Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu, Ninaishi nyumba ya mfukoni (kupanga)-DSM, Mwenye nyumba wangu ana eneo kubwa ambalo binafsi naona halitumii ipasavyo. Nafikiria kuteta nae anipe mita chache za mraba ili nianzishe mradi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
ivi fixed account zina riba ya kuridhisha au ni ubabaishaji. Ningependa kuinvest huko kama kuna faida
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada wenu wapi nitapata pumba za mpunga kwa wingi hapa dar. Tafadhali kama unafahamu na gharama zake utakuwa umenisaidia sana. Asanteni
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Serikali ilitutangazia leo bei ya mafuta yanashuka. Lakini cha kushangaza baadhi ya sheli leo Moshi hawakuwa wanatoa huduma hiyo. Nikabahatika kuweka mafuta katika sheli moja kwa shilingi 2285 kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakubwa.Leo ilikuwa siku ya mjadala wa bajeti ya Uchukuzi, malumbana yalipamba moto kwa wabunge wavyama vyote kueleza usimamizi duni wa wizara hiyo, na ndipo mbunge wa Ludewa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani nimesoma brochures za pride na jinsi wanavyotoa mikopo yao nikaona ni safi sana. Wanaanza kukopesha tsh.200,000/= unalipa tsh.11,000/= kila wiki kwa wiki 25 (11,000 *25=275,000/=)...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakubwa nimejenga nyumba ya vyumba 3 tu,choo,bafu(tayari na umeme na inaendelezwa upande wa pili kwa kwa vyumba vingine 3 ,vimefika kwenye kuezekwa na ni kwenye viwanja hivi vya kuuziana,(kwamba...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Nimeangalia viwango vinavyoonesha kupungua kwa bei ya mafuta. Hata hivyo punguzo la halisi ni kama 1-2.5% hivi. Mfano Morogoro lita ya petrol kabla ni Tshs. 2080 lakini bei elekezi kufutuatia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Can you succeed in an unfair game by playing fair? Je ni busara kuacha kulipa rushwa wakati ungelipa kazi yako inanyooka? Kuacha kutoa 10% wakati usipotoa haupati tender? Kuacha kuchezea invoice...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Results of Chunya Feasbility and Issue of Equity 6 July 2010 Shanta Gold Limited ("Shanta Gold" or the "Company") is pleased to announce the completion of its Feasibility Study on the Chunya...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
We are now at the beginning of the next trillion dollar industry—an industry that will impact almost every aspect of our lives and achieve $1 trillion in sales in just five more years, but one...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wapenzi wana JF Salaam, Nataka kununua gari fm Japan, Mitsubish Canter (Dump) ya 1998 kwa USD. 9,500 (CFI). Plz naomba kufahamishwa mchanganuo wa gharama za kulipa Bandarini wakati wa kutoa gari...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Lakisita (Tsh:600000), nnataka nijishughulishe na ununuaji wa dhahabu kutoka kwa wachimbaj wadogowadogo( locally) na kuuza at profit (kwe dealers wakubwa) pengine one day naweza kuwa among great...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari wandugu, Ukinunua gari jipya Afrika kusini ukalisafirisha kwa barabara kwa kutumia lori, linapoingia Tanzania unalipa kodi sawa na kama ungelileta kwa njia ya meli na kuingilia bandarini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nilikuwa nataka kupunguza ukali wa maisha kwa kuanza kulima nyanya . nina kama feet 140*90 . nika panga kuzalisha miche 1000 tu ya nyanya, nikafanya mambo yote pamoja na kutibu udongo kwa kuyumia...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
80 pct of MDs in multinationals not nationals`By Gadiosa Lamtey 1st August 2011 Marketing professionals in Tanzania have been called upon to re-define their field so as to bolster the economic...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni Siku ya pili leo tangu ipite ile tarehe tuliyoahidiwa kupata neema ya punguzo la bei ya mafuta. Ni jambo la kuchefua kuona kuwa, mara tu baada ya serikali kutangaza kupitia kwa waziri wa fedha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nimatumaini yangu uzima wa afya,ninayofuraha kuchua nafasi hii kukujulisha malalamiko sisi wafanyabiashara wa kibaha,kwani hapa kibaha kuna wafanyabiashara wakubwa na wadogo,kuna huu mfumo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom