By Steve Tobak | March 15, 2011
If youve been around long enough, youre probably aware that most important things in life come about seemingly by accident, chance, or coincidence...
17 March 2011
Dar Es Salaam Mobile operator Vodacom Tanzania has outsourced the operation and management of its network to Nokia Siemens Networks (NSN) as part of a five-year managed services...
DEMAND for Treasury Bills has continued to build up despite a further recession of the average yield rate, the Bank of Tanzania (BoT) auction summary has stated.
"There are limited market products...
VIONGOZI walioingiza serikali katika mikataba mikubwa mitatu ya utata, wameliandalia taifa mzigo mkubwa wa madeni yasiyolipika hata katika miaka 50 ijayo, MwanaHALISI limeelezwa.
Wakati Dowans...
asilimia 45 ya wanawake na wasichana wafanyakazi nchini kwenye ofisi mbalimbali zikiwemo za serikali wamepata kazi hizo kwa kutoa rushwa ya ngono imeelezwa...
Watanzania wengi hupendelea kuagiza magari yao Japan aidha moja kwa moja au kwa kutumia maajenti. Hivi karibuni Japan imekubwa na maafa ya matetemeko ya ardhi ambayo madhara yake yameifanya dunia...
Nasikitishwa sana na wafanyakazi wa NSSF Arusha kwani mteja akiingia wanakuona kama msumbufu na
wao wamebaki wanatafuna maandazi na kuzungumza kwenye simu zao. Hivi kweli ndiyo Ofisi ya...
The truth about mobile banking in Africa
M-Pesa advert
There has a lot written about mobile payments in Africa, particularly since the success of M-Pesa in Kenya
Mobile banking is certainly a...
SAKIMA ni mjasiriamali anaesambaza tofali na material ya ujenzi. Tofali ni imara wilayani ROMBO, tofali ni imara na zinafikishwa pahala husika kwa wakati bei zetu ni nzuri popote pale ukiona gari...
President Jakaya Kikwete has said more effort is needed to fully tap the country's geographical advantage including Dar es Salaam port services to enhance economic growth.
The president said this...
I want you to pay VERY CLOSE attention to what Im about to say
There isnt much time to act on it, and A LOT of people are about to hear about it
I cant guarantee youll be able to take...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Machi 15, 2011, ametembelea Wizara ya Fedha (Hazina), ikiwa ni mwanzo wa ziara za kutembelea Wizara...
Ndugu wana jamvi,
Kwa mujibu wa tangazo la Precisionair walilotoa katika gazeti la Nipashe la tarehe 10/03/2011, ukurasa wa kwanza, nauli za Dar Mwanza ni shilingi 100,000 (laki moja) kwa ndege...
Juzi nimetembelea kwa mtu,nimekula unga wa dona,ulikuwa mtamu sana,ugali ni ulichanganywa na unga wa muhogo.
nilipo dadisi nikaambiwa kuwa huwa anasaga mahindi mwenyewe (in Dar),nimeongea na...
nataka kuagiza gari japan, ni toyota super custom van 8 seaters ya mwaka 1994. mwenye ufahamu na mambo ya kodi pale bandarini dar tafadhali aning'ate sikio namna itakavyokuwa taxed niangalie mfuko...
I have been working on a number of literal projects in the past few years and I think its about time to get published (fiction works and non fiction). Mojawapo ya mapendekezo ambayo nimepatiwa ni...
Jamani fundi mzuri wa milango ya nyumba anatafutwa kwa kazi ya haraka hapa DSM. Naomba ushauri wenu, anaweza kupatikana wapi? Pia kuna mtu mwenye picha za kazi zake na kama zipo tunaziomba.