Wakuu,
Natafuta Frame ya duka maeneo ambayo yanafikika kiurahisi. Isiwe kubwa sana na wala ndogo sana.
Ningelipendelea maeneo kama Kinondoni, Mwenye, Sinza, Ilala na Ubungo.
Lengo hasa ni...
Habari Members, mimi nina swali/hoja. Kama kuna mtu anayejua kama hawa jamaa wa MKURABITA wanafanya kazi namna gani, naomba mchango wake.
Najua: lengo la MKURABITA ni kuipa thamani ardhi ambayo...
Wana JF naomba mnisaidie jambo moja. Hivi kujisajili kwa ajili ya kulipa VAT ni option? au Mandatory? maana ninachoshangaa wanotaka kusajiliwa kwa ajili ya kulipa VAT wanazungushwa sana wakati...
Revving Google's Search Engine
EVERY TIME you initiate a search on Google, chances are Ben Gomes has had something to do with the replies you get.
[Ben Gomes is a Distinguished Engineer at...
THERE IS A SCIENCE OF GETTING RICH, and it is an exact science, like algebra or arithmetic. There are certain laws which govern the process of acquiring riches, and once these laws are learned and...
Forexpros - Gold futures rallied to a fresh record high for a fourth day on Monday 18 July 2011, climbing past USD1,600 an ounce (one ounce =31.1034768 grams) amid fears over a potential U.S...
Hebu ona unapewa hati miliki ya ardhi ambayo inatambua kitu kilicho juu ya ardhi mfano jengo na mazao na maendelezo uliyofanya juu ya ardhi.Umiliki huu umetia umaskini watanzania. Hati miliki bora...
JAMWATANZANIA MIMI KAMA MDAU WA MAZINGIRAANI
Nasikitika sana na uchafuzi wa mazingira utokanao na Tiketi pindi mechi za viingilio zinapochezwa ktk Uwanja wa Taifa
hali hii sio nzuri hata...
Wakuu naomba msaada wa aina na mahali pa kupata Generator ya umeme kwani nina mtoto mdogo ambaye umeme ukikatika anasumbua sana. Naomba kujuzwa aina ambayo ni imara, inayotumia mafuta kidogo na...
Habari,
Nina wazo la kufungua ofisi ya kukopesha fedha kwa riba ndogo na masharti nafuu, na kupokea fedha kutoka kwa watu na kurudisha kwa riba baada ya mda flani. Mfano: kwa kila TSH 10,000...
Habari wana JF, kuna mdau anatafuta pili pili manga na asali mbichi kwa kiasi kikubwa, kuna yeyote mwenye aidia ya inapopatikana pamoja na bei kwa kilo, lita?
Hali ya kiuchumi katika mji wa Musoma si ya kuridhisha hata kidogo. Baada ya kukaa wiki mbili mfululizo pale mjini nimegundua hali imekuwa mbaya zaidi kiuchumi compared na mara ya mwisho nilienda...
Hii ni kwa mjibu wa blog ya Subira, link ipo hapo chini. Mwenzake Mkapa alipunguza inflations kutoka 14% aliyoiacha Mwinyi hadi kufikia 4% wakati anaondoka madarakani. Naona Kikwete sasa kaamua...
Wanajamii,
juzi kati nlikua nafanya 'transaction' flani hivi za dola,
Sasa kwakua dola zilikua ni nyingi na nlikua na haraka sikuweza kuzikagua miaka zaidi ya kwamba nilicheki tu kama sio feki...
Our company have come up with an advertising medium which can directly reach the consumers. We are talking here of more than 6,000 potential consumers daily reading your ad.
We are looking for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.