Wakuu wa JF,
Naomba kuuliza ni sehemu gan hapa Dar kwa mwaka huu 2024 Kuna fursa nyingi za kibiashara kwa sisi wenye mitaji midogo kama 3M ambapo maybe kuna nyomi la watu wengi, mzunguko wa...
10 Lessons from MILLIONAIRE SUCCESS HABITS by DEAN GRASIOSI
1. THE POWER OF MINDSET AND BELIEF: This lesson underscores the significance of cultivating a success-oriented mindset and belief...
Habarini wakuu,
Nina mtaji wa milion 7 nataka nianzishe biashara ya hardware, naomba kwa wazoefu wa biashara hii wanijuze wapi naweza pata location nzuri kwa Mkoa wa DSM na kwa mtaji huo ninaweza...
Habari wadau wa JF.
Kutokana na kaulimbiu ya nchi yetu ya Tanzania ya Viwanda leo nataka kuwapa funzo/mafunzo ya jinsi ya kutengeneza sabuni za kipande au kufulia.
Jiulize wewe uliyekuwa Katavi...
Wataalamu wasomi na wanamajumui kwa kuweka ubinafsi kando na uafrika mbele, hili jambo kama si leo ni siku zijazo laweza leta mapinduzi chanya katika kujikwamua na kuamsha shughuli nyingi za...
Wanajamvi nina wasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Nimekuwa nukijiuliza maswali mengi sana kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea katika taifa letu pendwa kabisa Tanzania, Je ni...
Mambo vipi wadau wa JF.
Leo nimewaletea Kaunda suti za watoto wadogo miaka 2 - 17.
Sifa za Kaunda suit 👇
Quality materials ✅
100% cotton wool materials ✅
Bei👇
Tsh. 95,000/=
WhatsApp/call...
Habari ndugu zangu, natumaini wote mpo salama. Niwatakie kheri ya X-mass na mwaka mpya.
Swali langu la Leo ni, Je biashara ya Uber na bolt kwa kutumia gesi asilia inaendaje?
Zingatia:
-Faida ya...
Huu ni mtazamo wangu binafsi juu ya soko la Hisa (shares) ambalo nadhani unaweza kumsaidia mtu yoyote kwa namna yoyote ile.
Nini maana ya uwekezaji katika soko la HISA?
Ni kitendo cha kununua...
Guyz habari mm ni mfanyabiashara naomba kujua sehemu ambayo watu wananunua dagaa wachafu kwa ajili ya vyakula vya migugo kwa sasa tuna tani kama 35 za dagaa wachafu lakni pia uduvi ila kwa sasa...
Wakuu habari zenu?
Niingie moja kwa moja kwenye mada.
Baada ya kusoma habari ya forex humu jamii forum nilitamani sana niijue hiyo biashara .
Baada ya muda nikaona post humu ikiwa inaelezea...
Agri acress farm kutokea Morogoro mjini Tanzania wanakuletea huduma bora ya miche mbali mbali ikiwemo miche ya matunda, mbao, maua na migomba.
Wasiliana na mmoja wa wanna bustani kutoka Agri...
Hello wanajamii,
Baada ya kuwasaidia zaidi ya wafanyabiashara 3000 kujenga biashara mtandaoni, moja ya swali ninaloulizwa sana na watu ni formula nzuri ya kupata wazo zuri la biashara...
Kampuni ya kutoa tathmini ya nchi juu ya uwezo wake wa kukopa na kulipa madeni, credit rating agency iitwayo Moody's imeipandisha daraja nchi ya Tanzania kutoka B2 kwenda B1.
Pamoja na hilo nchi...
Salam wakuu,
Kama Uzi wangu unavyojieleza hapo juu, nahitaji meza ya chakula (dining table) kwaajili ya nyumbani. Naomba kwa anayefahamu sehemu wanatengeneza meza hizo kwa gharama nafuu kwa hapa...
Je, kuna mtanzania anaingiza kipato kutokana na Teknolojia hii ya artificial?
Naomba kama wapo basi tupeane maarifa hapa, iwe artificial intelligence jumlisha na social media basi tupeane maarifa...
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini , ambaye pia ni Mfanyabiashara wa Kimataifa mwenye mafanikio Tayari amepata soko la Maharage meupe nchini Uturuki
Mazungumzo yake na Wazungu kwa ajili ya...
Habari ya jumapili wakuu. Naomba msaada wa maelekezo toka kwa mtu aliyewahi kusajili mradi chini ya Tanzania Investment Centre (TIC).
Ninahitaji kujifunza jambo kwa uhalisia wake hasa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.