Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ndugu wanajamvi, Kwa muda baada ya kuona watu baadhi ya makampuni yakisema yametumia mabilioni ya fedha kwa suppliers wazawa haswa makampuni makubwa. Mfamo migodi, UN, viwanda vya cement...
2 Reactions
19 Replies
6K Views
How long have you been itching to start a small business? What’s holding you back? So many people put off starting a small business because they think they need a healthy injection of capital to...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
SHIRIKA lisilo la kiserikali la Star Entrepreneur General kwa ufadhili wa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe Aysharose Mattembe, limetoa mafunzo kwa wajasiriamali katika wilaya zote za...
0 Reactions
1 Replies
377 Views
Dunia leo hii inawataja mabilionea wafanyabiashara wakubwa kama vile Bilgates, Carlos Slim, Abraham Markovich, Trump, Mc Donald, Jeff Bezos na wengine wengi waliofanikiwa kifedha na kupata...
14 Reactions
15 Replies
4K Views
Kwa hapa Dar es Salaam au mikoa mingine iliyoo changamka kama Dodoma, Mwanza na Arusha kama mtu ana mtaji wa milioni 4.5 anaweza fanya biashara gani ikatoa asipate bughudhaa ya migambo
3 Reactions
11 Replies
2K Views
MILIONI 13 ZA MBUNGE ULANGA NEEMA KWA WACHIMBAJI WADOGO Mbunge wa jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ametoa kiasi cha shilingi milioni kumi na tatu (13,000,000) kwaajili ya malipo ya leseni za...
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Kuna kazi nimefanya mahali...sasa kuna mpunga mrefu natakiwa nipewe...kikwazo ikaja kuna documents inatakiwa (CODE) Na hiyo code ni hela inatakiwa 2,500,000 nikapambana nikatoa 1.5 bado 1m...
60 Reactions
181 Replies
8K Views
Naombeni msaada Kwa wenye uzoefu katika jambo hili.Nilikuwa nahitaji kuagiza ngano na mafuta ya kula Moja Kwa Moja kutoka kiwandani.Hivyo naomba kujua utaratibu wake upoje,wanaanzia pcs ngapi...
1 Reactions
2 Replies
834 Views
Ndugu wanajamii forum baada kuchoka kuajiliwa nimeona nijiajili mwenyewe na kampuni yangu mpya ya usafi, napenda kutambulisha kampuni yangu mpya iitwayo usafitz company , kampuni hii inahusika na...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Wadau bila shaka mpo vizuri sana, Naomba mwenye uzoefu na biashara ya kununua mpunga na baadaye kuja kuuza, kwani nipo maeneo ambayo mpunga upo wa kutosha sana na bei yake ni ndogo sana, hii ni...
3 Reactions
44 Replies
12K Views
Poleni na majukumu wadau najua humu kuna wazoefu wengi wa kudumu katika biashara hizi mbili naomba uzoefu wenu katika biashara ya mbao kuja kuuza Dar yani nipate sehemu niwe nauza taratibu au...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu salaam! Nimeangalia sana trend ya hawa vijana from 20 to 35 aisee wanaenda vizuri sana kwenye kutengeneza hela. Yaani wanatengeneza hela kwelinaweza kusema kuliko sisi wa kuanzia 40 kwenda...
27 Reactions
83 Replies
4K Views
Wakuu, nahitaji kufungua account ya forex ambayo nitakuwa na uwezo waku withdraw. Nina taarifa zote ila sina tu hicho kitambulisho, kwahiyo naomba mnipe njia kama ina wezekana na kwa wazoefu...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Habarini wa Jamvi natumai mnaendelea vizuri na weekend pamoja na majukumu mengne ya kutafuta chochote.. Bila ya kuwapotezea muda naomba msaada wenu, nawezaje pata mkopo wa kuanzia 1-1.5M iwe kwa...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Tanzania imepokea makampuni zaidi ya 20 kutoka mataifa mbalimbali duniani ambayo yameingia mkataba wa kufanya uwekezaji katika biashara ya hewa ya Kaboni unaotarajiwa kuwa wa thamani ya zaidi ya...
0 Reactions
0 Replies
321 Views
Alhamndulillah, Suala la uchawi tunaambiwa lipo, habari za chuma ulete nafikiri zipo na zishawatokea watu wengi tu. Kama kweli uchawi upo, wachawi wanashindwaje kuloga ili wakaibe pesa kwenye...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu nimehangaika kutafuta pesa nikabahatika kuotea kama milion tatu sasa nataka kuendeleza hii milion tatu katika biashara Lakini nimefikiria katika biashara ya kufanya wazo likanijia...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) alitoa rai kwa Watumishi wote wa Taasisi za Umma zinazohusika na utoaji wa leseni na vibali mbalimbali kwa Wafanyabiashara na...
0 Reactions
0 Replies
391 Views
Naomba kuuliza Wiki iliyopita huku nyanda za kaskazini nilienda TRA kwa ajili ya kupata TIN number na tax clearance ya kampuni, baada ya kulipa rental tax na stamp duty nikaambiwa nitafute...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
MUUNDO WA KATIBA YA KIKUNDI Na Comrade Ally Maftah & Mwl Rashida Kayera 1. JINA LA KIKUNDI 2. ANUANI YA KIKUNDI a. Iwepo anuani ya Posta na ya kimazingira mfano; ipo mtaa wa … karibu na … b...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom