Gharama anazopaswa kuingia mmiliki ni zipi, marejesho yanapaswa kuwa vipi? Changamoto zake ni zipi? Faida zake zinakuwaje hasa "mambo" yakienda vizuri. Matatizo ya kutarajia ni yapi?
Aina nzuri...
Habari zenu wadau,
Nilikuwa naomba msaada mwenye ujuzi na saloon za kike.
Yaani muundo wake, gharama zake, changamoto zake na hata faida zake na mengneyo kwa ujumla.
Wakuu habari,
Katika namna ya kuendelea kujitafuta nimekutana na wazo la kufanya biashara ya vifaa vya umeme vya majumbani kama bulbus, wire, main switches, zile pipe za kupitishia nyaya na...
Habari Wana-JF nina mtu wangu wa karibu anahitaji kufungua Branch ya KFC Mkaoni Mbeya ila hajui ataanzia wapi, alisikia tetesi kuna kiasi cha fedha ukiwa nacho unaruhusiwa kufungua.
Kile kiasi...
Heri ya eid el fitr mialiko ni mingi sana ila kama hujapata mualiko endelea kutafuta pesa coz sikukuu sio siku tu sikukuu ni pesa ukiwa na pesa kila siku sherehe
Wakati jana waislam...
Kuna mzigo wangu(laptop) umefika Dar Kwa kutumia FedEx, Mimi npo Dom (na nililipa Pesa ya na nauli na kuweka address ya Dom). Lakin naona mzigo umefika upo customs, ila wamenipigia simu ili...
habarini Wana jf,pole na majukumu ya hapa na pale.
Nimekuja kwenu nikiwa nahitaji msaada wa kifaa Cha NAZAVA WATER FILTER.
KWA HAPAHAPA TANZANIA NIWAPI NAWEZA KUKIKIPATA??.NA NAMBA ZAO...
Habari wanajamvi,
Natumaini kuwa tuko salama katika shughuli zetu siku ya leo. Hongera kwa kufanya sehemu yako katika kusukuma gurudumu la maisha na la taifa pia. Nchi hii inakutegemea (endelea...
Hii Ajira sasa imekuwa tegemezi sana kwa vijana na wengine wenye imani tofauti wakiamini ipo siku watakusanya kiasi cha pesa nyingi kupitia hii Ajira .
Hivi karibuni kwa asilimia kubwa zaidi za...
Wananzengo
Zimbabwe wame tangaza sarafu yao mpya kureplace pesa yao iliyopoteza thamani kwa 80 asilimia,
Sarafu hii ni ya kidigital pia inapewa thamani na gold.
Hadi sasa Zig 100 ni sawa na...
Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Mambo kadhaa Kwa uzoefu wa biashara ya kisasa Kwa duka la vyakula Yaan vitu vya nyumban na mitandao Ya Pesa Frames Location mkoani ,Mtaji 3.5M
Nipate Picha wa...
Hamjambo makamanda?
Nahitaji kujua pale DSE nawezajaze kununua hisa Kwa kuwekeza on stocks mbalimbali kuanzia banks au stock nyengine?
Naomba mdau wa haya mambo anipe maelezo jinsi ya kuwekeza...
Sijui niseme vipi ila kiukweli Biashara sio kitu cha kila mtu, kuna vivumbi vya kila mtindo viko humo ndani, nisiwachoshe niwape misiba yangu miwili mitatu kwanza:-
Mwaka 2021 kibarua changu...
Serikali imesema kuwa inatarajia kufungua Ofisi za Forodha katika Bandari ya Nyamisati mkoani Pwani katika Mwaka wa Fedha 2024/25, baada ya tathmini iliyofanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)...
Mkoa wa Njombe: Mkoa wa Njombe una Halamashauri 6 ambazo ni Njombe Mjini, Vijijini, Ludewa, Makete, Wangingombe na Makambako.
Wenyeji wa Mkoa wa Njombe 70% ni wabena, ambao wanapatikana Wilaya za...
Hapa sizungumzi kazi za kijanja janja unaotea kwa muda mchache unapiga dola kadhaa alafu baada ya hapo mchongo unakuwa ushachuja unaanza upya kujitafuta kwengine, nazungumzia kazi iwe ya uhakika...
Habari wadau,
Nina Malori semi- trailer mawili yapo tayari kwa kazi Muda wote, Shida yangu Mizigo natapa kwa kusuasua sana, nipo Dar es Salaam. Napolea Ushauri pamoja na Connection ya...
Kuna mda huwa nawaza naishia kucheka tu [emoji3][emoji3][emoji3], ivi mtu una miaka zaidi ya saba wewe unauzaga popcorn tu, wengine wanatembeza Maji barabarani nusra wagongwe na magari Kwa faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.