Nimesajili kampuni kuwa LTD.
nahitaji
1.TIN registration
2.Leseni ya biashara
location ni wilaya ya kinondoni.
huitaji wangu ni wa haraka kidogo,within 4 days.
naomba maelekezo jinsi ya kupata...
Wakuu naombeni msaada wa hatua za uanzishwaji,uendeswaji na ununuzi wa vifaa vya saluni ya kiume,nina 1.5mil.nipo Arusha,zingatio. chumba,umeme wa tanesco,maji nnavyo.
Jamani great thinkers naombeni mnisaidie cha kufanya;-
Nilianzisha biashara ndogo fulani mwaka jana lakini kutokana na uelewa mdogo wangu wa mambo ya kodi nilihadaiwa na mwanaTRA mmoja...
MMM
KWELI UMEFIKA SASA MARAIS KUANZA KUONGEA MAMBO MUHIMU YA KUSAIDIA KILA SEHEMU PALE MNAPOITANA
INATIA MOYO KUONA NCHI NDOGO KAMA RWANDA IKIZIDI KUONGEZA NDEGE NA SI NDEGE TU NI MPYA KUTOKA...
Like many others, you may like to start a business but have many doubts. If you try to consider the key things that can do find a business that can work for you, you may soon become your own boss...
Wakuu, naomba kwa yeyote yule mwenye ufahamu kuhusu biashara ya dhahabu anijuze yafuatayo 1. gold iiko na makundi mangap zinatoka wp na wp hapj tz na ipi iko juu kwa bei? 2. sabbu ya bei...
Are you working harder or smarter?
Katika Ulimwengu wa kipato na kujitafutia riziki watu wote tumegawanyika katika makundi makuu manne, Waajiriwa au Waliojiajiri, Wamiliki wa Biashara na...
By DORITHY NDEKETELA, Special Correspondent - The East African
The government of Tanzania will pump $70.5 million into the renovation of three airports.
Suleiman Suleiman, the acting Director...
A Kenyan currency dealer. Photo | FILE
By MWAURA KIMANI and EMMANUEL | Africa Review | 02 Oct, 2011
Growth in East Africa's economies is showing signs of faltering in the face of spiralling...
BizTogether is the social business network which can help you to promote your products, services and any kind of business you are dealing with. You can share different discussions related to you...
Wanajf. Nahitaji kuchapa kitabu cha somo mojawapo la ADVANCED LEVEL ila sina mtaji hata kianzio.
Napokea partnership kwa yeyote atakayekubali tuzalishe pamoja.
Vitu ninavyohitaji ni kamera...
Wazee wamejikusanya leo mahakamani kudai haki yao ya mafao polisi wakawabana mbaya. Ghafla msafala wa JK ukapita spidi 180. Source habari saa 2 usiku ITV.
I just came across Blekko today, they are an innovative search engine that has not been released to the public yet. They talk about how they will use slash tags to allow you to search more...
Mon, Oct 3rd, 2011Mon, Oct 3rd, 2011
Mon, Oct 3rd, 2011|Tanzania
Serengeti District Council Executive Director (DED) Mr Kimulika Galikunga
The Management of Grumeti Reserves Ltd on Monday...
Wachina kupitia benki yao ya Exim wamesaini mkataba wa kuikopesa serikali ya Tanzania karibu dolla za kimarekani billioni moja (1bn US$) kujenga bomba la gesi lenye ukubwa wa inchi 36 kutoka...
Tanzania, China seal 532km gas pipeline deal
Two gas processing plants generating 3900MW also expected to be constructed
Energy and Minerals minister William Ngeleja briefs...
Gazeti la Canada la "The Globe and Mail" chini ya makala ya utafiti imeaandika kwa kirefu yanayotokea katika mgodi wa Mara na jinsi Polisi walivonunuliwa na barick. Mwandishi ni huyu
Barricks...
A Bridge Too Far on Vimeo
Wenzetu, mkandarasi akipewa kazi mfano kurekehisha daraja, atahesabiwa siku kadhaa kutimiza hiyo kazi, mfano kwenye hii video inaonyesha daraja likiangushwa usiku kucha...
Starehe pia na ulevi limeonekana ni tatizo linawakumba watanzania wengi mda wa kazi wanaacha kuendelea na kazi kwenda kufanya starehe mda wa kazi na kusahau mda huo ni wa kazi na sio mda wa...