sasa Vodacom wameamkuwa kuwana kama parent company yao ya Vodafone
kilichobaki wampandishe cheo Da Mwamvita kwani anafanya kazi nzuri kwenye hiyo idara ya CSR ukilinganisha na akina Shyrose...
Waziri wa Ardhi, Maji, Makazi na Nishati wa Zanzibar , Ali Juma Shamuhuma
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imekataa kulipa deni la umeme la Sh 40 bilioni kwa TANESCO baada ya kupandishiwa...
Qatar Airways chief criticises European body Saturday, 09 April 2011 10:52
The chief executive officer of Qatar Airways, Mr Akbar Al Baker. PHOTOs | file
By Akbar Al Baker
The Citizen...
Remittances from Africans abroad hit $40 billion mark Saturday, 09 April 2011 10:44
THE CITIZEN
London.
Thirty million Africans across the globe have directly invested $40 billion into the...
Tanzanian MPs' use of social media in communications may only be a mere symbol of change, as real change is made by hard work and in overcoming traditional thinking in the way politics is done in...
Wakuu! Leo Prof. Mwandosya alitembelea mradi wa visima vya maji katika chuo kikuu cha dodoma na kushangazwa sana na nyufa katika majengo ya U-DOM. Na kuhoji iweje majengo yenye miaka4 tu yawe na...
Apr 06, 2011
Canaco Resources Inc. (TSX VENTURE:CAN) ("Canaco" or "the Company") is pleased to announce it has agreed to acquire nine additional prospecting licenses in Tanzania totalling...
JF,
Naomba ushauri,nahitaji kujenga nyumba ya bei nafuu(ya kawaida tu)Chumba,sebule,jiko,choo na store inanitosha kwasasa....nina kiwanja toangoma,wilaya ya temeke,Dar es salaam.
Nikitazama mfuko...
Na Esther Macha, Mbarali
NJAMA za kumng'oa Mbunge wa Jimbo la Mbarali (CCM), Bw. Dickson Kirufi zimeanza baada ya kikao cha Halmashauri Kuu ya Wilaya hiyo kuagizia kumnyang'anya kadi ya...
Kikao cha baraza la madiwani arusha cha kupitisha bajeti kimeshindwa kukaa baada ya madiwani wa chadema kukataa kurejista,hali iliyofanya akidi kutotimia
Sheria inataka bajeti ipitishwe na...
HabarI za jioni wana JF
kutokana na ongezo la watu na umuhimu wa chakula nilikuwa nataka kuanzisha Grain milling ambayo itakuwa ikisaga unga wa mahindi na kufanya packaging kwenye mifuko ya kilo...
I think in some cases sleeping at work may tell about someones attitude. Be careful that attitude can make or break you. If you want to succeed in business or in managing money then the kind of...
Unlike BOT, TPA,CRDB,TRA,PSPF,ZSSF,IKULU,BRELA and PPF to name a few
New NSSF is user friendly na inaonyesha management yao na the sort of transparency kama hizi ndizo ambazo tunataka. If only...
Hivi TRA mna habari?
Bank ya NMB imefanya mabadiliko katika charges mbalimbali inazotoza wateja katika Huduma zake ambapo pamoja na mambo mengine kuanzia mwezi April 1,2011 kila mteja wa...
JOHANNESBURG, April 6 (Reuters) - South African insurer Sanlam (SLMJ.J: Quote) will invest in medical insurance businesses in Tanzania and Zambia this year as part of a growth strategy to find...
Central Tanzania in Dodoma Region
Video hisani ya Hildebrandshayo wa Youtube
Habari za ziada kuhusu madini bwerere Tanzania toka Raiamwema Toleo namba 180 la tarehe 6-12 ,Aprili 2011...
HIGH costs of investments have been cited as among the reasons that frustrate banks and other financial institutions to expand their services across the country.
This was said in Dar es Salaam on...
Ngeleja alisema utafiti uliofanywa na kampuni hiyo unaionyesha kuwapo kwa mashapu ya dhahabu yanayoweza kuchimbwa kwa faida na kwamba, imeanza kufanya upembuzi yakinifu na kuajiri kampuni ya MTL...