Heshima mbele wakuu. Nina mpango wa kuvuta haka kagari, naomba yeyote mwenye uzoefu na hii model atupe uzoefu wake hapa, hususani kuhusu matumizi yake ya wese, bei zake na uimara wake...
WanaJF
Mitsubishi Fuso 10 ton (tipper) linauzwa. Lina hali nzuri sana! Ni wiki moja tangu limevalishwa tairi 10 mpya. Ni Fuso ya Dec 1994 na limetembea Km 78,201. Liliagizwa toka Japan na...
Wanajamii, ninaomba kutangaza huduma ya kitaalamu kwa wazalishaji na wasindikaji wa chakula: Kukagua mifumo/mitambo, na ushauri kwa kuzingatia usalama na ubora wa bidhaa kwa mujibu wa sheria za Tz...
Wana JF,
Maisha yanazidi kuwa magumu na gharama zinaongezeka kwa kasi ya ajabu.
Kila mwenye duka maeneo ya Kariakoo hii hali inamkuta mchana kutwa ni makelele ya ya Generators! Na ni lazima kila...
Wadau salaamu !
Naomba mwenye ufahamu wa namna ya kuandika katiba ya NGOs kuhusu masuala ya kijamii ,anisaidie ..tuna mawazo tunashindwa kuataekeleza kutokan ana ukiritimba wa seriklai na ombwe la...
Airtel appoints new Product and Innovation Director for Africa Operations
· Telco operator sees innovation as key to sectors growth in Africa
· Tapping the best resources is...
Kampuni ya Azam ilizindua soda aina ya Azam Cola..ambazo zilitokea kupendwa sana...ila sasa kuna STORY mitaa kuwa zimesimamishwa/kufungiwa..nimeuliza kisa sijapata..naona bora niulize huku Jamvini...
I believe Vodacom is making a huge profit on M-PESA transactions [without mentioning a merge earned through airtime] but to my suprise probably suprise of many Tanzanians the company is not among...
Habari wana JF,
Nina shamba jipya kabisa maeneo ya mlandizi,niko katika harakati za kusafisha,kuna miti mingi migumu,inyofaa kwa kuni na hata mbao pia kuna mipingo,natafuta mtu/watu wanaoweza...
Kuna sms zinatumwa na watu Unguja, Pemba na baadhi ya watu Dar kuwa Vodacom wamekuwa insensitive kufanya MISS TANZANIA on the same day Tanzania imekumbwa na janga zito.
I think kwenye hili...
Kuna wazungu wameonekana siku ya jana mitaani wakitembelea maduka yanayotoa huduma za M-Pesa wanadai wao wametoka makao makuu.Wakifika wanauliza una float kiasi gani kwenye akaunti yako,majina ,na...
Emirates, has announced special fares to several destinations including Europe, the Americas, Indian Sub Continent, Middle East and Australasia. Effectively, the airline has reduced its fares by...
Duu hii kitu imeniumiza sana, NMB ni Benki ya watu wa hali ya chini cha ajabu Inatoza shilingi 1000 kwa anaye Deposit pesa kwenye akaunti ambayo sio ya kwake, Ikiwa na maana anayekatwa pesa ni...
Sebastian Mrindoko
8 September 2011
THE Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) emerged among three top performing bourses in Africa, last month, despite soaring inflation rates and weakening of the...
Brothers kuna Mobile Application ambayo inaweza kutuma sms kwa watu wengi, Unaweza tafuta Company or any Organisation ambayo unadhani wanaweza kuhitaji service hii kuwapa watu taarifa yeyote then...
Habari wakuu,nahitaji mwenye kujua hili, nataka mkopo wa 5m lakini marejesho yaanze baada ya miezi 6. Mwenye kujua naweza pata wapi anisaidie tafadhari.
Wakuu samahanini kwa usumbufu,naombeni msaada wa calculation ya kodi ya 1997 TOYOTA NOAH yenye CIF YA $3100 kwa ile systeam mpya ya TRA. natanguliza shukarani zangu na MUNGU awabariki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.