…kabla ya Mwaka 1954 Dunia ilikuwa…
Haijawahi kushuhudia kwa Muda mrefu Mtu akivunja…
“REKODI Ya Dunia”
…ya Kukimbia RIADHA ya Umbali wa… “MILE Moja kwa DKK 4”
The 4-Minute Mile Record!
Yaan…...
Kwanza kabisa nawasalimia kwa salamu ya pamoja, poleni na pilika za kutwa nzima,
Karibuni unaweza kuondoka hapa na chochote,
Leo nitawazungumzia watu wa makundi ya aina 3
1. WAMILIKI
2. WATEJA
3...
Miaka ya 90’s nchini nigeria…
Kampuni moja la kutengeneza vyakula linalojulikana kama “Wonder Foods Nigeria Limited”
Lilitangaza kuzindua na kuingiza sokoni bidhaa yake moja ya maziwa iliyokuwa...
Wakuu kwema,
Nawasalimu katika bwana, hivi huchukua muda gani kwa mtu alienifanyia transfer kutoka bank nchini India mpaka kwenye account yangu ya Equity? Naomba kujua ndugu zangu. Currency ni...
Kila siku biashara mpya zinaanzishwa lakini nyingi zinakufa bila kufika mbali,unajua kwa nini?,sababu zinaweza kuwa nyingi ila moja ya sababu kubwa kabisa ni kwambia biashara nyingi zinakufa kwa...
Habari za muda huu wanaJF
Mimi nimekuma nikipenda Sana mambo ya uwekezaji hasa online investment Sasa shida yangu ni platform ipi inafaa kwa kutumia coz DSE is such a **** and I have been buying...
Wana JF,
Lengo la thread hii ni kupeana maarifa ya jinsi ya kupunguza gharama za ujenzi wa SLAB ya ghorofa.
Gharama ya ujenzi wa slab "inatia uchungu" kwa vile inahusisha mahitaji ambayo ni...
Constituencies are the interested parties within a nonprofits' cycle which include stakeholders currently involved with the organization, those who have been previously involved, and those with...
Habari za muda huu Wana jamii forums,
Naomba kuuliza kuhusu biashara ya kutembeza nguo za mitumba za watoto majumbani inalipa?
Na kwa hapa Dar niwapi naweza kupata robota kwa bei nafuu? Na ni...
Habari za majukumu wanafamilia wa JF
Naomba Kwa yoyote mwenye wazo la namna ya kufanya ili kuleta tija kwenye dagaa na furu wanaopatikana huku Kanda ya ziwa ikiwezekana tufanye kazi pamoja Mimi...
Wadau kaka na dada zangu salaamu!!nakuja hapa jamvini na kilio cha kuomba msaada wa dhati.kifupi kutokana na hali kubwa ya ujasiliamali nilionayo nilifungua kampuni ya huduma za kitaalamu...
Wakuu naamini humu kuna watu wengi sana wanaomiliki ofisi za kutengeneza simu mbali na Kariakoo yaani huku mitaani.
Sasa hitaji langu mimi ni kufungua ofisi ya ufundi wa SIMU na LED TELEVISION...
Godfather ni mtu atakayekubeba kukusaidia kupata ajira au mtaji wa kuanzisha maisha, sio rahisi hapa nchini Tz kufanikiwa bila kuwa na 'godfather', anaweza akawa baba yako, mama yako, rafiki au...
Ndugu zanguni mawazo ndio benki kuu kabisa ya kila wazo unalotaka kufanya, basi kwa uzoefu wa waliopitia changamoto fulani za kiuchumi na kijasiriamali ni vyema mngetushirikisha biashara ndogo...
Kuna kamtindo kamezuka siku hizi, unafungiwa line Yako and then ukiwapigia wanakwambia line Yako inadaiwa fedha, wakati hujawahi kopa Hela yoyote.... Plz ushauri au nani kakutana na kitu kama hicho.
Moja kwa moja bila kupoteza muda ni kwamba hivi karibuni magari niliyowaagizia wateja yamekwama kutokana na system kuwa chini (Wharfage aziomi kwa wakati).
Swali langu kwenu ni lini tabia hii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.