Habari:-
Wakat tunaendelea kuishi pia tunaendelea kujifunza na kukumbushan.
Maisha bado ni hatua na kufanikiw tuu kwa kias cha kawaida (kuwez ku mudu nahitaji ya msingi ya maisha bado ni...
Mimi nilipoanza kulima ndipo niliona Dar kuna vijana wazembe sana yaani wamekaa na wanawaza kuuza viatu na nguo tu hakuna mawazo mbadala yaani hawawazi mambo makubwa.
Nimetoka Dar na nimefanikiwa...
Habari zenu wadau, Mimi ni kijana nimejiajiri kwenye sekta binafsi lakini pia nina kampuni yangu nimefungua, Sasa natafuta Client yoyote ambaye naweza kushirikiana nae kufanya biashara ya vinywaji...
Naombeni ushauri nahitaji kufungua kampuni ya kuuza nguo za watoto kutoka china na uturuki me na ke kuanzia miaka 2-15 niwe nauzia Wafanyabiashara wakubwa na wadogo vipi kuhusu soko hilo la nguo...
Kama kuna zao lenye "ZERO" marketing strategy ni zao la kahawa. Huwezi hata kujua upo kwenye nchi au mkoa unaolima kahawa. Unywaji uko chini sana na bei ziko juu.
Hakuna msukumo wa kuitambulisha...
Habari,
Tulifungua company tulikuwa tupo wanne. Ila now wawili wanataka kujitoa katk company.
NAOMB USHAURi JINSi YA KUWATOA WASISOMEKE KATKA REGISTRATION ZA BRELA.
Please ushauri
Wakuu, sijaidharau, ila nimeshangazwa na bei yake. Nimeona mtandaoni pikipiki zinazouzwa Dar Es Salaam kwa bei ndogo sana. Zipo za kuanzia laki tano mpaka sh 1.8m. Zote ni used.
Sikuwahi kumiliki...
Kwanini Makampuni Makubwa yaliyowekeza nchi mbalimbali duniani ikiwemo Urusi, Ulaya, USA na China yameorodheshwa kwenye stock market za nchi husika Ila Tanzania Makampuni Makubwa ya Gesi na Madini...
Equity incentive plan ni mipango ya Motisha ya Ushiriki iliyoundwa na makampuni kutoa motisha kwa wafanyakazi wao kwa kutoa hisa au chaguo la kununua hisa kama sehemu ya malipo yao. Mipango hii...
Wanasema uwoga wako ndiyo umaskini wako....... Najiona mjinga,mpumbavu na nisiyekua na akili..... Mimi ni binti, wa 20+. Nimehangaika mnoo hapa nilipo Nina 2.5 MIL. Ambayo nimeipata ndani ya mwaka...
Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na jitihada zenu za kujenga uchumi binafsi na wa Taifa.
Kwa heshima na taadhima kabisa nimeona leo nilete mjadala kuhusu Mtu...
Kwa maendelea tuliyonayo kwa sasa tumefikia kujua vitu kadhaa kwa maarifa yetu pengine vinaweza kutupa afya ya mwili kama tukivifanya ipasavyo. Tunahisi tunaweza tukawa bora zaidi kuhudumia mwili...
Habari za muda huu ndugu zangu me ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 24 naomba kushare hili wazo kwenu ili kupata Maoni tofauti tofauti yanayoweza kunisaidia.
Nina wazo la kufungua store niwe...
India itaipiku Japan na Ujerumani, ikiwa ni nchi yenye uchumi mkubwa unaokua kwa kasi zaidi na mwelekeo wa idadi ya watu (ugavi thabiti wa kazi), kuboresha nguvu za kitaasisi na uboreshaji wa...
muda mwingi nipo kazini hivyo dukani naacha msaidizi.
Kwa miaka miwili mfululizo duka lilikuwa na wateja wengi na nilidhani mimi ndie mjanja nilieumiza kichwa kuchagua eneo zuri, kuweka bei...
Habarini?
Hivi majuzi nilipigiwa simu na watoa huduma kwa wateja kwamba, kutokana na Maagizo waliyopewa na BOT. Wamelazimika kupunguza kiwango changu cha matumizi yaani kutuma na kutoa hela...
Habari,
Naomba msaada jamani nina stationery lakin katika kipindi hiki cha umeme kata rudi napitia wakati mgumu sana.. Naomba usbauri wenu jamani naweza kuongeza biashara gani isiyotumia umeme...
Haya mambo ya ajabu sana Tuliowapa kazi wameshindwa wanamtupia lawama mtu anayecheza na fursa....
Kama mtu ali-gamble akachukua shehena ya sukari fingers crossed kwamba bei zitapanda na yeye...
Hello, natumai mu wazima. Kwenye kujaribu kuiongelea Blogging kwa kina, kutokana na maombi ya baadhi ya wadau, nimeona mwanzo kabisa uwe na Basics, na hapa ntaongelea mambo ambayo utahakikisha...