Habari wana JF,
Nimekua nikiishi Kwa muda mrefu nikiwaza nifanye jambo gani Ili angalau nipige hatua mbele?
Lakini nmekuja kugundua jambo Moja ambalo ni ukweli mchungu, Ukiwa na Hela ni rahisi...
MRADI WA MACHIMBO YA DHAHABU NYANZAGA KUANZA UTEKELEZAJI WAKE MAPEMA
-Waziri Mavunde akutana na Kampuni ya Perseus Dodoma leo
-Awataka kuharakisha uendelezaji wa mradi
-Asisitiza...
Wakuu,
Proforma Invoice inatumika vipi? Pili, mimi ni freelancer na mteja anataka Proforma, nifanyeje? (niprint yangu? Je, vitu kama TIN na VRN ntatoa wapi au nibuni tu?
Au nitumie Proforma ya...
Habari wana jamvi wenzangu.
Baada ya kuona jambo hili na kuliangalia jinsi linavyoenda nimeona nilete kwenu kwa msaada wa zaidi. Nahitaji kwa mwemye uzoefu na biashara hii anisaidie mambo haya...
Hi
1.a secret link with database books of everything you know in this planet,you can download freely,books worth millions of money on Amazon but the secret link provides for free.
2.An Ebook...
Hizi microcredit zinatakiwa zitoze riba kiasi gani wanajamii, kuna mtu kaingizwa mkenge hapa tunatafuta suluhu lakini kwa kiasi alichokopa na marejesho ni kama anafanyiwa robbing.
Kibaya wahusika...
Kuna jambo moja haliko sawakwenye biashara za mazao ya kilimo, Bidhaa mbalimbali zinazotoka kwa wakulima kwenda sokoni/mlaji, zinawafikia walaji zikiwa katika hali ya uchafu kwa mfano Tangawizi...
Wakuu nimesoma report ya upatikanaji wa madini mkoani Ruvuma.
Nimesoma nikaona Kwamba madini ya chuma yanapatikana katika Kijiji cha Mtonya Wilayani namtumbo je wenyeji wa namtumbo yaliyo andikwa...
[emoji419]Je unajua wajua unaweza kuvisikiliza vitabu vyote maarufu, badala ya kusoma?
[emoji419]Ndio, wasiliana nami ili niweze kukupatia kitabu chochote unachokihitaji ktk format ya audiobook...
Habari wana JF. Poleni na Majukumu.
Naombeni msaada wenu. Naitaji kufungua biashara ya kuuza vifaa vya simu na simu, nina mtaji wa Millioni 2, naombeni mnifahamishe namna ya kuianza biashara hii...
Habari Ndugu Zangu
Nataka Kufanya Biashara ya Simu used Kutoka Dubai, Naomba msaada wa vitu vifuatavyo.
1. Jinsi ya kupata connection ya kuagiza vitu hivyo Kutoka Dubai
2. Mtaji unaohitajika...
MBUNGE MAVUNDE KUWAWEZESHA KIUCHUMI WAJANE JIMBONI DODOMA MJINI
-Amshukuru Rais Dkt. Samia kwa kurejesha mikopo ya 10%
-Aileta Dodoma Taasisi ya Fedha inayokopesha wajane bila riba
-Awataka...
Mafuta
Vyakula
Madini
Usafirishaji
Fedha
Media
Elimu
Afya
Dini/kanisa
Michezo
Utalii
Mifugo
Vifaa vya ujenzi
Mimi nimejikita kwenye vyakula? Changamoto zipo ila napambana
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb) amesema kuwa mpango wa Serikali katika kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ili kupata masoko ya uhakika.
Mhe. Kigahe...
Kuna muda anapenda mpaka umdanganye, ukimwaambia ukwel humpati. Unaona kabisa yani.
kuna muda inakulazimu ujishushe chini yake mradi tu msikae class moja ili a feel he has the final say ndio...
kariakoo hii Mpya ambayo inaweza kufunguliwa hivi karibuni, inaweza kuwa na Fursa nyingi kwa vijana na kwa watanzania kwa ujumla kama serikali itaacha mambo kadhaa yafuatayo
1. Kubana uhuru wa...
Hellow wanaJF,
Nina wazo la kuanzisha biashara ya kusaga unga wa sembe na ku-pack kwa ajili ya kuuza. Jamani naombeni mawazo yenu.
WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUJIFUNZA KUHUSU BIASHARA HII...
Wakuu husikeni na mada hapo juu. nahitaji kujua wapi nitapata kiti kama hichi Cha Saloon ya kiume kwa budget ya 700k, nahitaji viti viwili vipya lkn vya muundo kama huu. Au kama Kuna mtu anavyo...