Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Most First class students get technical seats, some become Doctors , Engineers and some Accountants etc The Second Class pass and then pass MBA become Administrators,Doctors and control the First...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Watu wengi wanaojishungulisha na biashara za Transportation ambao ninawajua wanatumia malori aina ya Scania.Nimejaribu kuwauliza kwa nini wanatumia Scania na sio Volvo ambayo ni bei raisi...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Natafuta eneo la kukodi kwa mkataba wa miaka 2 au miaka 3. Liwe ama barabara ya morogoro road kati ya kimara hadi ubungo, ama segerea hadi tabata relini. Mwenye eneo awasiliane nami...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wenye kuzitumia hizi mashine tunaomba mtufahamishe, mnatumia mbinu gani kuwapatia wateja wenu risiti pamoja na kuzioperate hizi mashine pale Tanesco wanapochukua umeme wao?. Assume huna chanzo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Serikali Ya JMT chini ya Uongozi wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, imeshatiliana saini na Mwekezaji wa kuweka mitambo ya kufuwa umeme wa kutumia makaa ya mawe usiopunguwa Megawati 600. Zaidi ya...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Nilisema hapa muda umepita ni kwanini Tanesco wasinunue Generator wenyewe bila tender bali kutoka moja kwa moja kiwandani. Hii itapunguza rushwa kwasababu bei ye kiwandani kila mtu anaweza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF, natafuta kwa wingi pili pili manga na asali mwenye nazo au mwenye habari za kuaminika kuhusu zinapopatikana anitonye
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naangalia TBC1 Habari. Mtambo mmoja kati ya mitatu iliyopelekwa kwa matengenezo umewasili. Inanikumbusha 2006 tulipoipokea mitambo ya Richmond kwa mbwembwe. Dah! Sijui!
0 Reactions
19 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Philimon Shelutete Dc wa Geita anatuhumiwa na Baraza la Madiwani wa halmashauri ya Geita kwa kuchakachua nafasi za ufadhili wa masomo kwa ajili ya watoto wanaoishi mazingira magumu zinazotolewa na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
There is nothing wrong in wanting to get rich. The desire for riches is really the desire for a richer,fuller, and more abundant life — and that desire is praiseworthy. The person who does not...
1 Reactions
0 Replies
983 Views
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Salma Kikwete (kulia) akizindua nembo ya (HMT) kwaajili ya uzinduzi ya Taasisi ya Hassan Maajar Trust na kuanzisha kampeni ya kusaidia kutokomeza...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Tangu Jumapili tarehe 10/7/2011 hadi leo Jumatano jioni TANESCO Arusha imeshindwa kuwapatia umeme wakazi walioko maeneo ya Kijenge yote(chini na juu), Kimandolu na maeneo yaliyoko barabara ya...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuongoza wafanyabiashara wa Kitanzania kwenye kongamano la kihistoria la wafanyabiashara litakalofanyika Julai 9 , mwaka huu jijini Pretoria, Afrika Kusini. Kaimu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nawapa tu taarifa kwamba Mh Rais yuko Bilila Lodge mapumziko tokea jana. Tumtakie mapumziko mema Raisi wetu ili arudi akiwa na nguvu mpya ya kulitumikia TAIFA LETU. Nawakilisha.
0 Reactions
54 Replies
9K Views
Nimekumbana na Nyaraka zinazotoka kwa mtu anayeitwa Habib Mahlouji ambaye ni CEO WA CASPIAN ,nyaraka hizi zimenistuia sana kwani sikujua kuwa kumbe Rostam amekodishiwa kuchimba alimas ya Mwadui/au...
0 Reactions
45 Replies
11K Views
Ndugu wana - JF nina mpango wa kufungua kijiduka cha VIPODOZI maeneo ya MWENGE, SINZA au sehemu nyingine inayofaa kwa biashara hiyo kulingana na ushauri wenu wadau. Naombeni msaada wenu wa namna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu serikali yetu imekuwa ikisisitiza kuwa ajira ambazo watanzania wana uwezo wa kuzifanya wageni kutoka nje hawaruhusiwi kuzifanya. Msisitizo huu unatokana na malalamiko ya waTanzania...
4 Reactions
55 Replies
8K Views
Wanajamii wenzangu, hebu pakua hii document ujue jinsi dollar inavyoathiri uchumi wetu na jinsi wadau mbalimbali wanavyojitahidi kupambana na hii hali
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Gold price hits record highFears over inflation and European debt drive price of gold to $1,587 an ounce Graeme Wearden guardian.co.uk, Wednesday 13 July 2011 18.04 BST Investors have retreated...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Korea International Cooperation Agency (KOICA) is supporting a project for the modernization of Tanzania's customs administration, which is to cost USD 3.3million, equivalent to 5bn/-. The project...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom