We would like to take this opportunity to introduce Mzalendo Credit Limited to your esteemed blog.
Mzalendo Credit Limited, is a lending institution focusing on short term loans (i.e. spanning...
Kamati yaundwa kurekebisha STAMICO
Na David John
SERIKALI imeunda kamati ya watalaamu ya kurekebisha Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) ambalo ufanisi wake umekuwa hafifu.Hatua...
Wadau poleni na majukumu ya kila siku ya ujenzi wa taifa sasa naomba kuleta mezani hoja ya kutafuta soko la asali mbichi ya nyuki wa dogo.naomba msaada wa masoko.
Mwandosya: Maji ya Victoria kufika Tabora 2014
Tuesday, 18 January 2011 21:00
Mwandishi Wetu, Tabora
WAZIRI wa Maji ,Profesa Mark Mwandosya, amesema...
Tucta yashikia bango maandamano kupinga bei ya umeme
Wednesday, 19 January 2011 21:42
Patricia Kimelemeta
SHIRIKISHO la vyama vya Wafanyakazi nchini...
Wadau bandari wachachamaa kukatika umeme 'Long room'
Na Mwandishi Wetu
WADAU mbalimbali wa bandari nchini wameiomba serikali kuhakikisha Idara ya Ushuru wa Forodha inapewa kipaumbele...
for more info on the book visit, Dambisa Moyo | Author and Economist
listen to her interview on, BBC iPlayer - HARDtalk: Dambisa Moyo, Economist and author
Embu msikilize kwa makini...
Wachumi hii imekaaje?
ukinunua airtime recharge voucher unalipia VAT
ukiitumia pia unalipia VAT per minute talktime
hizi caculation zikoje jamani,wenye upeo zaidi watujulishe.
NSN sasa kuendesha shughuli za Vodacom Send to a friend
KAMPUNI ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, imekubaliana na kampuni ya Nokia Siemens Networks (NSN) ili NSN itoe huduma za mtandao...
By NATION CORRESPONDENTPosted Sunday, January 16 2011 at 18:11
Tanzanians spent a whopping TSh555 billion ($396 million) on phone calls and text messages in three months, according to a new...
Inasemekana kama kuna mtu unamdai halafu hataki kukulipa na hasa kama ni mdosi basi mwone yule mtu mfupi mweusi anavaa suti oversize ambaye ni owner wa Easy Finance.
Jamaa unaambiwa methods...
wapi naweza kupata mikataba kati ya serikali na Makampuni binafsi/taasisi za kimataifa.Je Wizara ya sheria au kwa mwanasheria mkuu wanayo hii mikataba ambayo tunaona Ministers and Makatibu Wakuu...
Kuna wazo la biashara linanijia lakini sina mtaji ,ngoja niwauzie wanachama hapa watanipoza kidogo!
Nchi sas hivi inazizima kwa masual ya katiba mpya na malipo ya dowans..ukitengeneza tshirt...
Takukuru wadaiwa kusababisha hasara Vodacom Send to a friend
Phinias Bashaya, Bukoba
MAOFISA wawili wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(Takukuru) Mkoa wa Kagera wanahusishwa na upotevu...
Wakuu,
Nimetoka NSSF kuchukua kadi mpya sasa hivi pia nikapata kucheki salio langu, yaani wakinipa hizo pesa leo nina uhakika wa kuwa na nyumba ya kisasa.
Ombi langu kwa mifuko hii wangebuni...
Nina elimu ya certificate katika mambo ya Hoteli hivyo uwelewa wangu ni mdogo katika maswala ya uchumi. Nasikiaga mara kwa mara viongozi wakiongea kwenye hotuba zao kwamba uchumi umekuwa/umeshuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.