Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

There's a major shift under way, even though the US mainstream media has left it largely untouched. The shift will send the United States into an economic maelstrom and dramatically reduce the...
0 Reactions
3 Replies
687 Views
Habari wadau, Kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ya uwakala wa kibenki, yaani unakuwa na kibanda chako lakini unafanya shughuli za uwakala wa mabenki mbalimbali, kama vile NMB na CRDB...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Je, ni kweli unaweza kufanya kazi na kupata pesa kupitia mtandao? Ndiyo, inawezekana kufanya kazi na kupata pesa kupitia mtandao. Je, ni kazi gani mtu anazoweza kufanya kupitia mtandao? Ni kazi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Umuofya kwenu wakuu, Naomba kujuzwa jee ni kweli kua ukiagiza bidhaa kwa kikuu haulipishwi kodi. Nimeagiza mara kadhaa bidhaa kwa Aliexpress na kila maia nimekua napewa makadirio na kulipia kodi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Samahanini nahitaji msaada nataka kufungua account ya Money gram lakini inanitatiza kidogo mwenye uelewa juu ya hili naomba anisaidie
1 Reactions
0 Replies
266 Views
Juzi juzi nimeona kwenye taarifa serikali kupitia mkuu wa mkoa wakibomoa madanguro na kujisifu ili kukuza uchumi watu waache kazi hizo,Ila serikali hiyohiyo inashindwa kusimamia watumishi wake...
1 Reactions
2 Replies
215 Views
Habari Wadau mwenye uelewa kidogo kuhusiana na hii biashara tupeane mawili matatu
0 Reactions
7 Replies
728 Views
Naomba kujua maana ya special drawings rights(SDR) ya IMF na jinsi inavyofanya kazi kwa nchi wanachama.
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Natafuta Hacker mzuri anifanyie kazi. Plz inbox tubonge
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wakuu Nahitaji kufanya international business Yani kununua bidhaa kutoka kwenye kampuni zlzo nje ya nchi mfano UK, Austria, South Africa n.k. Naomba kujua Ni njia gani za kufanya malipo...
0 Reactions
6 Replies
479 Views
Kupitia JamiiForums, nimepata fursa ya kujitambulisha na kushirikiana na jamii hii yenye uchangamfu na busara. Mimi ni mfanyabiashara naeagiza mzigo mbali mbali kutoka china kwa sasa na nipo hapa...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Mimi ni mwajiriwa niko maeneo ya Kijijini Nina kahela nmesave sh milioni 7 nataka nizungushe kanipatie faida Biashara gani itanifaa maana huku nilipo mzunguko wa hela ni mdogo. Napata wakati mgumu
9 Reactions
99 Replies
8K Views
Habari wakuu natafuta soko la kuuza vanila nina kilo kama 400 hivi pia nataka kujua bei ya kilo moja ni gani naomba mwongozo tafadhali
0 Reactions
3 Replies
970 Views
Ciao famiglia, come stai? Leo tuongelee kidogo kuhusu business diversification. Ulimwengu wa sasa katika ushindani wa biashara, diversification ni key mojawapo ya kukufanya uendelee kukua zaidi...
7 Reactions
14 Replies
1K Views
Wana JF pole na kazi, Mimi naitwa Pelius nipo mwanza, ni kijana niliemaliza chuo na kukutana na changamoto ya ajira, moja kwa moja niende kwenye swali langu. Je, nikiwa na mtaji wa 100,000Tsh au...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari WanaJF Niende Direct kwenye mada.. Mimi ni mfanya biashara za mtandaoni mara nyingi huwa natumia CRDB Visacard kufanya malipo. Tarehe 31/10 nililipa kiasi kama 2.8M nikapokea...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Nataka kufanya biashara Kati ya Nairobi na Dar es Salaam kupitia mpaka wa Tarakea! Biashara Ni ya Nguo! Naomba kujua mahitaji ya muhimu ni yapi. Kibiashara na personal
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wakuu kwa mujibu wa ratiba yetu leo Tunajadili Fursa mbalimbali za kiuchumi ambazo unaweza kuzifanyia kazi ndani ya nchi yetu kulingana na Mazingira uliopo. Wakuu kutokana na changamoto...
2 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari zenu wana jamvi, Naomba kufaham kwa mwenye uelewa kuhusu wire transfer. Huchukua siku ngapi kwa pesa iliyotumwa kutoka nje ya nchi kwa njia ya wire transfer kukufikia kwenye account yako...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Au tuko Uchumi wa Kati kisiasa maana hii Dunia ina Wahuni kila kona Ukiona Wabunge wa CCM wanalilia kuadimika kwa US Dollar Ujue hali ni tete Niishie Hapo Kwako FaizaFoxy 😂🔥🐼
0 Reactions
7 Replies
468 Views
Back
Top Bottom