na jina limebadilishwa toka paradise na mmiliki mpya. Nadhani wa mwanzo alikuwa ni msomali wa sasa hivi ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tanzania Shilling hits 1823 against US Dollar, Where R we going?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu habari za leo na poleni na kulisukuma gurudumu hili ambalo linazidi uzito kila kukicha... Salute!! Sasa ni hivi... Kwa kutambua mchango wenu wana JF... Naomba kuuliza swali general kuhusu...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
hivi kweli kwa jinsi sarafu yetu inavyo poromoka dhidi ya dolar inashabiana na yanayosemwa kuwa uchumi wetu unakuwa kwa kasi?wenye euelewa juu ya hili naomba ufafanuzi
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nahitaji nyumba ya kupanga, vyumba 3-4, iwe na Master BR, KITCHEN, PUBLIC TOILET, SITTING ROOM, DINNING AREA NA STORE, IWE NA GATE (Secured Compound) Maeneo: Sinza, Ubungo, Kijitonyama, Survey...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wanaJF siku zote nimekuwa nikitaka kujikomboa mimi kama mdada kwa kujishughulisha na biashar nyingine tofauti na kazi yangu. Siku zote nimekuwa na hamu ya kufanya biashara ya Bar lakini mimi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nabaki na maswali mengi sana kichwani,hivi kweli serikali yetu ina mpango gani wa kizalendo wa kukuza utalii wa ndani?Mlima Kilimanjaro uko tz,hivi kweli mjerman anatumia mamilioni ya maili kuja...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hi, Am curious, that the Dollar rate dropped to Buying 1650 today but is still selling at 1820? Even BOT rates currently showing 1650? Does anyone know what happened please?
0 Reactions
0 Replies
988 Views
Habari za w/end wakuu!!! Naomba kujulishwa kwa anayefahamu bei ya sasa ya gram 1 ya silver ni Shilingi ngapi za Tanzania!! Natanguliza Shukrani
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya kuona hali ya kimaisha inazidi kuwa ngumu nimeamua rasmi nijikite katika ujasiriamali, na biashara ya kwanza ninayoifikiria ni Barber Shop (Saluni za kiume za kisasa). Kwa memba yeyote...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Wadau naomba msaada wa mawazo na ushauri, Nimepitia pitia threads mbali mbali humu na nimehamasika na ufugaji wa ng'ombe wenye uwezo wa kutoa maziwa mengi kwa siku. Nina mpango wa kuanza na...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Wednesday, 26 October 2011 23:07 The Citizen Reporter Dar es Salaam. Central bank governor Benno Ndulu declined to comment on the sorry state of the shilling that continues to fall freely...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Nimeilewa vizuri sana anyone want to get some information concern this dont fear it pays believe me.By my eyes saw the friend of mine getting the bonus of 2,000,000/= for one month.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale wanaohitaji efd machine plz chek mi out thru 0756517588....we can get u a good machine frm advatech n make sure that u enjoy our services....we offer free operational training, deliver...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom