Jamani ndugu zangu naomba mnisaidie katika mimi na wajasiriamali wenzangu tulifanya kazi fulani katika halmashauri ya Meru Arusha na wakati wa malipo tuliwapa account ya kikundi chetu ili...
Kwa wale wajasiriamali wenzangu,nawashauri kutengeneza financial statement&business plan kwa wanaohitaj,ni muhimu kwa biashara yako!IF U NEED THAT SERVICE,ni PM/nitumie...
Wasalaam,
JF natambua ni kisima cha mambo mengi. Naomba msaada kwa yoyote anayeweza kunielekeza wapi ninaweza kupata mkopo wa Tsh 70m- 100million wa muda mrefu kama miaka mitatu- sita, repayable...
Kuna suala la deni la ndani la marekeni, hivi karibuni limekuwa likiongerewa sana ktk vyombo vya habari hasa vya inje ya inchi. Eti marekani inakabiriwa na deni kubwa sana eti km hatua muhimu...
Watanzania wanaoishi nje wanapeleka wapi pesa zao
WaKenya ambao waaishi huku Tanzania na kwingineko duniani, mwaka uliopita walirudisha nyumbani kwao zaidi ya dola za Marekani $640 million...
Natanguliza shukrani wanajamii.
Nimedhamilia kufanya biashara ya mamalishe hapa dar maeneo ya kinondoni.nimevutiwa sana na hii biashara kwani mtaji wake ni mdogo ukiwianisha na mzunguko wa mauzo...
Sekta ya afya ni asilimia 8 mwaka huu ikilinganishwa na mwaka jana ambapo ilikuwa ni asilimia 11,ifikapo 2015 Tanzania inatakiwa kufikisha asilimia15 ili itimize azimio la abuja na nashindwa...
Nilifikiri tatizo la kutojua Lugha kwa ufasaha ni la Watanzania kwenye KISWAHILI chao na katika lugha zingine za kigeni. Kumbe hata kule tunakoiga hizo lugha wanakabiliwa na changamoto hii! Soma...
Mwandishi Wallace D Wattles anasema hatua ya mwanzo kabisa ya mtu kutajirika ni FIKRA, na kuwa twaishi katika dunia ya FIKRA, kwamba kila kilichofanyika chini ya jua chanzo chake kikuu ni FIKRA...
Wajameni, lets put greedy aside and acknowledge the overwhemingly success Precision Air has had in the last 8 years! I know for some critics here will harshly crush out my advice, but wait a...
Wadau, nilinunua moderm ya Airtel ili nitakapokuwa kijijini niendelee kupata mawasiliano ya Internate kupitia Laptop yangu. Kwa kweli sijaona faida yoyote maana ukinunua airtime ya elfu kumi...
Wajameni,
Kuna siku niliipongeza ccm hapa ukumbini kwa kuifanya Tanzania nchi ya omba omba. Jana BBC walirusha hewani documentary ya mzungu mmoja anaeishi karibu na Kilimanjaro National Park na...
I wonder how others handle the investing process from afar... apart from those you know personally, are there reliable companies to invest through? How do you ensure you have...
Legislators yesterday sought governments stand on the imported fish from Japan, claiming that there were reports that traces of radiation had been found on them.
Members of Parliament from the...
Angolas capital, Luanda, retained the unenviable distinction of being the worlds most expensive city for expatriates, for the second year running.
According to the Mercer 2011 Cost of Living...
Salamu,mimini mjasiliamali mdogo ,namiliki saluni 2 za kunyoa! kutokana na mgao wa umeme mapato yameshuka hadi afu 50 kwa wiki
badala ya laki 2 ,sina ujanja kwa sasa kwa sababu kwa serikali hii...
Wakubwa unapoenda kubadilisha matairi kwenye tyre shops kuna vitu gani ambavyo ungependa upate, from tyre shop, na pia service gani ungetamani iwepo au mazingira ya tyre shop ya we vipi...
Mambozzzz!
Naombeni kwa anayejua, ni kiasi gani cha kodi unatozwa bandarini dar unapoingiza 4WD car kutoka uk? mfano ford pick up au range rover vogue?
Asanteni
Mufuruki: Vijana wengi hawana sifa soko la ajira Wednesday, 15 June 2011 22:29 Fredy Azzah MWENYEKITI wa Umoja wa Maofisa Watendaji Wakuu wa Kampuni zilizopo nchini, Ali Mufuruki amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.