Showcase ilo sokoni hii kwa wale wauza simu na bidhaa zake inawafaa zaidi au hata kama hufanyi hiyo biashara ila unaona inakufaa pia unakaribishwa....
Bei ni 235,000
Ipo Sinza madukani...
Wasalaam
Jamani nilikwama nikajiingiza kwao Banc ABC kukopa nilichukua 3 million ila ilitakiwa nirejeshe 8 million sasa naona bora hili dwni nilipeleke CRDB bank.
Sasa je kuna mtu anafahamu...
Habari za asubuhi;
Kama kawaida huwa kuna maamuzi mengi magumu ya kufanya katika maisha,baadhi yake ikiwa ni uamuzi wa ama kujiajiri au kuajiriwa.
Uamuzi au uchaguzi huu mara nyingi haufanywi na...
Wakuu hivi mchakato wa kupata barcode kwa mjasiriamali mdogo ukoje...Kuna mdau alisema ni pale ofisi ya mkuu wa wilaya ya ilala ndio ofisi zilipo ni sawa.
Habari wakuu
Naomba fursa za kibiashara mikoani kwa mwenye kufahamu biashara gani inalipa kwa kusafirisha kutoka dar es salaam. Natanguliza shukrani
Nguvu moja [emoji881]
Thamani ya Ksh inaonekana kuimarika dhidi ya Dollar lakin kwa Tsh inazidi kuporomoka na dollar inazidi kuwa adimu ni jambo gani hawa majiran zetu wanafanya vyema zaidi sisi hatukifanyi?
Niko wilaya ya Mafia, nalea vikundi vya wamama na vijana. Wanachama walio ndani ya hivi vikundi shughuli kubwa niliyoona wanafanya sana ni wanakopeshana sabuni za unga.
Wananunua carton ya...
Leo nimeamua kuperuzi baada ya kupata business idea ya kufungua duka la electronics, phone and accecories.
Nikasema acha niiingie kwenye application ya Alibaba kuona bei za electronics huko china...
Habari wanajamvi,
Samahani naomba kujua kuhusu mashine ya kupasua kokoto, namna inavyofanya kazi, uwezo na bei yake, yeyote mwenye kujua tafadhali msaada Huwa naiwaza sana hii kitu
Wana JF heshima mbele,
Naomba kujua alie na upeo wa bishara ya kupasua kokoto kati ya Morogoro au dodoma..wapi pazuri na biashara yenyewe kwa ujumla na maeneo mazuri kwa kufunga mashine...
Habari za Jioni wana Jamio Forums.
Kama mnavyojua sisi ni Wana familia. Licha ya kuwa tunasaidiana sana ktk mawazo, stori na Habari mbali mbali na wiwa pia kuomba msaada niweze kupata sehemu...
Chanzo kikuu cha maduka mengi kufilisika ni
1. Kodi kubwa ya fremu
2. Gharama za maisha (maana mwenye duka pia ni binadam na ana familia pia kama amepanga chumba ana kodi ya kulipa)
3. Kodi kubwa...
Nina pesa kama nilivyoiainisha hapo juu,
Na ninahitaji kufanya biashara ya duka la dawa na sina kitu hata kimoja zaidi ya pesa yangu mfukoni. Je, nikianza harakati sitoishia njiani?
Zaidi soma...
Habari za Jumapili,
Vikoba vimekuwa ni chanzo cha ugomvi katika familia nyingi. Imefikia wanawake kuliwa na bodaboda nk. kwa lengo la kupata pesa kwa ajili ya kulipa marejesho, wengine kutokuwa...
Habari za wakti huu?
Hizi ni baadhi ya biashara ambazo unaweza kuanzisha na kuzifanya kwa njia Mtandao.
Duka la Mtandaoni (E-commerce): Hii inahusisha kuuza bidhaa mtandaoni. Unaweza kuunda...
Habari, zenu wanajukwaa,
Naomba kujuzwa au kufahamishwa kuhusiana na mikopo ya bank au hizi microfinance
Je, kuna uwezekano wa mtu kupata mkopo ikiwa si mwajiriwa,hana biashara rasmi kwa maana...
Wakuu heshima zenu
Mimi ni mkazi wa Dar ...niko Arusha nikifatilia soko la maharage ya njano aina ya GOROLI.....lengo ni kununua maharage Arusha na kuuza Dar
Watalamu naomba kujua changamoto za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.