Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

wakuu mimi nilikua nauliza ivi mtu anayesomea degree ya insurance and risk management au mtu anayesomea procurement and logistic management ni yupi anaeweza kupata ajira/kazi itakayo m-boost kwa...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wana JF siku za karibuni sukari imepanda bei sana katika ukanda huu wa Afrika Mashariki. Takwimu zinaonyesha sukari TANZANIA inauzwa kati ya Tsh 2,200/=($1.35)/ na Tsh 2,500/=($1.54) per 1-kg...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wandugu wapendwa naomba msaada wenu. Nahitaji kujua wapi naweza kupata Ng'ombe wa maziwa mwenye mimba. Asante Mwalwisi
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuna anayejua logistics za uchimbaji, makampuni yanayojishughulisha na uchimbaji au bei za process nzima. Eneo liko approximately 2 hours from DSM.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Poleni na majukumu wana JF, Awali ya yote niwapongeze kwa kazi kubwa sana mnayoifanya na hata kufikia hatua ya kuwa na SAKOSI hii ni hatua kubwa sana inayotakiwa kuungwa mkono,hongereni sana...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Katika kuanza kutangaza ndege mpya ya b737/800 habari nilizozipata hivi punde kampuni ya ndege ya rwandair wanatarajia kuleta ndege yao tar 19sep2011tanzania katika kuitangaza ukanda wa africa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati wa kulia na kudai eti hakuna ajira Tanzania, inafika mwisho sasa. Vijana kwa wazee wale wote wanaotaka kuondokana na hali ngumu ya maisha inayopanda kila siku, wanatakiwa kutambua kuwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kenyan firm shelves plans to revive tyre factory SAMEER Africa Limited, the giant Kenyan tire manufacturer, has shelved plans to revive the defunct General Tyre factory. A statement issued...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani wahasibu wa Tanzania, chukueni muda kujua ni standards gani zinatumika kwa mazingira ya kihasibu TANZANIA. Kutokana na wimbi la utandawazi kuwa kubwa kiasi cha kuwafunua macho wahasibu wa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
By BUSINESS STANDARD Reporter, 12th September 2011 @ 12:15, Total Comments: 0, Hits: 29 ABSENCE of foreign investors impacted heavily on the level of trading at the Dar es Salaam Stock...
0 Reactions
0 Replies
932 Views
Nyumba inauzwa ipo temeke yombo,ina vyumba vitatu vya kulala ,siiting room,dinning choo cha ndani ,choo cha nje,fensi,sintank ya maji bomba la maji bei milioni 45 maelewano yapo,mawailiano...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalaam, Nafanya utafiti kujua idadi ya Raia wa Kenya wanaofanya kazi TZ. Huu ni utafiti ambao ni nyeti sana, naomba unayechangia ustick kwenye swali la utafiti kuliko kuleta hisia zingine...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
African Barrick Gold , which has four gold mines in Africa's fourth largest gold producer Tanzania, said yesterday it was planning to cross-list on the country's bourse by the end of this year...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa muda mrefun sasa JF imekuwa ikipokea matangazo kutoka makampuni mbali mbali nchini ila nashangazwaa na ukimya wa VODACOM kutangaza kupitia JF kama wafanyavyo kwenye blogu nyingine (michuzi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii mambo ya TRA kupokea malipo kwa kutumia M-PESA inamaana gani? Ninavyofahamu mimi, M-PESA ni value-added service kwa Vodacom. Na kulazimisha au kushabikia wananchi walipie services za serikali...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
mimi nina mpango wa kufunga harusi mwezi wa sita miongoni mwa kumbi ninazozifikiria ni landmark kutokana na unafikika kirahisi, lakini nimepata habari kwamba jamaa wana huduma mbovu sana kama vile...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
There are many people out there struggling to find a job. I get always asked on how to do CV and an interview on Twitter and Facebook all the time. So now i want to share the links with everyone...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
The United Nations (UN) will set aside sum of US$ 777 million (Tsh1.2tn) to implement Tanzania's second phase of the national strategy for growth and poverty reduction (MKUKUTA II) and the...
0 Reactions
1 Replies
901 Views
kila mtu anafahamu ni mabilioni mangapi haya makampuni ya simu yanatumia kwenye matangazo na ushindani wa kugombea wateja..... sasa ajabu kampuni ya airtel ambao wanazidiwa wingi wa wateja na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
China's imports hit a record monthly high in August, indicating a strong domestic demand despite concerns of a global economic slowdown. Imports surged by 30.2% from a year earlier to $155.6bn...
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Back
Top Bottom