Wakuu kwa wale wanaofahamu naomba mnijulishe kiwanja cha kati ya heka moja na nusu na heka mbili maeneo ya Tegeta kinaweza kufikia bei gani????
Asanteni!
HI! WANAJAMII HILI TANGAZO LA KUUZA LAP TOPS ZANGU MWENYEWE:
LAPTOP 1 ALMOST STILL NEW
Niliinunua marekani mwaka 2009 December
HP
BLACK
RAM 3 GB
HDD: 240 GB
PROCESSOR: 2GHz
WINDOW XP
PRICE...
Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe
Naibu Waziri wa Ujenzi, Dk. Harrison Mwakyembe, amegeuka mbogo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza eneo la Kivukoni jijini...
Natumaini wote ni wazima mimi ni mjasirilia mali natafuta oven kwa ajili ya kutengeneza mikate(morogoro)nauliza wapi naweza kupata hizo oven kwa ajili ya kufungua mini-Bekary,yeyote anayefahamu...
Wana JF,
Naleta hii hoja kwenu, kwani tokea kampuni hii mya ya simu kuendeleza biasha ya Zantel ndio wametuchanganya zaidi kwanini nasema haya:
1: Wana offer yao ya bonyeza SMS 5 ili upate...
Habari wana JF Mini ni mjasiriamali nilianzisha shule na kufanikiwa kuyisajili BRELA na MoVET kwa sasa ina walimu 5 na watoto 100 kuanzia awali hadi la 5 shule ina eneo la acres 6...
nina refurnish my house, hivyo kuna fenicha nauza. used sofa - 55,000/=, coffee table and stools - 100,000/-, 4 sitter dining table - 290,000/=, ward robe/kabati la nguo 4doors- 250,000/=
Wadau hili ni jukwaa ambalo unaweza ukaweka ideas zako zozote za kibiashara, ambapo hata kama wewe utashindwa kuifanya inawezekana ukamwezesha mwezio ambaye ana capital lakini hana idea.
Hivyo...
TUNDURU ni moja Wilaya nne za Mkoa wa Ruvuma, lakini yenyewe inasifika zaidi kwa shida ya usafiri na kwa uchache wa usikivu wa vyombo vya redio na televisheni.
Wilaya hiyo imejaa eneo kubwa...
Wanajamvi,
Nitashukuru kujua mpaka kati ya Tanzania na Rwanda unapitia wapi hasa. Zamani maziwa magharibi mwa Karagwe tulikuwa tukiyagawana lakini sasa naona yote yamekimbilia Rwanda. Haya...
Habari wakuu:
Ninaomba ushirikiano wenu wakuu,,najua kuna wana jf wengi sana hapa ambao wamefanikiwa sana hasa katika nyanja ya biashara au tuseme ya kipato,,lakini kufika hapo mlianzia mbali...
Ndugu wana JF,naomba kuelemishwa namna gani mtu unaweza kuwekewa kiosk cha maji na DAWASCO. Yaani, vigezo gani wanatumia kuweka na kukodisha hivi viosk.
Kwa nini nairobi unapata apartments za kupanga tena nzuri na fully furnished hata kwa monthly basis na chini ya dola 500 wakati Dar hawataki kodi unless iwe ya mwaka na apartment ya kawaida ni...
Jamani magari yaliojazana hapa mjini mengi yalikuwa yanatoka Dubai kisha UK nao watu wakaanza kuingiza na sasa naona watu wanazungumzia kuagiza gari wenyewe direct from Japan
sasa nauliza kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.