Habari za jioni,
Naomba msaada wenu katika ununuaji wa simu toleo zuri la Samsung ila Series au IPhone(kwenye iPhone iishie 11pro).
Ila ningependa zaidi iwe Samsung iwe nzuri idara zote
Habari, wa Jf mm ni kijana mpambanaji nimeona sasa nijikite kwenye biashara hii ya asali mbichi , nipo Tabora naomba nipate wanunuzi wa asali kwa aliyeko serious nitauza nikiwa huku kwa bei kg 1...
Hi utaratibu moat wa kupata leseni ya Biashara online sio Kama ile ya karatasi halmashauri unapata sasa hivi ONLINE.
Sasa kuna baadhi ya stationery hawajui kwahiyo nataka nikomae mwenyewe JE...
Habari zenu wadau,
Nafikiria kufungua biashara ya kutengeneza bisi (popcorn), kwa upande wangu naiona ni biashara rahisi na haitahitaji mtaji mkubwa.
Kuhusu sehemu ya kufanyia si tatizo na...
MBUNGE ENG. ULENGE: IFIKE WAKATI TUANGALIE VIPAUMBELE VYA TAIFA LETU ILI TUWEZE KUSONGA MLELE
"Kamati ya Miundombinu tulikutana na Kamati ya Wizara ya Fedha, kiliniumiza ni kuwepo na miradi mingi...
DC LUDEWA ASISITIZA UZALISHAJI MALI GEREZA LA LUDEWA.
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa - Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kutembelea Gereza la Wilaya Ludewa.
Akizungumza na viongozi mbalimbali...
Maisha ya Zanzibar yapoje katika sector ya utalii, mim ni guide najua lugha kama English Kijerumani na Spanish, nianzie wapi kwaajili yakupata fursa Zanzibar?
Habari Wakuu,
Natafuta Maduka, Vibanda vya Uwakala, Saluni na sehemu za kuweka Donat zangu.
Donati zangu zauza shilingi 100, nikiweka kwako nitakupa shilingi 20 kwa kila donati.
Nipo Mabibo...
Hii ni kwa wengi wenu na sio wote.
Je kuna sababu gani ya kitaalam ya kufanya hivo?
Maana unaiona bidhaa unakuta umeipenda ila bei sasa hauioni, mwingine anakuambia hadi umpige simu kuulizia...
Hellow members,nimekuja kushare nanyi fursa hii niliyogundua kuwa inahitajika kwenye soko la kuuza na kununua bidhaa hasa kariakoo.
Nimekuwa nasafirisha bidhaa za watu mbali mbali kutoka kariakoo...
Habarini ndugu,
Nilikuwa naomba usharudi wa utaratibu unaohitajika kufungua duka na kuuza pombe kali Dodoma mjini. Ningependa niwe nauza jumla na rejareja. Natakiwa nianze wapi kama eneo tayari...
Wadau nataka kununua kifaa cha umeme online china,chenye thamani kama laki mbili,ni supplier yupi ni wa uhakika,na je anasafirisha mpaka tz,msaada please,kifaa kinaitwa INSULATION RESISTANCE...
Habari Za majukumu wanajamvu,
Katika pitapita zangu, nimekuja tembea mkoa wa tabora, na nimeupenda, naweza weka kambi kwa mda .
Naombeni ushauri wajuzi wa huu mkoa ,Biashara gani naweza fanya...
The dollar should be replaced with a global currency, the United Nations has said, proposing the biggest overhaul of the world's monetary system since the Second World War.In a radical report, the...
Ninatafuta sana sehemu ambako kuna kitu kama mnada wa mbwa. Sehemu ambayo watu hupeleka mbwa wao kuuza hapo na watu huenda hapo kununua mbwa.
Yaani sehemu ambayo unakuta wauzaji mbalimbali...
Wanajamii kuna haja ya kupambana kujinanusua kwenye kansa ya matumizi ya hii pesa ya kigeni,maana tuajikuta tunaamuliwa kila kitu ambacho ni chetu maamuz yanatoka kwao,naomba kuwasilisha... Neno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.