Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hello, Salamu. kwa leo napenda kidogo kuzungumzia hili! Ni jinsi gani radio inaweza kukuingizia kipato zaidi katika radio yako. Kuna mambo machache ya kuzingatia kabla ya kuapply mbinu za...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kampuni ya simu ya Vodacom imekuwa na makeke ya kutangaza biashara yao mpaka imekuwa kero. Mara bajaji, baiskeli, jahazi, kubadili rangi - kazi ni kwako...! Binafsi nilitegemea kwamba hata huduma...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana JF kwani nitangulize shukrani zangu kwa ushirikiano weenu wa kila cku, nitakuwa tofauti kidogo na hisia zenu kutokana na heading ila lengo ni moja tu kusaidiana maisha maggumu kama hayo...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Africa means business. The past decade has seen an enormous number of mega-corporations emerge on the continent. However, a vast number of these companies are run by foreigners. For example...
4 Reactions
40 Replies
8K Views
Kuna taarifa kutoka katika chanzo cha uhakika kwamba kampuni la Alpha ambazo zinamilikiwa na familia ya Edward Lowassa ambazo zinatengeneza mabilioni ya shilingi katika mitandao yake ya...
1 Reactions
61 Replies
7K Views
Duh sisi wateja wa star times kwa kweli hatutendewi haki maana tunalipia elf tisa kwa mwezi ili tuone nn yaani kila channel ambayo ni ya muhimu inaandika non conax programme!ss nashanga hata...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Kila kukicha vikundi vya kukodi kwenda kuomboleza misibani vimekuwa vikiongezeka kwa kasi jijini Dar es Salaam. Je huu ni ubunifu wa ajira au ni ufinyu wa fikra?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa IMF miaka mitano kutoka sasa uchumi wa China utaupita ule wa USA na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza tangu mwaka 1890 pale uchumi wa USA ulipoupita ule wa UK. Je hiyo itakuwa ndiyo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina biashara ya Grocery store na Internet cafe.Je nitatumiaje biashara hizi ili kupata mkopo kama Bank na taasisi zingine za kibenki.NATANGULIZA SHUKURANI.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mahitaji ya kutengenezewa Magazine, logos, brochures,matangazo kwa bei nafuu wasiliana nami kupitia email: ckundawa@gmail.com or cell 0718656164
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu Naomba msaada wa kupata web designer mwenye kujua naomba anijulishe asanten
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni lini fedha mpya zitaanza kutumika rasmi.nikienda bank bado napata fedha za zamani!tatizo nini?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Any one with idea where i can get usb cable and charger for digital camera samsung es70 pliz inform me simply nimezunguka maduka kibao kariakoo and posta without mafanikio.. dau nono kwa yeyote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Rais mkapa alifanya biashara akiwa ikulu ingawa alikatazwa na baba wa taifa mwalimu nyerere, akauza nyumba za serikali kwa wahindi kwa bei poa huku akiweka 10% mifukoni, ameuza mashirika ya umma...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
...Pasaka ya kichovu zaidi Wakuu. Nimeshakula pasaka zaidi ya 36, lakini hii ya mwaka huu naona ndio ya KICHOVU ZAIDI kuliko zote katika kumbukumbu zangu za hivi karibuni...:angry: Easter with...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ningependa kujua makampuni yanayotoa investment advice na services Tanzania, Kenya na Uganda. Contacts zao pia zingekuwa greatly appreciated hasa website zao. Shukran
0 Reactions
7 Replies
2K Views
YECCO (T) LIMITED was registered and incorporated under the Companies Act No. 12 of 2002 Cap 212 of the United Republic of Tanzania and holds a Certificate of Incorporation No.72307...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Subramaniam aendelea na Kazi pamoja na kuwa na expired work Permit Naona mchezo mchafu unafanywa kuhusu suala la uhalali wa aliyekuwa Meneja Mkuu wa Fedha wa kampuni ya IPTL, Dk. Magesvaran...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna mtu anauza nyumba M/Nyamala karibu na hospitali mimi nauliza, hivi nyumba eneo lile zinafika milioni 250? Ni sawa au ndogo au kubwa? iko barabarani nyumba na kuna duka... Btw...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…