Habari wapendwa, nilikuwa nahitaji msaada mwenye kujua hii biashara ya kuuza pumba na chakula cha kuku imekaaje faida zake na mtu anatakiwa awe na mtaji wa kuanzia ngapi, na gharama zake gunia la...
Vifungashio vya plastic vimekatazazwa.
Sasa wakuu, niko na plan ya kuanzisha biashara ya kuuza dagaa mchele. Nilitaka niwahifadhi kwenye kifungashio ambacho kitakuwa cheupe Cha kuweza kuonyesha...
Wakuu, mimi nipo mkoani na nafanya biashara kuuza/kubadilisha mitungi ya gesi, nina mpango wa kuanza kuuza bana za Gesi kwa bei nafuu ili niendane na ushindani wa wa sasa, maana kwa sasa nazipata...
Wazo la kukopa trekta HP 50 kulima mashamba yako kukodisha Mara chache ili upate mafuta.Kulima heka 600 yaani eka 20 kwa siku.
Mazao ni yale yasiyo na changamoto nyingi mfano kunde...
Nina ndugu yangu ana 440k anahitaji smart TV 43 inch nimefanya uchunguzi wa hizi tv zifuatazo ALITOP, RISING, SOLARMAX na AILYONS kwa bajeti yake anaweza kupata. Je ipi ni tv yenye unafuu wa ubora...
Habari Wana JF
Nina dogo langu ana biashara ya Mangi inatakribani miaka miwili na nusu.
Alianza mwaka 2021 July kwa mauzo hafifu sana lakini alijipa muda sana mwisho wa Siku Sasa hivi ana uwezo...
Wakuu kwema nikiwa Kama kijana ninae jitafuta naombeni mwongozo ili niweze kusajili jina la biashara.
Nina mpango wa kufungua huduma za kifedha japo mtaji Bado sjafanikiwa kupata.
Nina leseni...
Wakuu nimekwama hapa ki mawazo nilikua naomba ufafanuzi.
Nilikuwa nasoma uzi mmoja humu unaoelezea mtu anaetaka kufungua microfinance wakati wa usajili sharti jina la biashara liwe na neno...
Mie ni mfanyakazi katika Company X Kutokana na kuhamishwa mikoa mbalix2 ki kazi...
Kwa sasa naitaji kusettle Sehemu Moja na familia yangu.
Wakuu naomba ushauri wenu
Kati ya Dar(nina nyumba)...
Mtu akikuona leo hii unavyokula bata, maisha mazuri, usafiri mkali na biashara kubwa mjini, anaweza kudhani umefika hapo ulipo kirahisi rahisi tuu. Mimi mwenyewe nilikuwa nadhani hivyo!
Cha ajabu...
10 African countries with the weakest currencies in 2024.
1. São Tomé and Príncipe 22,281.8/$Dobra (STD)
2. Sierra Leone 19678.65/$Leone (SLL)
3. Guinea 8,583.4/$Guinean Franc (GNF)
4...
Hii ndio taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya NMB PLC,
Binafsi imenivutia na haya moja kwa Moja ni matokeo ya Sera Bora na rafiki za Mama yetu Dkt Samia Suluhu Hassan, tunakwenda nae Mpaka...
Nimeandika mada ndefu kiasi, so tenga muda kiasi , wale mtakaopita na kusema nimeandika pumba mna nafasi pia ya kucomment karibuni.
wakuu habari zenu, hongereni kwa wale mnaonufaika na hii kitu...
katika makombora 10 ni moja linaweza kupenya mengine yanapanguliwa,
JE, Israel wakirusha hata kombora moja, Hezbollah wanaweza kulizia ? itakuwaje Israel ikirusha mamia ya makombora kwa mpigo...
Wakuu habari za usiku huu, poleni na majukumu
Niende kwenye mada, mimi ni mfanya biashara mdogo mdogo ila sio mdogo sana, nina mda sasa nafanya biashara ya asali nauza Dar na Zanzibar namshukuru...
Mbunge wa Makete Mh:Festo Sanga amepaza leo tar 14:02:2024 akichangia hoja ya Kamati ya Bajeti amepaza kilio chake kwa serikali namna mabenki nchini yanavyoumiza watumishi kwenye riba za mikopo...