Kumetokea Watu wanajifanya wanakopesha simu za Mkopo hapa Facebook na kukutaka uwatumie pesa kidogo ili wakutumie bidhaa yako huko mikoani ndugu yangu utapigwa vibaya. Nasema hivyo kutokana na...
Kwa kawaida mtu anapoanza biashara yoyte,kubwa ama ndogo huwa anakuwa na malengo fulani.Inapotokea biashara hii imekufa au kufungwa huwa pia kuna sababu.
Kwa utafiti mdogo niliofanya kumekuwa na...
Nina wazo la kufanya biashara ya ndizi either kutoka Bukoba kwenda Mwanza ama Dar, na mikoa mingne ila sina idea yoyote ya wapi naanzia, mtaji kiasi gani unahitajika na masoko yapoje.
Kwa...
Je unatunia simu yako kama wi-fi hotspot wakati wa kazi ofisini au masoko chuoni? Wakati mwingine internet inakata mtu akikupigiaa sasa acha na hizo habari suluhisho limepatikana kwani ni Vodacom...
Hii ni benki ya mwanzo nchini kuendesha huduma zake kwa misingi ya sharia za kiislamu. Pia ni muendelezo wa mfumo bora wa kibenki unaofanya kazi nchi nyingi duniani.
Benki hii ilipoanza kazi...
Treni ya Mwendokasi Kutoka Dar es Salaam - Morogoro Kuanza Safari Mwezi Julai 2023
Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Atupele Mwakibete amesema safari za treni ya mwendokasi (SGR)...
Napenda kujua mengi zaidi kuhusiana na bei ya vifaa vya simu pale KARIAKOO kama vile
1.betri za simu za button,
2.chaji za aina zote(za kichina na original),
3.earphone pini kubwa na pini ya...
Habari wana JF
Leo naomba nigusie maswala machache yanayohusu sheria na utendaji wa makampuni binafsi.
Naamini umewahi kusikia juu ya wito wa kurasimisha biashara na makampuni. Wapo viongozi wa...
Wadau, hivi business ya kufungua computer training institute kuwafundisha watu software mbalimbali za computer kama word excel provides point na ujuzi mwingine wa kidijitali.
Je, biashara hii...
Aseeh, me ni kijana nmejitahidi kutafta mtaji kwa muda mrefu, nmepata kiasi kidogo nataka niingie kwenye biashara ya uber/bolt ya bajaj, nipeni muongozo na ushauri wenu jaman
Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba unendelea salama na shughuli zako za ujenzi wa Taifa.
Leo nimeleta Mjada kuhusu aina ya Biashara inayohusisha zaidi na Ununuaji na Uuzaji wa...
Mmeshindaje wadau, nilikuwa naulizia wenye uelewa na biasharra ya kupeleka bidhaa Congo mje mtupe madini, nataka niende katanga je ni bidhaa gani inatoka huko?
Na utaratibu upoje inabidi uwe na...
Ni ndoto yangu ya siku nyingi kuanziashia clinic ambao nitaibrandi mikoa kama Dodoma, Mwanza, Dar na Arusha.
Wazo nishalifanyia kazi muda sana ila nimekuja kwenye wajuzi na wenye uzoefu wa...
Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba unaendelea salama na shughuli za ujenzi wa maisha yako na taifa kwa ujumla.Leo nachokoza mada kuhusu mambo ambayo huchelewesha mafanikio ya mtu.Ni...
Habari zenu wadau wa JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninaomba nipate maoni yenu kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania.
Ninataka kuanzisha kampuni ambayo itajikita katika...
Hello wapendwa[emoji112]
Wale tunaopenda kujiajiri inatuhusu hii
Ideas tofauti[emoji1370]
Kama hauna mtaji
Unaweza kwenda kkoo ukachukua vitu kwenye maduka ya jumla ukapanga kwenye barabara...
kama heading inavyojielezea ninahitaji fridge la bei rahisi kwaajili ya dukani iwe ya kampuni yoyote na iwe mikoa ya Dar Kilimanjaro na Arusha mahali ambapo nafanyia biashara ni Njiapanda ya Himo...
Kwa huduma, mbovu, masimango, dharau, kejeli, kebehi, nk za huyo konda wenu wa leo, atashusha heshima ya kampuni yenu na.kuwaharibia biashara.
Wekeni mfuatiliaji mtaelewa ninalomaanisha.
Kampuni...
Nimekuwa nikisikiasikia kuwa benki ya NMB inauza BONDI. Na watu hununua Bondi hizo. Naombeni kueleweshwa juu ya biashara hiyo kwa mwenye uelewa.
Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.