Kwa nini tigo mnatutoza pesa huduma kwa wateja? Mimi ni mteja wenu nikitaka kuongea na mtoa huduma wenu lazima nilipe tsh 50 mbona ni uonevu huo? Au mnataka tusiombe msaada huduma kwa wateja?
Wadau/waheshimiwa wabunge/mawaziri wetu/wakurugenzi wetu/na wenye nyadhifa za maamuzi mazito ya kuijenga nchi hii, naomba msaada hapa,
Kuna haja ya kununua magari yaliyotumika Japani kwa bei ya...
I was bored at work and began looking on CBSs local self-employed spotlight on tuesday and then studied about some new work at home career that helps school kids consistently bring home around...
Tanzania ni nchi ilojaa raslimali kemkem! That is natural resources, human resources, as well as man made/capital resource but still our economy is doing poorly! Now I wish 2hear from u WanaJF! Je...
natumaini mnaendelea kujenga taifa....najua humu ndani kuna wataalam wa fani mbali mbali , mimi fani yangu iko mbali na hivi vitu. jamani wana jamvi hebu naombeni mnisaidie kupata gharama ya...
kila kukicha binadamu anazidi kuvumbua mambo yatakayo mpunguzia makali ya maisha. katika pita pita yangu nimeona hii biashara nami nikaona niwajuze wenzagu katika jf wanaweza kutupa mwanga zaidi...
Salama wadau ....
Kwa walio wenyeji wa mji wa Uganda naomba mwongozo ..
Nataka kutembelea Uganda kipindi cha mapumziko yangu siku chache zijazo pia niangalie biashara gani zinapatikana huko kwa...
Ndugu zangu wana JF nisaidieni nakala ya bajeti ya mwaka 2011/2012 ambayo ilifanyiwa marekebisho kidogo na kupitishwa na Bunge. Ninayo nakala ya Mkulo pekee ambayo ina mapendekezo tu, lakini...
Kuna vita nzito ya kipropaganda inayoendelea baina ya hawa Jamaa wa mashariki ya mbali na wale wa magharibi. Ni ukweli usiofichika kwamba uchumi wao unakuwa kwa kasi ya ajabu na hivyo kuwa tishio...
Tanzania: Country Finds Gold in the South
James Mwakisyala
Dar Es Salaam - Tanzania could become the biggest gold producing country in Africa following new discoveries of gold in the most...
Wana JF nimejaribu kupitia thamani ya Shilling ya Tz inavyozidi kuporomoka kwa asilimia kubwa ukicompare na pesa ya Rwanda Franc dhidi ya dola ya marekani(US).Kwa takwimu hizi ni kusema...
Tuko katika hatua za mwisho za kuanzisha hospitali binafsi katika moja ya mikoa ya nyanda za juu kusini. Kuna vitu tunataka kuagiza kama CT machine, Echo, vitanda, n.k pamoja na kununua magari...
Habari wana JF!!
Nilivyokuwa naelewa miaka ya JK wa kwanza, Kipindi cha Mzee wa Ruksa, na hata Mda nyuma kidogo wakati wa BWM, TANESCO ni shirika la umeme Tanzania, lililokuwa linahudumia...
Ndugu wana JF, Napenda kuwauliza wenye uzoefu kuhusu magari yanauzwa na TRA kwenye Mnada wao unaofanyika kila tarehe ya mwisho wa mwezi yana ubora gani? Je yanapatikana kwa bei nafuu kidogo au...
Wadau,
Jana nilijaribu kufuatilia thamani ya pesa yetu dhidi ya pesa za kigeni na nilichogundua ni kwamba shilingi inapoteza thamani yake kwa kasi ya ajabu. Wiki tatu zilizopita on average kwa...
Hivi majuzi shirika la kimataifa la Aicc limewapatia notisi ya miez 6 kw baadhi ya wapangaji wake ktk mtaa wa soweto kwa maelezo ya kutaka kuzivunja nyumba hizo na kiziboresha zaid..
nadhan Aicc...
yapata wiki ya tatu sasa sipati huduma ya nmb mobile kama vile kuangalia salio, kutuma pesa na ku recharge line zangu za simu. Majibu nnayoyapata ni pamoja na akaunti yako imezuiwa au is not...
habari wadau,
a. POLENI SANA NA MGAO WA UMEME USIOISHA . HAYO NDIO MAISHA BORA TULIOAHIDIWA NA MKUU WA NCHI HII MIAKA 6
ILIYOPITA.
JAMANI UMEME NI KILA KITU,
MAJI
CHAKULA
MADAWA
USAFIRI
KAZI
PIA...