Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

…Miaka ya 70’s Nchini Marekani… . Katika Chuo Kikuu cha…“Harvard” . (Harvard University) . …walikwepo Vijana wawili Wadogo waliojulikana Kama… . “Bill na Paul” . Walikuwa ni Vijana wa kawaida...
5 Reactions
7 Replies
864 Views
Habari za wiki? Baada ya kudunduliza kwa muda nimefanikiwa kupata mtaji wa kufanya biashara ya kukodisha majenereta. Ni mambo gani muhimu ninatakiwa nizingatie ili nisije kujifunza the hard way...
0 Reactions
1 Replies
449 Views
TANESCO wanatengeneza mazingira ya rushwa ili wakuhudumie, imagine watu walishalipia pesa kitambo ili waunganishiwe umeme lakini wanazungushwa kila siku na hakuna kazi ya maana sana wanayoifanya...
2 Reactions
4 Replies
300 Views
MS Ruth Zaipuna Mkurugenzi Mkuu NMB. ====== Wasalaam Jf team, Waswahili tunasema " Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake Mpeni " Sote tunakumbuka baada ya NBC Bank kuvunjwa Mwaka 1997 na...
49 Reactions
409 Replies
20K Views
Habarini members wenzangu, Nilikuwa naomba wazo la biashara ambayo inaweza kuingiza faida 20,000 na kuendelea kwa mtaji wa Million 3! Nakaribisha mawazo yenu!
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za asubuhi Wanajf! Bila kipoteza muda,naombeni kujua ni vigezo gani vitaniwezesha kupata mkopo wa Biashara CRDB Benki. NB: Ni mara ya kwanza na naona kwenda Tawini ni changamoto nipo Shambani
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama Umekuwa ukijiuliza ni Jinsi gani watu Wanaweza kutengeneza PESA Nyingi bila hata ya Kuwa na Cheti Kimoja basi. Makala hii ya Leo ni DHAHABU Kwako kwasababu itaenda kukuonesha Utofauti Uliopo...
14 Reactions
21 Replies
2K Views
Naomba kujua kama hesabu ya siku ya dereva wa daladala has Dar, inatakiwa ipande kwa kiasi gani ? Kwa sababu vipuri vimepanda bei sana . Nina daladala 3 zinatoka buza hadi mnazi mmoja na kwa...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Tanzania imekuwa kwenye kiwango kizuri cha upatikanaji wa chakula kutokana na kuwepo kwa takwimu sahihi za hali ya Maisha katika kaya, hali iliyopolekea kiwango cha umasikini wa chakula kushuka...
0 Reactions
1 Replies
244 Views
Makala ya tatu Namna ya kupata mtaji wa kuanzisha biashara ndogo au kuongezea palipopelea. Mtaji na pesa ya kuendeshea biashara yako ni kama damu na oksjeni kwenye mwili wako. Kuna namna...
5 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za Wakati huu; Mwaka 2014 Nilikuwa katika harakati za kutaka kuanzisha shule ya biashara(Business School).NIlilenga iwe shule ya Biashara ambayo inapokea mwanafunzi yeyote,kwa kozi yoyote...
1 Reactions
4 Replies
616 Views
Maneno machache kazi nyingi aisee nyie endeleeni kutembea na bahasha za kaki tu sie wenzenu tunapiga mitulinga tu huku kwenye kilimo na hakika kilimo kinalipa Ona sasa karibuni nimepiga mshindo...
7 Reactions
9 Replies
833 Views
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa wanawake wa Tanzania kushiriki Kongamano la Pili la Wanawake katika Biashara chini ya Mkataba wa eneo huru la Biashara Afrika...
0 Reactions
0 Replies
353 Views
Nakumbuka 2016 niliwahi kuwa na duka la vifaa vya computer, nikaona nijiongeze ongeze nikaweka mabegi ya laptop kwa mtaji wa milioni 1 nikiamini kwamba yatatoka fasta sana, yaani hayo mabegi...
5 Reactions
6 Replies
597 Views
Jf kwa kipindi chote imekuwa na wataalamu mbalimbali. Naomba kujua maokoto au makadilio ya maokoto ya wakala wa bima(gari) katika bima moja yapo vipi. Natanguliza Shukurani...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba wenye kufahamu mnisaidie. Ni benki zipi nikiwa na hati ya nyumba nitapata mkopo? Nilikwenda NMB hawakunisaidia. Natanguliza shukhrani
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu, Ninapenda kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, CANADA na USA. nimejaribu kusearch bila mafanikio. Kwa mwenye uzoefu, naomba maelekezo au ukashare linki ya site inayo uza.
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za humu? Nilikuwa naomba kujuzwa mbao gani ni nzuri kwa kujengea makabati ya ukitani na pia Jikoni. Natanguliza Shukurani
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari, Napenda kuwatangazia wafanyabiashara wa ng'ombe kuwa kuna ng'ombe 600 wote ni dume wanauzwa, kwa wahitaji karibuni. Location ni Tanga Mjini chuo cha Buhuri. Bei ni maelewano. Tunauza kwa...
11 Reactions
39 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…