2011-01-02 Tanzania - U.S.$123 million wind energy project deal sealed
The Tanzanian National Development Corporation (NDC) and Power Pool East Africa have...
The code instructs employees on everything from their breath - no garlic or onions, please - to their underwear, which should be skin-colored.
"We're reviewing what is important to us," UBS...
LICHA ya Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (Tanesco) kuwa na historia ndefu iliyopitia mabadiliko mbalimbali ya kiutawala na kimfumo, bado ukongwe wake wa miaka 107 hauendani na kasi kubwa ya...
Kwa mujibu wa taarifa ya TCRA, kwa kipindi cha miezi 3 (July - September 2010) Watanzania walitumia kiasi cha shilingi bilioni 555 kwa kupiga simu na kutuma msg.
Matumizi hayo yalikuwa ni...
Leo nimeshitushwa na simu ya mtu niliyemtuma kwenda kununua gas kg 15 nikiwa nimempatia Tshs 55,000 lakini aliniambia kuwa gas ni Tshs 70,000 nilimwambia aache porojo, ndipo aliposisitiza kuwa bei...
Naamini Tanzania kama nchi ni tajiri sana;lakini cha ajabu hatunufaiki na utajiri tulionao hadi sasa.Mfano mzuri hadi hivi sasa bajeti yetu ya nchi ni tegemezi na imefikia hatua bila hat ya aibu...
A Continent of New Consumers Beckons
WALL STREET JOURNAL
JANUARY 13, 2011
There's a new gold rush under way for the African consumer, a campaign that spans the continent and aims to...
Ushuru wa maegesho sasa mpaka ufukweni
Imeandikwa na Oscar Job; Tarehe: 14th January 2011 @ 23:30
KAMPUNI ya Maegesho ya Taifa (NPS), imeanza kukusanya mapato ya uegeshaji katika eneo la...
Treni ya kati kutoanza safari leo
Na Mwandishi Wetu
SAFARI za treni ya kati zilizokuwa zimepangwa kuanza leo zimesogezwa mbele hadi Ijumaa Januari 21, 2011 kutokana na 'kazi ngumu ya...
Dear JF members, this is an E-mail i received from UDEC (University of Dar es salaam Entrepreneurship Center), together i have attached guidelines notes for application of AECF
Dear , Happy New...
Haya ni maajabu, Baada ya serikali kutangaza ktk vyombo vya habari kuwa machinga wa kichina waondoke, Ubalozi wa china umepiga stop viza kwa raia wote wa Tanzania wanaotaka.
Yaani hawa wachina...
wadau naomba mnisaidie kupata ufahamu juu ya hili jambo, kwa nini serikali yetu inabadilishabadilisha fedha? je hili halina madhara kwenye thamani yake?
Paul Joseph Brown / P-I
Craig Madsen's 270 rented goats make quick work of brush at the Metro bus depot in Bellevue on June 6. "They are just eating machines," said Tammy Dunakin of Vashon...
Majina ya wamiliki wa DOWANS yaliyotolewa na Msanii na kuwadi wa RA, Waziri Ngeleja ni majina ya wafu, na yameundwa baada ya ziara ya fisadi RA kurudi safari zake za Asia na Uarabuni, ambapo bila...
BBC wamemkumbusha ahadi aliyoitoa Kikwete kwa walalahoi ya kuwa atasimamia gharama za umeme zisipande na huduma kuboreshwa, na kumnukuu yeye huyo huyo akitetea kupanda kwa gharama za umeme na huku...
Nimefuatilia topics nyingi hapa zinazotafuta maelezo zaidi kuhusu miradi ya kuwekeza nchini na pia kuwa ndio capital ipo miongoni mwa watu wengi ila tu labda business ideas bado hazijawa...
Wana JF,
Katika hali isiyo ya kawaida na ya kusikitisha serikali inahamasisha upandaji miti na usafi wa mazingira, sasa hivi gesi imepanda kiasi cha kutisha, hivyo kuonekana kama mitungi ni...
From ALVAR MWAKYUSA in Kibiti, 14th January 2011 @ 12:00, Total Comments: 0, Hits: 115
RESIDENTS of Bungu, Kibiti, Utete and other surrounding villages in Rujifi district, Coast Region want the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.