Leo tuziangalie hizi biashara tupeane mawili matatu kwenye angle hii ya
Uwekezaji, kwamba mtaji wa kiasi gani unahitajika ili kufaidi faida kubwa
Uendeshwaji wake
Faida zinapatikanaje
Biashara...
Wataalamu wa bank, je naweza kuweka deposit kiasi cha hela kama 10m halafu kila mwezi bank inanilipa riba? Na je watanilipa kiasi gani kila mwezi? Wakati huo hela yangu ipo tu bank?
Habari Zenu Wakuu, Mimi ni Mfanyabiashara wa Biashara ya UWAKALA ( Electronic Money Transactions ), nina uzoefu nayo sana toka mwaka 2018.
Ipo miamala ya simu kama; Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel...
Habar wakuu,
Juzi hapa nimefungua Paypal kwamara ya kwanza, nikaunga na VISA card IlA sasa nikitaka kutuma pesa au malipo yoyote kwa kutumia paypal hela inakatwa kwenye VISA card niliyounga.
Je...
Mabenki wanaweza wapatia wateja wao kila aina ya elimu ila sio Financial educaion, hio hawawezi itoa hata kwa bunduki make wanajua itawakosesha wateja wengi sana.
Na ukweli ni kwamba upigwaji...
Naamini uzima mnao nyote, kama si hivyo basi pole kwa wewe ambaye hauko sawa kiafya na mungu akujalie upone mapema.
Nina shauku na nina sauti safi kwa kutoa matangazo katika vifaa vya muziki...
Najua wengine watakimbilia kusema "motivational speaker", lakini hata kama wote watakejeli, kejeli zao hazitaubadili ukweli ninaoenda kuuwasilisha!
Kenya ndiyo nchi inayoongoza Afrika Mashariki...
habari wapendwa katika bwana,wale bolt/tax driver naomba kujua jambo moja hivi kuna wale abiria wanaolipia kwa njia ya credit card baada ya safari ile hela inayoingia kwa account yako unaitoa vipi...
Changamoto nyingi kwa wachimbaji wa madini wamekuwa wakitumia njia sio sahihi na kufanya sekta hii kuonekana kuwa ya kubahatisha kwa wachache. Je, nini kinatumika kabla?
MINING GEOLOGY IT...
Ni wazi jamii yote inashuhudia wachungaji na maaskofu wakiibuka kuwa na mali nyingi kuliko waumini wao wanaowaombea.
Natatizwa na wimbi kubwa la waumini wao kuzidi kuzama kwenye wimbi la...
Habari ndugu zanguni, naomba kwa wenye experience juu ya biashara ya vifaa vya kielektronikI nisaidieni kujua kuhusu management yake na hata changamoto zake pia .
Naandika thread hii kuwasaidia vijana walio wengi wanaokuwa wakihangaika kusaka the so called 'Utajiri' au kutaka kuwa na pesa na wanajikuta kila mara hawajui zimepotelea wapi.
Kuna threads...
Unataka kuanzisha radio? Haya sasa TCRA wametangaza masafa tayari katika maeneo mbalimbali kama.ifuatavyo:-
1. Morogoro (Radio za biashara 2, zisizo za biashara 1)
2. Kyela (Radio 2 za...
Natumai mko vizuri kiafya, nina kiduka cha bidhaa mchanganyiko kama dona, mchele, mayai, pipi mixer mafuta nauza rejareja na mungu anajalia angalau riziki kidogo naipata.
Sasa kuna ndugu...
Wakuu naomba tushauriane hapa
Nina eneo langu Arusha /Moshono siyo mbali na mji
Eneo ni 22 kwa 24 je nijengenyumba ya kuishi au nyumba za kupanga?
NB
Sina nyumba nimepanga
Na je kama ni nyumba...
Habarii, natumaini wote ni wazima,
Naitwa Hemedy mkazii wa kinondonii B Mada yangu ni hivii mimi ni kijana tu ambaye nimemaliza chuo TIA tangu 2014 mpaka sasa siku fanikiwa kupata ajira nikawa...
Naomba kuuliza wakuu,
Natamani kuanza biashara ya kununua dhahabu iliyochomwa kutoka kwa wachimbaji wadogo
1. Je, kuna taratibu za kisheria na kama zipo ni zipi
2. Mtaji ni kiasi gani?
3. Faida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.