Nyomi niliyoikuta hapo
Balaa na nusu
Yaani kama una kipato saivi na hausevu, hauwekezi jua tu unataka kutesa watu ukistaafu
Naongea na wewe uliyeajiriwa[emoji58]
Wafanyabiashara hawatakagi...
Wadau salaama!
Nampango wa kuja kuweka maisha hasa biashara, ufugaji na kilimo maeneo ya Kisaki au Bwakira chini-Morogoro kusini. Naomba kupa connection na wenyeji wa huko.
Pia naomba ushauri...
Wazoefu naombeni ushauri wenu kwenye hili.. nahitaji nchi ya kwenda kuuza bidhaa zangu, nauza socks kariakoo, katika kutaka kujitanua na kutafuta wateja ni Wapi katika hawa jirani zetu panaweza...
Hello!!
Nina 1.5 milioni nahitaji kuanzisha biashara ya vifaa vya simu na vifaa vya umeme. Je, hii pesa itaweza kumudu kuanzisha biashara hii?
Watalam waje wanifafanulie vizuri
Nyavu ya inch 3 au 5 ukiinunua mpya ni kama million 1 hivi ambayo maliasili hawatakusumbua, chombo ni ngalawa ambayo ni kama laki 2. Ukimpata baharia mzuri akasimamia na wavuvi wake 10 kazi...
Mara nyingi waajiriwa wamekuwa wakipata changamoto ya kufeli kwa biashara, wanazozianzisha, tena mapema sana, kutokana na kutokuwa na uelewa (awareness) wa kutosha na muda wa kusimamia.
Factors...
Wasalaam Wakuu,
To the point...well nimewaza kama kuna uwezekano wa kununua boda boda mpyaa from china na kuziuza huku TZ huenda kule zikawa kidogo nafuu then nije niuze huku hata mkoa hatimae...
Waislamu wanatumia muda wa mwenzi mzima kwa ibada nzito ya kufunga na pia wanatumia gharama nyingi kwa maandalizi ya sikukuu ya idi ambayo nayo kusherehekea kwake kuna maelekezo ya kiibada.
Kuna...
habari waku,nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuuza mazao ya chakula kama mahindi,maharage na mengine .kwasasa nimeshafanya michakato ya kupata fremu ya kuuzia ila sijajua naanzia wapi kufanya...
Wana jamii kwanza habari zenu,
Mimi ni kijana naombeni ushauri wenu ni fursa zipi za biashara mnanishauri nifanye kwa hapa Kahama, maana mimi ni mgeni.
Naombeni miongozo yenu, naamini...
Nipo huku kwa Biden najaribu kuangalia fursa za kuleta nyumbani ila ni vizuri kujua demands za soko la nyumbani.
Naomba maoni yenu juu ya bidhaa, biashara au huduma zinazoweza kuletwa Tanzania...
Habari zenu wakuu, mimi nimemaliza chuo hivi karibuni nikaingia katika field niliyosomea, ukemia , nikajikita kwenye ukemia wa plant kwa muda wa miezi kadhaa nikawa nime master vitu kwa kiasi...
Wakuu habari,
Kuna uzi nilishawahi kuusoma humu ndani juu ya uwekezaji kwenye mifuko ya UTT. Kuna ndugu aliuliza ni kiasi gani anapaswa kuwekeza ili aweze kupata return ya Tshs 250,000 kila...
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Tanzania imepanda Hadi nafasi ya 2 kama mzalishaji mkubwa wa Zao la Tumbaku Afrika ikitanguliwa na Zimbabwe.
Hata hivyo Waziri Bashe amesema huenda Tanzania...
Kwa muda mrefu nimekua na kiu ya kupata uelewa sahihi wa tresuary bills na tresuary bonds zinazosimamiwa na BOT lakini nimekosa maelezo sahihi au sijui nisemeje. Natama kufahamu yafuatayo:-
1...
Hii ni habari njema sana.
Shillingi ya Tanzania imeimarika sana dhidi ya shillingi ya Kenya. Miezi michache iliyopita shilingi moja ya kKenya ilikuwa ikibadilishwa kwa shillingi 22 ya...
"Nikiwa mzazi ninayetaka kuwekeza kwa ajili ya mustakabali bora wa mtoto wangu, ninavutiwa na fursa mbili za uwekezaji kwa watoto, yaani Watoto Fund - UTT AMIS na Junior Jumbo CRDB.
Kwa...
Kwanza, nitumie nafasi hii kuwashukuru wadau wote tuliokuwa pamoja mwaka 2023 na hatimae tunaenda kuumaliza mwaka huu, Ombi letu kwa Muumba ni tuumalize salama, ki-ujumla ulikua mwaka poa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.