Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hellow members,baada ya harakati za mchana leo nikasema ngoja niingie online kidogo na mimi nione uwezo wa AI katika kutupa picha ya vitu tunavoviwaza. Basi nikaingia bing.com nikasearch AI image...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Chanzo Kuelekea mkutano wa mazingira wa dunia, COP28, utakaofanyika mwezi December 2023 huko Dubai, CNN imetoa ripoti maalum inayoilaumu UAE kwa kuendesha miradi chechefu ya kimazingira ikiwemo...
2 Reactions
5 Replies
663 Views
Habar ma boss naombeni msaada nataka kununua cruiser ya utali war bus vitu gan ni zingatia wakati wa kukagua gar namna ya kudeal na madalali iwe coil spring sio banz Number ya fundi mzur Arusha wa...
0 Reactions
0 Replies
303 Views
Tafadhali wana JF wenzangu, Anayeweza kunifundisha kutengeneza sabuni naomba tuwasiliane haraka. Nina soko kubwa. WADAU WENGINE WENYE KUHITAJI KUFAHAMU BIASHARA HII Habari wana JF Naomba...
0 Reactions
601 Replies
341K Views
Nakumbuka maneno ya mweshimiwa raisi samia kuhusu benk kuu kufatilia swala la sarafu za digitali. Bahati mbaya tamko la benki kuu iliishia kutoa vitisho na sababu wanazozijua wao. Lakini leo benk...
2 Reactions
1 Replies
341 Views
Aisee kama kuna kitu siwezi kufanya ni kuishi na Gaidi Next door!! Sasa wakenya mnawezaje kuishi maeneo yanayopakana na somalia kama mandela na Garisa? Usingizi unakujaje? Hasa ukikumbuka...
1 Reactions
49 Replies
2K Views
Ok, ni hivi wakuu, Kuna hii minada huwa inafanyika kwenye eneo husika Kwa siku maalum. Kwa mfano najua Kwa huku Dar es salaam Kila Ijumaa mnada huwa upo Kitunda, Jumanne huwa upo Kivule sokoni...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri Mhagama, Ahimiza Uwekezaji katika Sekta ya Utalii Mbinga Imeelezwa kwamba uwekezaji wa hoteli kubwa na za kisasa unasaidia katika kuchochea shughuli za utali na kuongeza thamani ya Mji wa...
1 Reactions
2 Replies
423 Views
Habari za jioni wapambanaji, Nawasalimu kwa jina la jamuhuri. Mimi ni kijana mtafutaji, lakini tokea nipo chuo(Mzumbe) nilijikuta napenda tu kuandika proposal za biashara, kipindi hicho tulikuwa...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu watu wa Jamii Forums, Naomba kufahamu Wapi huwa wanatoa mikopo yenye riba nafuu kwa wajasiriamali wadogo au wale ambao hawana vielelezo vya biashara kama vile TIN na LESENI...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Salaam wana jamii forums kwa majina naitwa Khalid Munir mkazi wa Dar mwenye umri wa miaka 31. Elimu yangu ni kidato cha 3 sikufanikiwa kumaliza Elimu sababu ya maradhi. Nimekuja ktk jukwaa hili...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje? Unapataje deli? Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30? Mchanganuo...
2 Reactions
4 Replies
505 Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje? Unapataje deli? Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30? Mchanganuo...
2 Reactions
1 Replies
437 Views
Mpango Jumuishi wa Harambee (Integrated Fundraising Plan) ni nyenzo muhimu katika kuiwezesha Taasisi kufikia malengo yake. Mpango huu huiwezesha Taasisi kutekeleza Programu zake na kuiwezesha...
2 Reactions
1 Replies
402 Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nitashukuru zaidi kama nitapewa na bei zake. Natanguliza shukrani. Ubarikiwe
1 Reactions
2 Replies
437 Views
Ok, ni hivi wakuu, Kuna hii minada huwa inafanyika kwenye eneo husika Kwa siku maalum. Kwa mfano najua Kwa huku Dar es salaam Kila Ijumaa mnada huwa upo Kitunda, Jumanne huwa upo Kivule sokoni...
1 Reactions
3 Replies
657 Views
Mwaka huu 2022 Mwezi wa 5 nilipost Uzi mmoja kuhusu blog (Usome hapa). Kuna baadhi walinicheki niwape msaada nilifanya ivyo ingawa ni wachache tu waliofanya kweli na sasa wanapiga pesa. Hivyo...
10 Reactions
49 Replies
4K Views
Wakuu nimekuwa nikifanya hizi kitu zote mbili kwa pamoja. I mean forex na na betting na nimekuja gundua hata forex nayo ni betting tu in another system huku tunabet mechi kule tunabet currency...
38 Reactions
437 Replies
47K Views
Mwenye Spacio used angependa kunyang'anywa msimu huu wa mvua , njoo inbobo, Location - Mwanza
1 Reactions
0 Replies
344 Views
Nimewaza hii biashara za kukusanya simu used mitaani na kupeleka vijijini huko nikapige pesa, kwa mfano kuna siku nilinunua simu 1 hapa town 12000 jamaa aliliwa katika kamali akawa hana nauli...
2 Reactions
9 Replies
875 Views
Back
Top Bottom