Habari wakuu
Naomba kama kuna wakala wa Perfect Money au yeyote anayejua namna ya kufanya deoosit perfecct money kwa kutumia mitandao ya simu ( M-Pesa, Airtel Money n.k) anipe mwanga nataka...
Habari zenu
Tafadhali naomba kujua kiundani kuhusiana na biashara ama uwekezaji huu wa MAKAA YA MAWE.
Kwa mwenye uzoefu naomba kujua taswira nzima inavyokuwa, mfano
Mahitaji muhimu (vifaa nk.)...
WAFUGAJI WA MUSOMA VIJIJINI WAENDELEA KUUNDA VIKUNDI VYA UCHUMI: KATA ZA IFULIFU NA NYAKATENDE ZAOMBA JOSHO LAO LA MWAKA 1956 LIBORESHWE
Jana, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter...
Hebu wenye uzoefu tupeane mawazo jinsi mtanzania aliyeko Tanzania anavyoweza ku "self publish" kwenye mitandao kama Create space, Lulu.com nakadhalika au kuuza kitu kwenye mitandao kama Amazon.
Natumaini wewe usomae Uzi huu u mzima wa afya. Napenda kuchukua fursa hii kuuleta kwenu Uzi huu. Kwa mda mrefu nimekuwa nikifuatilia hili swala wa kupublish kitabu cha kielektonic yaani eBook...
Kuna ndugu anauliza ni namna gani anaweza tuma mtu au kuagiza machine ya kufyatua na kufungasha pipi toka uchina.
Kwa niaba namtangulizia shukrani za dhati.
AMINA
Isiwe domestic na Isiwe heavy...
MASEGA MASEGA
Je gari yako haina nguvu?
Je gari yako ina unywaji wa mafuta kwa kiasi kikubwa?
Je gari yako ina muungurumo usio wa kawaida?
Je gari yako taa ya check engine inawaka mda wote hata...
Mimi ni master planner na fundi wa kutengeneza garden kuanzia hatua ya kwanza ya kupima MWINUKO wa eneo lako, kufanya tadhimini ya Aina udongo Unaotakiwa kutumia, kama Kuna mahitaji ya kifusi...
Kwa hali kama hi hamna Muhindi inae weza kuja Tanzania na akushindwa kutoboa maisha, watanzania wengi tumedekezwa kazi yetu kulalamika lalamika wakati hi nchi ina fursa za kiuchumi za kutosha kabisa,
Habari za asubuhi JF people?
Mimi ni Dalali wa Viwanja Magari Nyumba & Co. Kuna pesa huwa naipata gjafla kutokana na shughuli zangu za u middle Nimeamua kuanza kukopesha.
Watu ninaoanza nao ni...
Leo nilikuwa natumia huduma ya Lipa kwa simu kupitia voda, nikalipia bidhaa yenye thamani ya elfu 15 nikakatwa sh. 850, kama sijasahau hii huduma hapo mwanzo ilikuwa na lengo la kumsaidia mteja...
Ni muda tena.
Katika tafuta tafuta zake akaje kunicheki na kuniomba ushauri kuhusiana na duka kiujumla duka la vyakula kama muitavyo nafaka.
Maswali aliyouliza. Je, kuanzisha biashara ya kuuza...
Waliowahi kupata huduma Kwa mfumo wa hii kampuni ya baridi baridi..inayouza AC na nimewahi sikia kama wanakodisha...kitu kama hiko...ukilinganisha na mtu kwenda dukani na kununua AC moja Kwa...
Stamara wajada ni msingi kwenye kila kitu tunachokifanya, Kama wanasiasa wasemavyo vijana tujiajiri huku wao wakiendelea kukaa maofisini na wengine wakiroga waendelee kubaki kwenye hizo nafasi...
Habari zenu wadau natumaini ni wazima wa Afya.
Naitaji kufahamu kwa mwenye uzoefu na biashara ya kuuza vifaa vya michezo kama mipira, soksi jezi viatu na vifaa vyote vinavyo husika katika michezo...
Kuna mzee mmoja hapa ubungo alitaka kuiuza nyumba yake kwa Bei ya tsh mil 25,wakapangana na madalali wawili ambapo madali watachukua mil 2 tu.
Sasa madalali wamempata mteja ambae alivoina nyumba...
Wana great thinkers Kuna mishe ya karanga ndani ya mikoa ya Kanda ya ziwa
TABORA SHINYANGA
Kuna aina tatu za karanga
RED ndogo ndogo rd
RED kubwa kubwa (TIRA) RD
NYEUPE (WHITE) wt
Utofauti wa bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.