Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

<LI class="uiUfiComment ufiItem comment_197147006970720 " id=comment_197147006970720> TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI VIWANGO VIPYA VYA JUU VYA NAULI ZA MABASI YA DALADALA KATIKA JIJI LA DAR ES...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=24354&d=1299249745&thumb=1&stc=1 TUPO MUDA WOTE ORDER YOYOTE INAKARIBISHWA BEI NI NZURI KABISA KWA UJUMLA NA REJAREJA. SEND EMAIL HAPA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAMILIKI wa Daladala Mkoa wa Dar es Salaam (DARCOBOA) wamesema kuna uwezekano wa kupandisha nauli za daladala kutokana na kupanda kwa bei ya vipuri vya mabasi ya usafirishaji wa abiria...
0 Reactions
117 Replies
13K Views
Kampuni ya simu ya zantel kila ukinunua muda wa maongezi wanatuma msg ya ofa ya muda wa kuongea kulingana na pesa yako. Jana tarehe 2/3/2011 niliongeza sh. 5,000 kwenye simu yangu. Ilikuwa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi ni kwanini majeshi yetu yasiwe na mradi wa kuazima sare na vifaa vyao vingine, kwa malipo, kwa film industry ya Bongo ili yajitengenezee kipato? Si lazima waazimishe silaha zifanyazo kazi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi.... Nasikia kwa sasa Canada ndio nchi pekee inayolipa kuishi na kujiendeleza kijasiriamali.... Kwa sababu Canada its the 2nd largest country in the world with less population...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Buying new instead of used. Talk about a spending leak -- or, rather, a gush. Cars lose 20% of their value the moment they're driven off the lot and 65% in the first five years. Used models can be...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
""By printing extra notes, a government increases the total amount of money in circulation. If that is not followed by an increase in production, there is more money to spend on the same amount of...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WanaJF, Sabuni ya maji na disinfectant zinapatikana kwa bei nafuuu lita 5 -tsh 6000 na lita 1 - tsh 1500 zimetengenezwa kwa utaalamu wa hali ya juu (local made) sabuni ina mapovu ya kutosha na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kwa wanaofahamu naomba msaada, nimekuwa mkandarasi mdogo mdogo kwa muda, bila ya kuwa na kampuni napiga vikazi vya ujenzi wa mashule vijijini, sasa nimeona nimekuwa kimtaji, nahitaji kuwa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, Nina shida na kama 5m nahitaji loan ASAP will pay back in two installments in two months najua kuna wanaotoa huduma hii (sio bank) kama unamfahamu mtu wa kunisaidia please PM me
0 Reactions
40 Replies
5K Views
An ideal business to consider is a turnkey business in which the essentials necessary to start operating it has been made available to you http://snurl.com/25akuu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna tetesi kwamba serikali mpaka sasa haijatoa mishahara ya wafanyakazi wake kwa mwezi ulioisha jana. Je hee inaweza ikawa ina-surpot uvumi kwamba nchi yetu ipo katika hali mbaya sana kifedha...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wana JF, naomba wale wenye kujua kuhusu suala wanisaidie kupata ufumbuzi wake, siku zijazo natarajia kununua gari lakini nimekuwa ninajiuliza kati ya kununua gari hapa bongo (showroom) na kuagiza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni msaada wanaJF ninamizigo yangu michache kutoka nje sasa itatumwa kwa sea shipping. Nitahitaji kufuata mambo yapi ya kimsingi na gharama kiasi gani zitahitajika? Asante. Radio Producer.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
TOKEA MBUNGE WETU MHE JOHN MNYIKA AANZE KUTUTETEA WANANCHI WAKE WANAONYANYASWA NA MAMALAKA ZA BARABARA, WATUMIAJI WENGI WA BARABARA HIYO YA KLA SIKU WAMEKUWA NA MAONI TOFAUTI KUHUSU UAMUZI WAKE...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu naombeni msaada wenu maana inabidi nifanye haraka iwezekanavyo so nahitaji hasa mawazo na nini nifanye,mwaka 1997 nilinunua ekari kama 4 hivi mbezi ya morogoro road kipindi hicho kulikuwa...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Kwa wale wajasiria mali nime pick hii toka speech ya Mh Raisi Kwa ajili ya kuziba pengo la miezi ya Mei na Juni kibali kimetolewa cha kuagiza tani 50,000 za sukari kutoka nje ya nchi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari ni confirmed na source ni mimi mwenyewe, Kuwa makini usibambikiwe noti mpya ambazo ni feki, wafanyakazi wa mabenki wanalijua hili! Siri ni kwamba notes counting machine za mabenki mengi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Natambua kuwa hapo kuna watu wenye msaada mkumba. Naomba msaada wa namna ya kupata hati ya nyumba. Nyumba ipo tabata kisukulu, Migombani, Dar es Salaam.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…