Habari zenu wana jf,kama gari lako lina tatizo na umeshindwa kujua ni nini,basi piga simu number 0715 367 367,tunakagua gari kutumia diagnosis tool kuangalia engine,gaer box,body parts zote ndani...
I share the BIGGEST accounting mistake almost every entrepreneur makes... and how to fix it. Here is the link:
Stop Booking Revenue Before You Do The Work | Toilet Paper Entrepreneur
Enjoy!
Nilijaribu kuwekeza kwa kununua share kwenye makampuni matatu,kinachonisikitisha Dar Salaam Exchange (DSE) haijachangamka kabisa ukilinganisha na masoko mengine ya uliwemwengu wa tatu hususani...
YouTube - ‪2012 Audi A6 Avant eminem‬‏
YouTube - ‪Chrysler Eminem Super Bowl Commercial - Imported From Detroit‬‏
May 30-Jun. 5: Eminem Audi A6 Avant...
Wiki iliyopita niliyapitia maeeneo hayo ya Mwenzetu ambayo kwa kusema ukweli Bint amejitahidi sana sana,kwa bint kama yeye kutoka aliko tokea mpaka hapa alipofikia ni hadithi nzuri ya mafanikio ya...
Habari ndiyo hiyo.
Na rais wenyu anajiita Dokta. Msomi wa Uchumi, UDSM.
Aibu gani?
Tunakoelekea hata wauza karanga na wachoma mahindi wataanza kuuza kwa dola.
Tunaacha haya yanapita; kisa...
SERIKALI imetoa mwelekeo wa Bajeti ya Mwaka ujao wa Fedha 2011/2012 na kutangaza kuwa shabaha yake kubwa itakuwa ni kumpunguzia mwananchi makali ya maisha ikianza na kushusha tozo za bidhaa ya...
Wanajanvi,
Natafuta kiwanja arusha bajeti yangu ni ndogo isizidi sh milioni 5. Sina preference maalum ya eneo ila isiwe mbali sana na mji,kwa maana nyingine pafikike kirahisi.
Dear JF Users,
Do you think businesses exploits the named social networks effectively on their day to day activities?
How Social networks such as facebook, jamii Forums, twitter,hi5 and others can...
Daily Nation
Kenya Airways has reported a 73.9 per cent increase in its profits after tax for the financial year ended March 31.
The airline recorded an impressive Sh3.5 billion during the...
nimeamu kuuza minibus yangu dala dala
seating capacity 24 seats
imported in 2010 january
bei milioni 11
sababu ya kuuza:nimeamua kupunguaza magari ,nabadilisha biashara - kuwekeza zaidi...
Nimejiuliza muda mrefu sana kuhusu dhamani ya fedha yetu'nashindwa kuelewa kwanini BOT ina wala rushwa wa kutosha alafu wanapewa kazi ya kudhibiti fedha...
Wana JF salama...
Nina shamba salasala ambalo halijapimwa lenye ukubwa wa mita za mraba 3000 sawa na robo tatu ya eka naliuza shilingi 9 Milion....lina miti michache ya maembe, minazi na...
Kila kukicha nasikia tu watu wanasema kuhusu kilimo kwanza, kwamba eti ni njia ya kuondoa umasikini kwa watanzania kwa kigezo kwamba asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima na hivo kilimo ndo...
DAR ES SALAAM, Tanzania, - 01 June 2011: IBM (NYSE: IBM) inatangaza kuwa imefungua ofisi tawi lake jipya Dar es Salaam, ikiwa ni mwendelezo wa kujitanua kimkakati na kupatikana katika sehemu...
Jana jumanne na Leo Jumatano wateja wa EXIM bank wanaotaka kuchukua Fedha zao ndani ya Bank wamekuwa wakizuriwa na wahudumu wa Bank katika matawi wawili ya katikati ya jiji la Dar es salaam kwa...
Msada wanajf, kuna ndugu yng anataka kuagizia gari toka japan used, gar ni FORD EXPLORER inauzwa dola 1,561/= kama shling za kitanzania mil 2,341,500= kwa bei zao ambazo wameonesha kwenye mtandao...