Wakuu hiv ile systeam ya TRA ya kutax used car kutoka japani imeshaanza kufanya kazi? Nimepata NOAH ya mwaka 1999 japani,CIF yake ni dola 3100,je kodi yake itakuwa tsh ngap? msaada please...
When you subtract out of sleeping time, commuting time, working time and time for things you have to do each and every day of your life, most people don't have more than one or two hours each day...
Wafanyakazi wa Zantel kitengo cha Customer Care 'waliouzwa' kinyemela kwa kampuni nyingine hawajalipwa kwa miezi 2 sasa. Haijulikani kama sababu ya mwajiri mpya kushindwa kuwalipa ni kutokana na...
Wakati ule wa utumwa wa wana wa Israel nchini Misiri Mungu alimsaidia Yusufu kufasiri ndoto ya Farao, ni ndoto hii na fasiri yake sahihi ndizo zilisaidia nchi ya Misiri kuwa taifa lenye nguvu...
Kuna Mwanajamii aliweka hapa kuhusu Rare Minerals yamepatikana Japan; lakini tumecheki online na tumeona kuwa Tanzania is one of the rare countries ie. China, Japan, USA, Australia, SA with...
Habari zenu,
Nilikuwa natafuta sponsors kwa kusponsor event ambayo itafanyika November mwaka huu,
Kama kuna mtu ambayo anaweza kusuggest makampuni ambayo wataweza kutusponsor au wanaweza kuwa...
eneo la ekari moja tutali nunua kwa shilingi laki nnne 400,000/= ekari kumi tuta nunua milion nne 4,000,000/= tutalima ekari moja kwa shilingi elfu thelasini 30,000/= ekari kumi lakitatu 300,000/...
Kufatia Power Rationing inayo endelea. Mionzijua Company Limited wanazo 3 different kits zinazoweza kukuepusha na mgao huo wa umeme.
1. Taa 4 na TV
- 1 Pc, 600 Watts Inverter Charger aina ya AMPEX...
China not only fakes iPhones but Apple Stores, too!
July 19, 2011 at 8:59 pm
China might be known as the home of the fake iPhone, but what about whole stores...
WanaJF uchumi na teknoloia ya china unakuwa kwa kasi kubwa. Wamefikia hali hiyo kwa kutumia lugha zao hasa katika upande wa teknologia. Hivi hakuna haja ya kuingiza lugha zao katika mitaala ya...
Just part of the story from IPP(the Guardian)....
Overall, MPs from Chadema and NCCR- Mageuzi have identified themselves as anti- allowances campaigners but their crusade hit a snag in the House...
Tumesikia muheshimiwa raisi JK yuko Africa ya kusini kwa ziara ya kitaifa na pia ameshakutana na wafanyabiashara wa South Africa na kuwashawishi kuja nchini Tanzania na kuja kuwekeza kwenye nyanja...
Nimesikitika sana kusoma haya makala ya watu kama hawa wanaosadikiwa kuwa ndio wasomi na viongozi wa kesho wanaoweza kuliokoa Tanzania. Hawa Vijana wanaipeleka Tanzania pabaya na Rhetoric Zao...
Mahakama kuu tanzania imeamuru RITA iifilisi IPTL kutokana na ombi la mshtaki.swali kwa kuwa IPTL ni bomba mojawapo la ufisadi,mafisadi watakubali?jee kale kategemeo ketu ka umeme toka iptl...
CEO Wa NHC yupo na Makwaiah Kuhenga kwenye kipindi ambacho ni recorded. Kwa haraka haraka nimeona strategic vision na shirika hili kongwe na ametaja some quick wins kama vile ku-improve liquidity...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.