Wana JF nimekuwa muajiriwa kwenye NGO Moja kwa takriban miaka kumi.
Imefika wakati nataka kuacha ili nipate muda wa kutosha kusimamia biashara yangu japo ni ndogo.
Kinachonisumbua ni hofu ya...
Wadau,
Leo nilitaka kubadilsha dollar zangu kadhaa ,kwa 100 USD
NMB nimekakuta wanabadilisha kwa sh 1455 ,CRDB 1484,NBC 1488
Hivi ni kwa nini? viwango si sawa?
Wataalamu wengi wa uchumi wanakubaliana kwamba ili nchi ijikwamue/isonge mbele kiuchumi tabaka la kati "middle Class" ni muhimu likawa kubwa.Nimejaribu kujiuliza tabaka la kati linashirikisha watu...
Habari za saa hizi wakuu.Naamini Mungu anasaidia na ataendelea kufanya hivyo.
Jamani nimepata mkopo(1M).Nimesikia mwezi huu kuna mikoa inafanya uvunaji.Nilikuwa na wazo la kuchukua mazao mikoani...
Wasalaam wanaJF
Naomba kwa anayefahamu anisaidie kufahamu jinsi kodi inavyokokotolewa endapo nitanunua gari lililokuwa na msamaha wa kodi (Tax exemption) ambalo liliingizwa nchini TZ mwaka 2000...
Imeandikwa na Oscar Job; Tarehe: 16th May 2011
HALMASHAURI ya Manispaa Ilala, mkoani Dar es Salaam imepiga marufuku matumizi ya viwanja vya Mnazi Mmoja na vingine vya wazi kwa ajili ya...
According to Bloomberg, SABMiller is planning a new beer plant in southern Tanzania in the near future. No further information on the location was provided, however the new brewery will most...
Caption Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Viberiti cha Kibo Match Group Ltd, cha mjini Moshi, Sheriff Babu akitoa taarifa kwa mbunge wa viti maalumu kupitia Chadema Lucy Owenya, ambaye pia ni Waziri...
May 16, 2011 12:04 PM EDT
African Barrick Gold (ABGL.L) said a malfunction in a mill motor at its Buzwagi mine in Tanzania would hit production in the quarter, sending its shares down as much...
nikiangalia mwelekeo wa ccm siamini macho yangu-ni kama naangalia filamu.kwa nini?.chuki kubwa ambayo imeanza kuchipuka kwa kasi mioyoni mwa watanzania dhidi ya chama hiki ni ufisadi...
Ni vizuri kupeana uzoefu hata kama ni mdogo hasa kwa mambo mabaya yanayoendelea ktk jamii yetu. Mpendwa kama unakwenda kununua mbao a.k.a treated timber hasa Buguruni na kwingineko weka akili...
Hivi nauli za za kutoka Arusha kwenda Samunge kwa Elicopter zimepangwa na nani?
Nauli za safari zote nchini nadhani zinapangwa na mamlaka husika.
Sasa hivi vindege vya kutoka nchi jirani nani...
By J. MWAMUNYANGE
Posted Monday, May 16 2011 at 00:00
As Tanzania returns to the dark ages, The EastAfrican has learnt that the route being taken by the government to import a 260MW...
Hello my friends!
Would someone kindly assist me with airtel tz headquarters general lines. I need to get in-touch with someone there and the numbers i've got is just the customer care numbers...
By MARY JOHN
Posted Monday, May 16 2011 at 00:00
Tanzania has announced a crackdown on institutions and individuals that abuse tax exemptions, which cost the government at least $449...