Wewe juzi kati tu hapo umewavua watu magamba tena kwa kasi mpya. Sasa na wale waliovuliwa magamba ni mafisadi papa tena kama yule wa kanda ya kati pale anamiliki vituo kibao vya mafuta , sasa...
Carlos Slim Lost About $6.7 Billion This Week as S&P 500 Index Fell 7.2%Q
By Crayton Harrison - Aug 5, 2011 11:55 PM GMT+0300
The Mexican billionaires stock portfolio, measured in U.S...
Miners in Kikirwa coal mines. Tanzania is exploiting its coal for alternative power generation Photo/FILE
By JOHN MBALAMWEZI
Monday, April 18 2011
Tanzania is seeking international and local...
wataalmu wa uchumi na wenye data.
je tanzania
Tuna reservse au kiasi gani cha asset au akiba pale BOT kilicho katika USD
Tuna reserve au kias gani cha aset na kiba pale BOT kilicho...
Habari zenu wakuu,...
Ninataka kuanza biashara ya kuku mwakani,possibly mwezi wa pili.
Location ni mkuranga (pwani) ila ni porini sana na upatikanaji wa maji
kule ni sifuri,....
Ningependa kujua...
Kwa kweli kama Hayati mwalimu alitabiri kwa uhakika kabisa kuwa serikali ikishikwa na wafanya biashara utoaji wa maamuzi utakua mgumu. Na akataka siasa itenganishwe na biashara. He was right...
Hii system ya benki za Tanzania kukupatia kadi mpya kwa gharama ya Tsh. 10,000 ati kwa sababu imekuwa blocked kwa kuingiza wrong PIN number ni wizi wa waziwazi kabisa. Card bado mpya kabisa, kwa...
Wana JF naomba wenye uzoefu na biashara ya poles kutoka Iringa wanijuze. Napenda hasa kujua soko lake hapa Dar likoje na kama kuna iwezekano wa kuuza mzigo kwa jumla. Ni maeneo yapi yanafaa kwa...
Wadau, habari zenu?
Naomba mnisaidie kunijulisha ni nani anaweza kunikopesha 35,000,000 nitamrudishia 1,500,000 kila mwezi kwa miezi 30.
Sina gari, sina nyumba, sina kiwanja.
Nina kazi kama...
Ndugu wana jamii,ni wapi naweza kupata mkopo kwa kuweka hati ya kiwanja changu kama security?
Sina biashara yeyote na sija ajiriwa sehemu yeyote.Ila nina business idea ambayo nataka kuifanyia kazi...
Fuatilia makala hii hapa chini, jinsi gari zinazoingia ulaya toka Japan zinavyowekewa uangalizi wa juu kuhakikisha hazina madhara ya mionzi,
Nafiiri zinazokuja huku kwetu Africa watu...
Naomba kujua ni njia zipi mtu anaweza kupitia kufungua chama ambacho wanachama wake ni umoja wa watu ambao walikuwa shuleni pamoja oldschool timers lakini leo watu wazima lakini leo hii wanataka...
Nipo katika eneo ilinalolimwa mpunga sana na kuna mashine mpya za kichina mabazo sio zinakoboa mpunga ila zinamenya!!
Pumba zinazotokana na kumenywa kwa mpunga zimelundikana sana na nia yangu ni...
The Parliamentary Standing Committee on Public Organisations Accounts, (POAC) has declared all transactions entered into by Dar es Salaam Transport Company, (UDA) Board of directors illegal...
Members of Parliament yesterday pressed the government to take action against foreigners who get employed through illegal procedures and companies which disregarded local people, saying it was...
Wakati wa awamu ya pili ya Mzee Mwinyi, wenye akili waliitaka Serikali iachane na biashara ya kuingiza mafuta nchini na kuyasafisha. Mwinyi alikuwa rais, Yona Kilaghane DG wa TPDC (ni mkuu wa TPDC...
Wana JF
Kuna Jambo mmoja huwa nashidwa kabisa kuelewa shirika kubwa kama CRDB BANK kuwa na System iko down over hours siwalewi kabisa hawa ni kuwa system zao (softwares/Hardware) inashida au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.