Naona mzee bado yuko makini katika ku-hit jackpot sasa si mambo ya lottery bali mambo ya bling...Aika Meku! Endelea kututoa tongotongo!
IPP Resources
IPP Gold
Ila umepunguza speed ya kuandika...
I'm interested in exporting business. I'm young and new and maybe misguided, i have recently went to Kigali and Nairobi just to see whatsup looking for opportunities and i'm planning to go to...
Kumekuwa na Utitiri wa Recruitment companies hapa Tanzania Je zina manufaa yoyote kwa mfanyakazi au zinazidi sababisha na kuhalalisha unyonyaji wa mishahara duni,kazi zisizo na mkataba...
Nina ndugu yangu ana miliki nyumba katikati ya mji wa Moshi tangu miaka mingi iliyopita. Ila kwa maelezo yake kwa sasa Liz imekwisha na ametakiwa na Manispaa kujenga Ghorofa. Yeye mwenyewe hana...
Wana JF,
Ninategemea kusafiri kesho kwenda MOSHI kutokea Dar es salaam.
Naomba kujua Nauli,Basi zuri na mwendo salama la kupanda.Na muda nitakao tumia.
Pia Moshi...sehemu confortable kwaajili ya...
Sasa unaweza kutuma sms kwa watu wengi kwa rahisi kutumia huduma za kampuni mpya ya technologia Bongo Live!
Wasiliana na wateja wako, kumbusha watu kwa ajili ya malipo, tuma offa za bidhaa na...
Zinaniboa, yaani Watanzania wamekosa vitu vya kufanya sasa wanafikiria wizi tu.
Sinema moja kuwa na Part 1 na Part 2 ni wizi, tusikubali kuibiwa, tuache kununua kazi zao hadi hapo watakapo...
Kaka yangu mwanakijiji na wanajf wengine, naombeni mnisaidie kupata bei ya maji safi kwa unit moja zinazotozwa na mamlaka za maji za mikoa yote ya tz. Najua ni kazi ngumu kaka lakn nisaidie...
Kwa Takwimu zilizotolewa jana zinaonyesha kwamba Tanzania ni nchi ya kwanza AFRICA, na ni nchi ya kumi DUNIANI inayotegemea misaada toka kwa wahisani,
na kasi ya kutegemea wahisani inazidi...
Uchumi Supermarket has announced plans to enter the Tanzanian market and increase it's footprint in Kenya and Uganda. In a new expansion push that the management says will be executed differently...
Kama nigekuwa mkuu wa wapenda amani wa tanzania nigefanya maamuzi magumu ifuatavyo:wafanya biashara wote wakubwa lazima walime ekari zisizopungua 20 za mazao ya biashara kwa kila mkoa katika...
Uswahili ni kwetu kuna wawekezaji kutoka china.
Jamaa ni balaa wanaharibu miundo mbinu ya kimasikini tuliyo nayo ile mbaya kwani wanapitisha yale maroli yanayobeba macointainer bila huruma na...
Wana jf..naomba yoyote anaefahamu ni jinsi gani naeza kununua bando la internet ya zantel...na kuituma kwenye namba yangu ya moderm ya zantel. nimejaribu kuwapigia zantel bt hawapokei.
helllo everyone,
kila wakati nimekuwa nikiwaza na kujiuliza maswali ninapofika Mlimani City.. hivi kwa nini designer wa jengo hili hakuifanya hiyo shopping mall kuwa ya ghorofa angalau mbili au...
Kuhusu hali ya kifedha ya Shirika la Ndege la Taifa la ATC, Mataka alisema, lina hali mbaya kwani anaondoka na kuliacha likiwa halina hata ndege moja inayofanya safari zake.
Kwa mtaji huu...
Hello JF members and visitors,
My friend asked me for advice on buying a Car.
Thinking of price, comfort, and withstanding Tanzania roads
Please indicate Car importing Companies...
Mi ni mjasiriamali, project yangu inahitaji milioni 2, tayari nina milioni 1 na nusu.Wapi naweza pata mkopo wa laki 5 za haraka kwa muda wa mwezi mmoja?