Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wana jf naomba kuuliza kuna benk au taasisi ya fedha ambayo wanazikubali hizi leseni,ili uweze pata mkopo.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Leo ni tarehe 3 siajaona mabadiliko ya bei maeneo mengi mfano Mbeya Diesel bado ni 2300 na iringa 2100. Ivi ewura walikuwa wanatania?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tanzania to mine uranium on Selous Game Reserve Basic Facts ------------- The Australian mining firm expect to earn $200m (£125m) each year from mining uranium from the site, of which...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ewe mtumiaji jf kama umewahi kufeli kibiashara au project basi elezea kwa kifupi hapa sababu yakufeli ili kuwasaidia wengine wale wapya wa mambo haya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kitendo cha Kampuni ya simu za mkononi ya zantel kulazimisha wateja wao wa modem wanaolipia malipo ya internet kwa malipo ya kabla kupitia huduma ya/za Z-Mono na nyinginezo kwa ajili ya matumizi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Jenereta ya jirani yangu inayoniamsha usingizini saa 12 kila siku leo haisikiki kabisa.... Salon ya nywele hapa jirani naona mayankee wanatabasamu tu meno yote nje wanakamua hela leo... Jamaa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama wewe ni mkazi wa Arusha au unategemea siku moja utakuwa Arusha kwa either kuishi, kutembea au kikazi na ungependa kupata usafiri wa uhakika katika mji huo basi tembelea web hii...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Serikali ilitangaza kuwa ifikapo Julai mosi mafuta ya petroli na dizeli yatashuka bei, hadi leo Julai 2 mbona bei ziko palepale, serikali imelala?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Korea Kaskazini yafunga Vyuo Vikuu kwa miezi 10 Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-il ameagiza kufungwa kwa vyuo vikuu vyote kuanzia sasa hadi mwezi Aprili mwakani na kuwatuma wanafunzi wote...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wanajf naomba wenye taarifa za kibenk nakoweza pata personal loan bila longolongo za momorandam of understanding kati ya employer na Bank. mabenk mengi naona hawakubali kukopesha kama hamna...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wanaJF, hv utoaji wa hati za kumiliki ardh vijijin /wenyewe wanaita hati za kimila/ zinatolewaje? Ni mikoa gan? wilaya zake, vijiji gan vilivyopo kwenye mpango huo wa serikali yetu ya magamba? JE...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
mwisho wa mwezi ukifika payslip inoposoma karibu na zero! najiluza maswali mengi sana. Aibu inaniingia mwanaume wa nguvu ivi watu wakijua payslip inasoma karibu na zero itakuwaje. watoto wangu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wadau, Eti biashara gani halali (kwa kuorodhesha zote unazojua) zinaweza kuingiza kipato cha TSH 1,000,000.00 kwa mwezi hapa nchini? na kwa kila biashara inahitaji mtaji wa kiasi gani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Shortage of crucial skills a threat to growth, say CEOs Thursday, 30 June 2011 21:58 By Al-amani Mutarubukwa The Citizen Reporter Dar es Salaam. Unavailability of a skilled workforce in...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania tumekuwa tukitumia Old & new currencies kwa muda mrefu! Naomba kujua kati ya Old Vs new currency ni ipi haswa inayotakiwa kubaki? Je ni lini mwisho wa kutumika kwa mojawapo? Asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kumchomoa Ami Mpungwe kwenye u-Executive CEO sasa kampuni yetu ya Tanzanite kubadili jina: JOHANNESBURG (miningweekly.com) − Aim-listed gemstone miner TanzaniteOne said on...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau, natafuta carina ti ya kununua, kwa yoyote mwenye detail za msingi tuwasiliane. Pm mi tafadhari.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MAMLAKA ya Mafunzo na Ufundi Stadi Tanzania (VETA) imesema kuwa wameunda gari linalotumia mfumo wa sola. Mtafiti wa Soko la Ajira wa VETA, Abdallah Mhagama, alisema gari hilo walilolibuni halina...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Ndugu yangu katika mfumo soko asili kiwanda huzalisha bidhaa hufanya masoko (media,mabango,....) na kumuuzia agent kisha agent humuuzia mfanyabiashara wa jumla na mufanya biashara wa jumla...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Dear Friend, If you feel like you’re struggling way too hard to make it in network marketing and nothing is happening, I wrote this letter specifically for YOU. Have you ever thought to...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…