Katika kuhakikisha Jamii inakuwa na uelewa mkubwa kuhusu matumizi ya nishati ya gesi Pamoja na kuunga mkono juhudi za Serikali ya Tanzania katika kuwafikishia ujumbe Wananchi wake kutumia nishati...
Kwa miezi kadhaa sasa tangu mara ya kwanza ambapo Mr. Ontario aandike kwa mara ya kwanza mnakasha kuhusu biashara ya Forex, nimekuwa napokea maombi kadhaa kwamba niandike japo kidogo maoni yangu...
Wadau!!!
Nimesikia ya kwamba mtu binafsi au kikundi cha watu, hapa nazungumzia labda taasisi, inaweza kuingia ubia na Shirika la Nyumba la Taifa ili kujenga kama ni nyumba za kuishi, apartments...
Habari JF.
Kama unaitaji kujua, kufanya biashara ya madini ndani ya Tanzania, basi njoo hapa na uulize kitu chochote utajibiwa. Kwa wanaotaka kuwekeza kwenye dhahabu, madini ya vito, yaliyo katwa...
Jamani kwa utaratibu wa TRA unafanya kazi zake mnawezaje kukua kibiashara mbona wafanya biashara wengi tukijaribu kufanya biashara tra ndo ya kwanza kuwarudisha nyuma.
Makadiria makubwa fine za...
Usidanganyike sana: Unafuu unaweza ukawepo lakini si bidhaa zote.. imagine hapo mtu yuko China anasema bidhaa hii utapata kwa 25,000 tu.. na kwa makusudi KABISA muuzaji huyo anajua gharama ya...
Habari,
Kiukweli tender za Serikali ni nzuri kwa kampuni zenye mitaji ya kutosha na sio kwa kampuni ambazo mitaji yao ni midogo.
Kwenye ufanywaji wa kazi huwa wanataka kazi zao zikamilike kwa...
Wakuu, habari za muda huu. Ningeomba kujuzwa na wataalamu wa hizi kazi za taxi mtandaoni, namna gani ya kupata abiria wengi. Mimi ni mgeni kwenye hizi kazi na ningependa kupata walau abiria 10 kwa...
Hali ya sarafu ya Tanzania inaenda kushukuka thamani ikiripotiwa shilingi ya Uganda kuwa Bora zaidi kwa kipindi hiki ikifuatiwa na shilingi ya Kenya Hali n mbaya kwa upande wa shilingi ya Tanzania...
Habari za wakati huu wanajulkwaa.
Dhumuni kuu la kushusha uzi huu ni kupata muongozo juu ya biashara ya dhahabu naona ipo juu sana kwa bei kulingana na asilimia(%).
Kwa hapa Buzwagi ndogo...
Habarizenu wakuu, kama beginner wa photoshooting naomba ushauri wenu kuhusu printer ambayo naweza kuanzanayo pamoja na bei yake kwa ajili ya kuprint picha,
Kama kuna udhaifu wa hiyo printer...
MAJIBU SAHIHI YA SWALI LA MSINGI "NIFANYE BIASHARA GANI?"
NA,
LEONARD JULIUS SHIGANGA WA MWANAMATINGATINGA.
Watu wengi hasa wale wanaopata mtaji na kuwa na nia ya kufanya BIASHARA mbalimbali...
Habari za siku wadau wa JF,
Moja kwa moja kwenye mada,
Katika pita zangu huko mtandaoni katika masoko mtandao kama AliExpress na Alibaba nimekutana na hii bidhaa, bidhaa nauhitaji nayo lakini...
Kila Mtanzania ni shahidi.
Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote.
Nguo na mavazi nako ni hatari...
Msaada wakuu
Kati ya nyumba hizo mbili ipi itangulie kwa mtu anaejitafuta? Mfano mtu ana kiwanja ambacho kinafaa kwa yote mawili either makazi binafsi or biashara (Fremu za maduka, Lodge...
Nilinunua gari mwaka 2008.
Nilibahatika kupata msamaha wa Serikali mwaka 2008 katika kodi ya kuagiza hili gari kutoka ng'ambo..
Nafikiria kuliuza ili kupata gari lingine kwa maana limechakaa...
Nimefika bank Moja nchini kubwa kununua USD 10,000 Kwa ajili ya kukununulia gari nchini Japan.
Nilichkokutana nacho ni kuuziwa USD 500 tu!
Kuna shida ya USD nchini na BOT wamepiga kimya!
Kibao...
“Advising Tanzania's Presidential Planning Commission”
In recent years, our country has seen promising growth and development potential. However, like many nations, it grapples with challenges...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.