Any one with Radio Station, i am doing Radio Production that includes Radio Programming (Mastering new schedules by considering compentence activities) We also train staffs about radio production...
WADAU UMEME UMEKUWA MTAJI MKUBWA WA MAFISADI ,VIONGOZI WETU WAMETAJIRIKA KUTOKANA NA UMEME NA MATATIZO YANAONGEZEKA KILA SIKU KUTOKANA NA UMEME NAOMBA UJADILI NA TUTOE MAPENDEKEZO MBADALA KWA HILI...
Wasalaam,
Upo mchakato wa kuongeza na ama kuingiza sekta binafsi katika ununuzi wa kahawa mbivu kutoka kwa mkulima(Cherry) . Hii itasaidia kupitisha kahawa nyingi zaidi katika mitambo ya kati...
Salaam kwenu,
1. Naomba nisaidiwe kwenye hili, Ninapo/tunapo deposit pesa zetu Bank, wao Bank
wanazifanyia nini hizi pesa?
2. Ni vipi unaweza ku-insure pesa, mfano ninapesa zangu nataka...
:bump: Salaam kwenu waungwana wote!
Nafikiria kununua Ki-gari to JPN in Apr 2011,
Plz naomba kufahamishwa gharama nitakazo paswa kuzilipa hadi linakuwa kwa barabara, bila gharama ya kununua na...
Wanajamii forums, natafuta soko la computer madhubuti kabisa used and brand new. Desk tops and laptops.
Desk Tops ambazo ni brand new ni za kisasa kabisa ambazo computer system imekuwa built in...
Habari zenu wadau
jamani yoyote anayeweza kunisaidia juu ya hili nitashukuru sana.Nina project nimeanzisha ya kilimo cha umwagiliaji maeneo ya Kisarawe tatizo ni kwamba sina acess ya maji kwa...
Wadau kuna marafiki zangu wame register kampuni, wako wanne, kampuni yao ina share zenye thamani ya sh milioni kumi lakini cha ajabu the whole process haijawakost hata sh milioni moja.!!? ivi hili...
In recent years there have been prices skyrocketing on consumers' goods and services in Tanzania caused by mismanagement of our economy; from planning to implementation aspects but at the end of...
Tourism accounts for around 19% of the GDP and nearly 25% of total export earnings.
TANZANIA TOURISM AT-A-GLANCE
% of GDP: 19% (2010)
Growth py: 10% (2005)
Arrivals py: about 1,000,000 (2010)...
Wapendwa nasikia supplier wengine wa product hii (Shutter Doors) wanatengeneza vitu fake. Naomba mwenye kujua reliable ones wenye bei nafuu anipe contact.
Wakulima wenzangu nawasalimu kwa heshima zote.
Naomba wenzangu mnijulishe mnatumia mbegu gani nyingine katika kupata kitunguu kizuri chekundu mim natumia mbegu inayojulikana kama RED BOMBAY.
RED...
According to the Financial Times, Bloomberg sasa hivi speculators wamesukuma bei ya mafuta above $100 a barrel. Sasa sijui kwetu hali itakuwaje. Nauli inaelekea itafika Tshs 100,000 kwani mfumuko...
Habari zenu wadau.
Ndani ya wiki moja rafiki yangu anatarajia kupata mkopo wa Mil 20. Sasa ameniomba ushauri wa biashara gani anaweza fanya na akawa na uhakika wa kuingiza kuanzia sh 100,000 na...
Hi guys. It's a pleasure to be a member of this group.
Just wanted to know, is there any member of Jamii forum ama any member wa hii forum anafahamu mtu yeyote anaye fuga rabbits on a...
Wadau mwenye utalamu na mambo haya anaweza kunipa wazo kutokana na mwenendo wa maisha ya Bongo wanavyouona.Kwa mfano mtu unataka kuwekeza kwenye mradi unaoweza kujenga nyumba ambazo ni nzuri kwa...
Baada ya kufanya kazi kwa miaka mingi hapa US, niliweza ku-save na nimepata business partner/investor ambapo seriously tumeamua kuwekeza katika fast food business hapo Dar na Arusha...