Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Heshima mbele wakuu. Nina mpango wa kuvuta haka kagari, naomba yeyote mwenye uzoefu na hii model atupe uzoefu wake hapa, hususani kuhusu matumizi yake ya wese, bei zake na uimara wake...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WanaJF Mitsubishi Fuso 10 ton (tipper) linauzwa. Lina hali nzuri sana! Ni wiki moja tangu limevalishwa tairi 10 mpya. Ni Fuso ya Dec 1994 na limetembea Km 78,201. Liliagizwa toka Japan na...
0 Reactions
10 Replies
17K Views
Wanajamii, ninaomba kutangaza huduma ya kitaalamu kwa wazalishaji na wasindikaji wa chakula: Kukagua mifumo/mitambo, na ushauri kwa kuzingatia usalama na ubora wa bidhaa kwa mujibu wa sheria za Tz...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF, Maisha yanazidi kuwa magumu na gharama zinaongezeka kwa kasi ya ajabu. Kila mwenye duka maeneo ya Kariakoo hii hali inamkuta mchana kutwa ni makelele ya ya Generators! Na ni lazima kila...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau salaamu ! Naomba mwenye ufahamu wa namna ya kuandika katiba ya NGOs kuhusu masuala ya kijamii ,anisaidie ..tuna mawazo tunashindwa kuataekeleza kutokan ana ukiritimba wa seriklai na ombwe la...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wanajamii nauliza wapi naweza kupata juice concetrate za ladha mbalimbali hapa tz,yeyote anayefahamu anijulishe
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Airtel appoints new Product and Innovation Director for Africa Operations · Telco operator sees innovation as key to sector’s growth in Africa · Tapping the best resources is...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kampuni ya Azam ilizindua soda aina ya Azam Cola..ambazo zilitokea kupendwa sana...ila sasa kuna STORY mitaa kuwa zimesimamishwa/kufungiwa..nimeuliza kisa sijapata..naona bora niulize huku Jamvini...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
I believe Vodacom is making a huge profit on M-PESA transactions [without mentioning a merge earned through airtime] but to my suprise probably suprise of many Tanzanians the company is not among...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF, Nina shamba jipya kabisa maeneo ya mlandizi,niko katika harakati za kusafisha,kuna miti mingi migumu,inyofaa kwa kuni na hata mbao pia kuna mipingo,natafuta mtu/watu wanaoweza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna sms zinatumwa na watu Unguja, Pemba na baadhi ya watu Dar kuwa Vodacom wamekuwa insensitive kufanya MISS TANZANIA on the same day Tanzania imekumbwa na janga zito. I think kwenye hili...
4 Reactions
131 Replies
12K Views
Kuna wazungu wameonekana siku ya jana mitaani wakitembelea maduka yanayotoa huduma za M-Pesa wanadai wao wametoka makao makuu.Wakifika wanauliza una float kiasi gani kwenye akaunti yako,majina ,na...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Emirates, has announced special fares to several destinations including Europe, the Americas, Indian Sub Continent, Middle East and Australasia. Effectively, the airline has reduced its fares by...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Duu hii kitu imeniumiza sana, NMB ni Benki ya watu wa hali ya chini cha ajabu Inatoza shilingi 1000 kwa anaye Deposit pesa kwenye akaunti ambayo sio ya kwake, Ikiwa na maana anayekatwa pesa ni...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
What is the exchange rate now in Tanzania (Home Land)? Dollar to Shilling? I can see $ 1.00 = Tshs 1635.50 (USA)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sebastian Mrindoko 8 September 2011 THE Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) emerged among three top performing bourses in Africa, last month, despite soaring inflation rates and weakening of the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi leo hakuna bei elekezi ya mafuta kuanzia kesho?kwani sijamsikia masebu leo kunani?mwenye kujua anijuze!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Brothers kuna Mobile Application ambayo inaweza kutuma sms kwa watu wengi, Unaweza tafuta Company or any Organisation ambayo unadhani wanaweza kuhitaji service hii kuwapa watu taarifa yeyote then...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu,nahitaji mwenye kujua hili, nataka mkopo wa 5m lakini marejesho yaanze baada ya miezi 6. Mwenye kujua naweza pata wapi anisaidie tafadhari.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu samahanini kwa usumbufu,naombeni msaada wa calculation ya kodi ya 1997 TOYOTA NOAH yenye CIF YA $3100 kwa ile systeam mpya ya TRA. natanguliza shukarani zangu na MUNGU awabariki.
0 Reactions
2 Replies
852 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…