WAZIRI MAVUNDE AAINISHA MIKAKATI YA KUMALIZA MIGOGORO MIRERANI
-Serikali yarusha ndege ya Utafiti ndani na nje ya ukuta kupata kupata viashiria vya mwamba wa madini
-Taarifa za utafiti kusaidia...
Ulishawahi kujiuliza, kwa nini ukienda dukani unaweza ukakuta kitu cha shilingi 50, 100, 200 n.k?
Je hivyo vitu vinatoka wapi, ni kiwandani au ni mtu anajitengenezea? Mfano kuna biskuti, pipi...
Wadau wa biashara tushirkishane mawazo maoya ya kibiashara
Hapa iwe michongo ile ya biashara ukiweka mzigo kama huo unapiga faida kubwa, sio biashara zile za motivation speaker za kusema anza na...
Habari wadau!
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,ijue biashara ya nywele faida na changamoto zake,kwanza kabisa naweza kusema biashara ya kuuza nywele za bandia ni kama biashara...
Habari wana jamii!
Ukiwa unapita kariakoo utasikia matangazo ya biashara mengi yaliyo rekodiwa na mara nyingi huwa yanafanana sauti Kana kwamba ni mtu mmoja ama yawezekana kuwa ni mtu mmoja.
Ni...
Tumezidi kuaminika kila iitwapo leo.
Wewe Mzazi au Mlezi amma Mwanafunzi usipate shida wewe tuambie upo wapi na Unataka Laptop au Desk top aina gani ??
Usiwaze kwamba tunafanya kazi kulingana na...
Habari za jioni ndugu Great thinkers itifaki zote zikizingatiwa niende kwenye maada moja kwa moja
Kwa siku za hivi karibuni niliona mahala kwamba riba za mikopo CRDB 13% wakati NMB NA NBC wao ni...
KUNA MUDA DUNIA INAWAPENDELEA WENYE PESA TU 😔
Huu ni ukweli mchungu kwa maskini ila ndio ukweli ama uukatae au uukubali bado utabaki tu kuwa ukweli .
Dunia sio salama sana kwa Maskini japo kuna...
Wakuu..Hawa jamaa wa mkopo fasta wananidai balaa...kwa namna wanavonidai ningekuwa na hela ningewapa nimalizane nao waache kunitumia jumbe za vitisho na simu,..imefikia wakati wanataka kuwatumia...
SERIKALI INAFANYA TATHMINI YA UWEZEKANO WA KUPANGA BEI MOJA YA BIDHAA ZA PETROLI NCHI NZIMA
Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema Serikali kupitia EWURA inafanya tathmini ya uwezekano wa...
Habari wanajukwa wa JF
Naomba elimu na ushauri kuhusu biashara ya vilainishi (oil and lubricants) vya vyombo ya moto kama vile magari na pikipiki, mtaji kiasi gani unahitajika? location ya...
Hii ni kwa wale wanaopenda maisha bora!
Hawa Wakenya jamani mimi kila week nawaona huku; wanakuja na gari wanasomba pumba nyingi kweli kweli wanapeleka kwao, lakini nimejaribu kuwahoji wanaishia...
Unaweza usiamini ila kwenye mabanda umiza na mabar soda inauzwa 1000 sio kama madukani 700 na maji Lita 1.5 yanauzwa 1500 sasa Wakija wateja wengi ukauza ma kreti mengi ya soda aisee biashara...
Mwaka huu malengo yangu ni kufikisha Milion 12.Ikumbukwe sijawai fika zaidi ya milion 6 ambayo nishafika mara moja nikadumu kwa mwezi mmoja.
MWAKA HUU NIMEJIPANGIA SAVING NIFIKE Milion 12...
Hello WanaJF?
Mimi ni kijana mwenye miaka 23 but niko na kipaji cha kuwa MC nimefanya kazi kwenye mashule kama matukio matano.
Naombeni ushauri nawezaje kuji promote nipo mtwara
Thanks
Kwa wale watumiaji wa mayai Kwa lengo la kupata protein wameshasikia mengi kuhusu tetesi za madhara ya mayai ya kisasa na hata Wataalamu wa Lishe wanakiri ya kuku wa kienyeji ni bora zaidi...
Je, wajua kwamba waweza jipatia pesa nyingi sana kupitia Youtube? Labda unajiuliza ni jinsi gani jambo hili linawezekana! Leo nakupa maujanja kuhusu mchongo huu. Video nyingi ambazo hua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.