Habariza leo wadau? Huwa najiunga na tigo internet mara kwa mara kwenye simu yangu, sasa siku ambayo sina mpango nayo hasa ukizingatia na huu mgao kunasiku unakuta huna charge au unamambo mengine...
Habari Zilizopatikana toka Kwa kachero wa JF ni kuwa wafanyakazi wa KADCO na KIA kwa Ujumla watagoma kuanzia Ijumaa Hii Kushinikiza Uongozi Kushughulikia kwa haraka malalamiko yao ya muda mrefu ya...
Nilikuwa naupenda sana mtandao huu. Lakn sasa naona unanichosha. Kero tupu. Mi nijuavyo mtandao wa sm za mkonon kaz yake n kuleta mawasiliana, si mawasiliano2 bali mawasiliano bora. Ths is the...
Juzi Rais JK akiwa ziarani Mtwara, alinukuliwa na vyombo vya habari akiwataka wakazi wa Mtwara wajiandae kupokea uchumi mkubwa kwa kuwa Mtwara kuna hazina kubwa ya gesi na Mafuta. Hadi sasa...
Heshima zenu wakuu,
I have a plot (surveyed) next to Mlimani City....eneo ni very commercial. Sasa naomba ushauri wenu. What are my options ili kupa develop either kuweka hotel, au office...
am a student na sina time ya kufanya business. Wapi naweza weka pesa yangu iweze kuongezeka? Fixed account inafaida? Na kama inayo nr bank gan? Naombeni msaada wenu.
Hivi falsafa nzuri ya maisha ya Taifa letu sisi Watanzania tulio wengi ambao ni Wamatumbi weusi ni kutengeneza Uchumi mpana [Macroecomomics] au kutengeneza uchumi wa maisha ya Watanzania Wamatumbi...
Wakuu ili tuweze kuwa makini na aina za biashara pale tunapotaka kuwekeza na kufanya biashara ninaomba angalau tujuzane biashara gani ni pasua kichwa (biashara kichaa) yaani katika makundi haya...
ndg zangu Jf naomba msaada wenu, nipate frem maeneo ya fuatayo, magomeni,mwananyamala,mansese, sinza,mssni, kawe,bugruni. Zinazo faa kwa biashara ya mchele na maharage. Sim 0768092950
Jamani kuna ujenzi nikuwa nafanya nimezoea kununua cement mfuko mmoja 13500 na mara ya mwisho nimenunua juzi leo nimeambiwa hapo hapo kwenye ilo duka 14500 nikasema shida nini jamani mbona...
Waswahili husema mchagua nazi huibukia.....Sasa nahitaji kijiusafiri kwa misele ya hapa na pale. Kutokana usawa wa mafuta machaguoa yangu yameangukia huku kwenye Toyota IST, Carina TI my road (cc...
Wakati TRA ilipozindua mfumo mpya wa ukadiriaji magari yaliyotumika yanayoingizwa kutoka nje, kulikuwa na malalamiko mengi sana.
Baadhi ya hoja zilizoletwa ni kwamba serikali imeamuru TRA wafanye...
Mkataba mwingine kama wa Dowans huu hapa!
Na Gerald Kitabu
31st July 2011
Ni ule mwekezaji aliyepewa ardhi kwa miaka 99
Kodi ya ardhi sh. 200, Halmashauri kupata sh.500
Diwani wa kata ya...
Tar 02 aug
kampuniya ndege ya rwandair inaanzisha safari zake rasmi siku 5 kwa wiki tanzania nazo ni
jumatatu jumanne,,jumatano,,iumaa jumapili..kwa wale waliokuwa na shida ya kurudi siku...
NAOMBA tuweke list ya mikataba ya kitaifa inayosiniwa na viongozi wetu kwa kutuwakilisha watanzania.e.g Mikataba ya Mafut,Ges,Ulinzina Madini,Mali Asili,Ardhi etc
1.Richomnd na Tanesco(wizara ya...
Leo nimeamua nimkumbuke Dr Ngasongwa alikuwa akihojiwa pale ch ten akasema Tanzania kama kuungana inabidi kuungana na nchi kama Angola na Congo bse they have a lot of things in common hasa kwenye...
Mapema mwaka jana nilisajili kampuni -Limited by Shares kwa ajili ya kutaka kufanya biashara moja hivi ya tender. Lakini bahati mbaya sikuweza kufanikiwa. Sasa nimeamua kuiuza kampuni hiyo kwa mtu...