Leo ndugu wanajamvi nimeonelea niwaletee maelezo kidogo kuhusu pesa tunazochangia kununua umeme, na hasa kwa wale tunaoishi katika nyumba za kupanga.
Labda nianze na umeme tunaonunua toka...
HABARI WANA GREAT THINKERS,
HEBU TUCHAMBUE FAIDA NA HASARA ZA BIASHARA YA BAJAJ NA BODA BODA
A:FAIDA
I-MADEREVA WAMEPATA KAZI NA AMBAO HAWAKUWA MADEREVA WAMEJIFUNZA
II-VYUO VYA MADEREVA VIMEPATA...
Wengi wanao-advocate price control wanasema kwamba hii ni njia ya kuwa-protect watu wengi na wafanyabiashara ambao watapanga bei kubwa ili kupata faida kubwa ; Lakini Je hii ilishasaidia sehemu...
Ndugu wana JF nimekuwa na maono ya kuanzisha kampuni ya uzalishaji, usindikaji na uuzaji wa zao la zabibi kwa mda mrefu ila sijui hatua za namna ya kuanzisha kampuni. Nipenda kampuni ya...
Wakuu natanguliza heshima kwenu na poleni na shughuli za kila siku ndukuzangu nahitaji bwana shamba atakae simamia shamba langu kila inapohitajika kufika inategea na makubaliano nategemea kulima...
mambo vipi wadau????
Kana shamba zuri sana naliuza wakuu maeneo ya kibada-dar-es-salaam linafaa kwa mengi kama shule n.k.bei tsh 70 milioni.
Naomba kwa wadau wenye uwezo au wanaweza nipatia...
hello wananijamii habari zenu,okay miminimjasiliamali mdogo(nimejiajri)sasa nilikuwa naomba advice ama mawazo ni kwamba ninao mradi ama biashara ya kutengeneza viatu vya kisasa kabisa vya kiume...
HE fall in production for many a corporate institution in both industry, agriculture and other major sectors of the economy in Tanzania as caused by an assortment of problems is already...
Nadani huu ndio muda muafaka wa watanzania kufanya mgomo wa amani lakini effective na ni kama ifuatavyo.
1. Sisi wenye magari tupaki magari yetu kesho asubuhi kufunga njia zote za kuingia na...
Wana jf nawasalimu.
Hizi ni image (attachments) mbili tofauti na samahani kama nimeziweka kwenye jukwaa lisilo sahihi.
Naomba msaada hasa kwa wale wataalamu wa uchumi juu ya athari ziazoweza...
Victron Energy, Inc., along with ExxonMobil would like to recognize some of the schools in the Midlothian Independent School District. These schools are Midlothian High School, Walnut Grove Middle...
Wdau nimefikiria biuashara ya kufanya kwa muda sana nikapata wazo la kuanzisha biashara ya Hiace Mwenge Bagamoyo,
wenye uzoefu naomba tupeane ujuzi. Nawasilisha
Maonyesho ya Nanenane ni maonyesho ambayo wakulima huwa wanonyesha mzao yao. Wataalamu wa zana mbalimbali na wafanya biashara kuonyesha zana zitumikazo kurahisishia wakulima hao kupata mazao...
Dow plunges 500 points
By Annalyn CenskyAugust 4, 2011: 3:54 PM ET
The Dow has now lost all of the ground it gained in 2011. Click the chart for more stock market data.
NEW YORK (CNNMoney) --...
Unajua unaweza kuwa unalalamika kila siku kuhusu serikali! Lakini je wewe umefanyaje kuhusu kutengeneza ajira mpya mpaka sasa?
Mimi binafsi nimetengeneza ajira za kudumu 5 mpaka sasa.
Na...
Tafadhali aliyewahi kufanya business hii aliwa Tanzania alifahamishe jukwaa mambo yafuatayo: aliwezaje, security, ni website ipi aliyoyumia, what are the challenges, na profit margin yake ikoje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.