Najiulizaga sana, ama wewe hujiulizagi?
Kwenye biashara ama mishe hio hio unayofanya miaka nenda rudi unaishia kupata hela yakula tu
Ila anakuja mtu moja wala hana uzoefu kiviile nahio biashara...
Nayaongea haya kwa siku ya leo kwasababu nimestuka sana hata ndugu yangu ambae si haba kafanikiwa kibiashara akiwa rika la early 40s nimegundua kwamba kawekewa kinga na mganga,
Ndugu huyu ana...
Ndugu hamjambo,
Naombeni mchango wa mawazo tafadhali.
Nina milioni moja.
Pia nina fremu iko eneo flani hivi uswahilini ktk makazi ya watu.
Ni biashara gani naweza fungua uswahilini kwa mtaji...
Naomba ushauri cha kufanya ili niweze kusave pesa zangu maana nikikamata milioni 1 ndani ya Wiki moja inaisha, mpaka najiona nina jini Makata fedha...😁😁😁
Heshima kwenu wakuu,
Ninahitaji mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi ni kiwanda kidogo kinachojihusisha na uzalishaji wa bidhaa za urembo Mafuta, sabuni, lotions, scrubs...
Maisha mengi tuliyonayo yalianza kama picha inayojengeka akilini. Hakuna mwanadamu asiyependa vitu vizuri.
Ushindani na matamanio ya mwanadamu yanazua mambo mengi. Pale unajaribu hili na lile...
Wakuu nilikuwa napitia bei za vitochi vya Nokia alibaba naona ni ndogo sana
nawaza nijaribu japo kwa piece 4 , ila sina uzoefu wowote naombeni muongozo wakuu
Wazoefu, naombeni mniambie procedure ya kununua bond za BOT za miaka 25 ambazo zitauzwa wiki ijayo. Nikisoma link yao sielewi na bahati mbaya nakaa mikoani.
Aliyewahi kununua naomba atiririke...
Nina Shida na kupata control number tra ili nilipie
Nilienda juzi wakanipigia makadilio ila kwenye kupata control number mtandao wao ukasumbua so jambo halikukamilika
na mwezi ushaisha nikikaa...
Heshima kwenu wakuu
Siku kadhaa nyuma niliweka andiko hapa lakutafuta mwekezaji kwenye biashara yangu, na nikapokea calls, SMS na Pms kadhaa zingine walitaka kujua nafanyaje fanyaje ili kuweza...
Habari wana JF.
Naombeni ushauri juu ya maeneo yenye wingi mkubwa wa watu kwa hapa Dar ambapo ninaweza kuweka biashara ya umachinga (urembo) ya mtaji wa milioni 2 na ikaenda vizuri.
Nimeplan...
Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele.
Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na...
Ndugu zangu kuna biashara nataka kujaribu kufanya ya kutoa bidhaa Kariakoo kupeleka Burundi ila katika pitapita, nimegundua changamoto zifuatazo.
1. Mabadiko ya thamani ya pesa ya Burundi
2...
Nahitaji kuchukua mkopo mdogo hapa ofisini, sasa kuna form za wadhamini kama mbili ila anatakiwa mtu anayefanya serikalini au kwenye shirika kubwa linalotambuka. Mkopo ni mdogo tu na ni hapa hapa...
Ni kawaida shida huwa haipigi hodi naomba msaada hivi naweza kwenda bank ninayopitishia mshahara wngu nikazungumza na branch manager akaniwezesha kupata hiki kiasi 210k kwa makubaliano tu mshahara...
Nitaongelea zaidi uhasibu, kwa sababu ndo fani Ninayoizungumzia zaidi, katika kazi ya uhasibu ina changamoto mbalimbali, kama kulipa loss etc. Mfano siku umefanya mauzo ya sh milioni moja, lakini...
Mimi ni kijana wa miaka 26 katika kupambana kwangu katika vibarua tofauti tofauti kwa miaka mitatu leo nimekwenda kuangalia saving account yangu nimekuta kuna shilingi 16M kiukweli sina wazo...
Alhamndullillah,
Nilileta uzi wa kuomba ushauri humu, kipi kitega uchumi kizuri kati ya bajaj na trekta.
Wadau walitoa maoni yao, kila mmoja alishauri kwa namna alivyoelewa, ila wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.